Fumbo Mfumbie Mjinga..

nanya

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
672
522
1472212900480.jpg

Kipanya kwa mafumbo bwana, sasa Umoja wa KUmpongeza MAgufuli kwa kifupi unasemaje?
 
Magu ajitafakari!!
Hapa sio korea kwa kim jong II
Habari ya kutaka usifiwe tuuuuu ataambulia taathira ya maneno ya shombo.
 
GAZETI LA MWANANCHI LA ALHAMISI 25 AGOSTI 2016
-KIFUPI CHA UMOJA HUO NI BALAA........................HEKO KIPANYA
1472212900480-jpg.388140
 
Back
Top Bottom