Fumbo mfumbie mjinga>>>>

Selekta

Member
Jan 14, 2011
24
9
Enyi magwiji wa Lugha ya Kiswahili, mnaweza kulifumbua fumbo hili?
"Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu hutegemea uhai wa
mtu mwengine."
 
Umbo lako linategemea uhai wa mtu mwingine au uhai wako unategemea uhai wa mtu mwengine:::ni kama vile sumni na senti hamsini:::
 
La hasha, jaribu tena- tazama kwenye kamusi ya vitendawili na mafumbo!
 
La hasha, jaribu tena- tazama kwenye kamusi ya vitendawili na mafumbo!

pole qaqa, najua unaizengea hela ya TINA, ila alishakataa majibu kibao, hata mimi nimeghairi kutafuta jibu. zishafika ndururu ngapi?
 
Back
Top Bottom