Fumanizi!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Katavi, Mar 17, 2012.

 1. Katavi

  Katavi JF Platinum Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 32,402
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 63
  Huyu sijui alikamatwa akimega mke wa mtu au alikutwa akiwanga...!!

  fumanizi.jpg
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona ni mwanga huyo.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,926
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Uisikie tu imewakumba wenzio lakini usiombe ikukute wewe.
   
 4. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,219
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Ni bahati mbaya tu hiyo!
   
 5. K

  Kamzuzu Senior Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani nikipata chance hapa vumbi tu
   
 6. k

  kaeso JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Huyo atakuwa alikutwa akiwanga.
   
 7. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Looh amaaah kuna watu wambea!!Cheki hako kajamaa kafupi kenye shati nyeupe kalivo mbelembele ka kamera sjui simu hiyo,kanafurah mwanaume mwenzie kuaibika!
   
 8. EL MAGNIFICAL

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  utafikili kajoti ivi !
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Jamaa kakalia mgongo!!, Yani hana **** kabisa!
   
 10. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 2,342
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Kakunja zake nne wala hana hata presha..
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,534
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Hii ni aibu sana
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,534
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Halafu huyu atakuwa mwanga
   
 13. Nizzo

  Nizzo Senior Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  huyo ndo msumbufu kwe mabati ya watu night huyo. mwanga huyoooo! no dought.
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamaa alikuwa anawanga huyu
   
 15. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,866
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Labda ni mwanga. Mwanaume anakutwa ila mwanamke anafumaniwa.
   
 16. Katavi

  Katavi JF Platinum Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 32,402
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 63
  Na pia huyo mama nae yuko bize anachukua picha kwa kutumia simu..
   
 17. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka kuiona mwaka jana picha hii jamaa alikuwa anasafiri kwa ungo kufika eneo hilo sikumbuki kama ni sumbawanga akanasa huko angani na kudondoka hapo mpka alipokutwa na idhara kama hiyo.
   
 18. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Yaani hapo unafata msemo wa mababu zetu HERI LAWAMA KULIKO FEDHEA. unalianzisha unatoka nduki tu, huyo mama hapo mbele keshakusogezea kanga unachukua unaishia
   
 19. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  huyu bila shaka atakua ni mwanga,fumanizi asingekua na hali aliyo nayo jamani,ila anatia huruma
   
 20. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 18
  alafu apo ni uwani kwa mtu bila shaka
   
 21. Katavi

  Katavi JF Platinum Member

  #21
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 32,402
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 63
  Tehe tehe teheeeh!! Wanaweza kukuua kabla hujafika mbali.
   
 22. r

  rubby JF-Expert Member

  #22
  Mar 20, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alipoteza mwelekeo. Rada ilizima akatua KWA boss wake. Nae nackia ypo hoi cku izi. amrudie Mungu wake tu.
   
 23. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #23
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  mwanga huyo angekuwa kafumaniwa na patna wake angeonekana kunako fumanizi hakuna bias.
   
 24. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #24
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,590
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  huyu mwanga, kwa mzakali upi wa kukutwa namke wa mtu. Shape inaonyesha tu kuwa hana kitu ni penseli tu
   
 25. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #25
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,327
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Maskini wee mjomba hapo viungo vyote vimelegea kama karatasi.Utamu wote umekwisha hapo sasa ni full maumivu
   
 26. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #26
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  what if kawekewa madawa na kuibiwa ....
  what if itokee kwa kawekewa madawa kaka yako ,baba yako ,dada yako,mama yako au ww
  kisha mtu alete hapa uzi.

  Ni vema hasa kwenye jukwaa hii tukawa na uhakika na mambo kabla tuja post hapa kama kiburudisho.

  Kama kweli unauhakika kafunaniwa akiwanga au na mke wa mtu ni kesi ingine
   
 27. nukta

  nukta Senior Member

  #27
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 8
  dah! nne aloweka imemsaidia kuficha ofisi. Hiyo ndo tabu ya kupita na ndege kwenye anga za watu bila ya kuomba ruhusa.
   
 28. Young Master

  Young Master JF Gold Member

  #28
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,235
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 63
  Fumanizi gani hilo? Mbona anaonekana amestarehe kabisa hata kutetemeka hatetemeki.
   
 29. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #29
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,730
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hii picha ilishaletwa hapa,ni mgonjwa wa akili watu walimpiga mpaka kumuua wakidhania ni mwanga.....baadae ilikuja kugundulikana ni mgonjwa wa akili ana certificates kutoka muhimbili kuonyesha hilo....
   
 30. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #30
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Mkuu,

  Hii habari ilitokea hapa Dar maeneo ya Mbezi Beach - na hata kwenye magazeti iliandikwa sana sema labda mmesahau.

  Walisema huyu jamaa ni mwanga alikuwa anatokea sijui wapi huko mikoani alikuwa anarudi ndio akaanguka hapo.

  Lakini baadae ikasemekana alikuwa na matatizo ya akili.

   

Share This Page