Fumanizi lipi litakuumiza zaidi?

Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,850
2,732
Heshma mbele ndugu zangu wa Tz na wana jf kwa ujumla. Polen kwa msiba. Mungu azilaze roho za marehem mahal pema pepon.
Kwanza naomben ukarbsho wa dhati katka MMU. Nimekuwa nkivnjar kwingne kabla ya hapa.

Naelewa kwamba hakuna m2 anaependa kushare ile kitu ndio maana hata wengne unapowaulza wanadiriki kusema wataua, yote hyo ni kuonesha namna gan inawakera.

Ila ningependa kujua yupi atakukera/kuudh zaidi na kwann, endapo utamkuta akingonoka na mpenz wako. Je? Ni ndugu wako wa kuzaliwa (mdogo au mkubwa) au ni mtu mwingine yeyote?
 
None is allowed to do so.....! Everyone is totally prohibited....! And cheating does not mean only having sex, but consciously entertaining or allowing any act that is one of my dislikes is also cheating....! And all these results to the same extent of pains....!
 
@konakal & BPM Nakubal kwamba siyo sahh lakn hata ubaya unazdiana ndugu zangu
 
kama nakusoma hivi kichwani kwako..unataka kuonesha kuwa undugu uwepo mpaka kwenye kusaidiana kazi za 6x6...af mapenzi ni broad xana bbruh,..co kungonoka tu...so hakuna swali hapo...tena umenikumbusha kile wanachokiita kipima joto kule ITV...swali liko "naked"
 
Ndugu zaidi!

Why? Kwasababu mtu wako wa karibu hutegemei akusalitu/kukuumiza! Mtu mwingine sawa nitaumia na hasa maumivu yatakuwa juu ya spouse wangu; lkn kwa ndugu ni maumivu nadouble double!
 
Ndugu zaidi! Why? Kwasababu mtu wako wa karibu hutegemei akusalitu/kukuumiza! Mtu mwingine sawa nitaumia na hasa maumivu yatakuwa juu ya spouse wangu; lkn kwa ndugu ni maumivu nadouble double!

Nashukuru umelielewa swal ndugu. Kwa nini usimkubal ndugu? Kwan ng'ombe wa bandan sianakula majan aliyowekewa kwenye hori? Hahahahahaha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom