Fumanizi

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamaa akiwa ndani ya Taxi alimwona mkewe akiingia ndani ya hoteli na mwanaume flani.Akamwuliza dereva wa Taxi, "unataka nikupe elfu moja?"Dereva akakubali.Jamaa akamwambia, "nenda uko ndani,mke wangu kaingia huko na mwanaume mwingine.nataka umlete hapa kwangu."Kisha akampa picha yake,Dereva akaenda.Dakika chàche,akatoka akiwa anampiga mwanamke flani na kumvuta nywele.Jamaa kuangalia mwanamke,akamwambia Dereva, "huyu si mke wangu!"Dereva akajibu, "huyu ni mke wangu.Kaa naye niende nikuletee wako!!!!!"
 
Majamaa watatu wakiwa kwenye daladala
Jama wa kwanza :"Dereva,sukisa mimi hapa.
jamaa wa pili :inaonekana una chinda ya matamuchi dugu.
Jamaa wa tatu nae akaingilia, "wewe bana jeka menzako.nyi wote mna shida ya kubronounce!!!!!"
 
Back
Top Bottom