Fumanizi lipi linaumiza

semmy samson

Member
Dec 20, 2010
85
0
Du??!!!!!!!
Tena hiii kali
sasa wakuu kuna hiki kisa ambacho sijui mnakionaje

"assume we mwanaume umetoka safari umerudi home ukakuta mkeo anachezewa kifua na mshkaji mwingine utajiskiaje au we utareply vipi kwa hilo" vivyo hivyo ''we mwanamke unatoka sokoni unaambiwa mmeo yupo gesti na shost flan hivi we utajiskiaje au umkute mwenyewe anakula tunda kwa mwingine utareply vipi''????

kwa ufupi nani anawivu mkali zaid, mwanamke au mwanaume akikuta mpenzi wake anafanya mapenzi na mwingine?
 
Nitasema siku hiyo litakapotokea siwezi kusema uamuzi gani nitachukua siku hiyo!
 
Fumanizi linaloumiza ni moja tu,ni lile ambalo unamkuta mkeo/mmeo ana do na mwenzi wake halafu katika kufumania, mfumaniwa anakuzidi mbio na anatokomea bila kupata adhabu.Yaani kwa kifupi amekulia vya kwako na amekukimbia.
 
Unaonaje lile la jamaa yako unayemfahamu anakitu cha uhakika halafu chako cha kishikaji na kila siku mkeo analalamika anasema anapenda ingekuwa kubwa.Then unamkuta anakula Tigo wakati mkeo huwa anakushawishi wewe hutaki?

Next to impossible,hizi naona kama imagination na hazipo in real life.
 
litauma ila si sana kama na wewe si mwaminifu kwa mpenziooooooooo, wazee ile mambo usiombe yani mi ilisha nikuta sitaki kukumbushia kwani nilimvuta shost kwa ndani nikaanza kumpa mapigo yangu mpaka akasinzia hapo hapo mi naendelea tu nilipo choka nikageuza upande wa pili yani ni mpaka akazinduka tukaendelea yani mpaka kesho yake ni moja kwa moja hospital yupo hoi anaumwa
 
avatar25955_4.gif
wewe bisha tu!

Ebwanae sasa kaka ilikuaje baada ya hapo alifufuka?

Unajua kinachoumiza nini unakuta we ni mwaminifu sana tu halafu yeye si mwaminifu unajua unawza kumpeleka mtu ahera papo hapo>!!!!!!!
 
mtu aliambiwa akamfumanie mkewe mara baada ya kuchungulia ili apate uthibitisho akakataa akasema mke wangu sio kilema, kuangalia vizuri kumbe ni ilikuwa na style jamaa kamkunja huyo bibie. Just imagine ni jinsi gani hilo fumanizi linavyouma.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom