Fumanizi nyingine jamani mbaya sana

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
attachment.php






FUMANIZI.jpg


Jamani mke wa mtu ana uchungu sana ahhhhhhhhhhhhh kali hii
 
Wakiacha wake za watu na akina Lonely heart wataenda wapi? Manake mume anatia mgomo mwaka mzima. Hata serikali iliita wanajeshi wastaafu kutibu madr walipogoma atii!
Hapo ni mkono tu, hawajagusa "express yourself???" Acheni wake za watu jamani. Ni swala la muda tu, kila mla vya watu yatamfika tu ya sampuli hii
 
Last edited by a moderator:
Jamani haya ni mauji, siyo vizuri mtu kumfanyia ukatili wanamna hii binadamu tumekuwa kama wanyama, atakama kamfumania na mke wa mtu vyombo vya sheria vipo.
 
Back
Top Bottom