Fumanizi

cathy14

Member
Apr 11, 2014
37
23
Ukimfumania mpenz, mke, mume wako live bila chenga na mtu mwingine utachukua jukumu gani ambalo angalau ukifanya hilo nafsi inatulia kidogo! I like to hear from you best friends kwa wale walio wahi kutokewa watusaidie wengine kabla janga halijatokea
 
Aaaaaaah hilo tu kumbe.kama ni mpenzi unachapa lapa tu,
wanasemaga" ukiona mwanaume/mwanamke amekusaliti/umemfumania afu akakuomba msamaha inakuwa si kweli ni aibu tu na si kwamba anakupenda wewe,anayependwa ni yule mwenzio na ndo mana akawa nae"

Kama mume hapo kwakweli mimi sidhani kama nitaendelea kuishi na mume huyo...sina moyo wa jiwe kabiiisaaaa
 
Ukimfumania mpenz, mke, mume wako live bila chenga na mtu mwingine utachukua jukumu gani ambalo angalau ukifanya hilo nafsi inatulia kidogo! I like to hear from you best friends kwa wale walio wahi kutokewa watusaidie wengine kabla janga halijatokea


Siku likikufika hakuna ushauri utakaokumbuka,utafanya kile ambacho akili yako itakutuma muda huo!!
Omba tu lisikukute,siyo experience nzuri.
 
Mamii kwanini tu usiwe sista ulitumikie kanisa, naona mapenzi yanakuzidi nguvu...
 
Huwezi jua utakacho fanya mpaka yakukute. True Story; Kuna sista duu alikuwa anatupiga mkwara yeye akimfumania BF wake hiyo sehemu haitakalika kwa valangati atalofanya. Bahati mbaya maneno yanaumba, BF wake siye tunamjua ni bonge la player, siku wapambe wakamtonya. Kaenda kwenye fumanizi ile kufika na kujionea tukio miguu ikakosa nguvu imelegea kabisa. Kusimama peke yake hawezi hadi apewe support
 

Attachments

  • 1400268798653.jpg
    1400268798653.jpg
    60.1 KB · Views: 257
  • 1400268891217.jpg
    1400268891217.jpg
    51.2 KB · Views: 242
  • 1400268911913.jpg
    1400268911913.jpg
    47.5 KB · Views: 227
Kwa kuwa sikuwa safari, na asubuhi nilimuaga kama kawa nikamwambia naenda kutafuta ugali wake, yeye akaenda kujitafutia kidumeee, mi nanyamaza kimya, na kama wamo chumbani nawaandalia chai nawapelekea hapo ndani halafu niondoke.
Nkirudi, sisemi na huyo mwanamke la kheri wala la kshari. Mpaka atakaponieleza nilichokosa ndani yangu au nilichopungua kwangu.
Huenda mi ndo tatizo. Wataalam wanasema, mwanamke usiye mtosheleza kitandani ni mmbaya kuliko nguchiro kichakani. Akisikia hadithi za wenzake wanaofikishwa kileleee mate humtoka na aweza kutumia hata chupa. So, yawezekana mi ndo tatizo
 
Tembea na mume / Mke wa mtu at your own risk....

serio;
Halafu mwenye mke alihama mtaa au? Kuweka bango kuwa humfikishi mkeo mpaka anatafuta msaada kwingine, hapo nani kichaa, huyo unayemwendesha juu ya gari au weye mwendeshaji. Ujinga mwingine sio lazima uzaliwe nao, waweza kuuokota tu ukubwani ukauvaa. Kidumee hicho, mwenye mke ni baba mwenye gari kumbe kidumee ndo baba mwenye mke.
Ukichapiwa, nyamaza kimyaaaaaa nawe tafuta saizi yako
 
[/B]Siku likikufika hakuna ushauri utakaokumbuka,utafanya kile ambacho akili yako itakutuma muda huo!!
Omba tu lisikukute,siyo experience nzuri.
Twin hayo kupitia lazima lisipopita sahzi mbeleni linakusubiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom