Fumanizi la Kihindi

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931

Kipondo ninatolewa na ndugu za Mke. Huyo mwenye vazi Jekundu, makli kama nyuki ndo mamsapu mwenyewe.!!.
 
Last edited by a moderator:
Mhh..kumbe wahindi nao wanavuma kwene hizi engo siku hizi.. Takwimu mpya zinaonesha India ndio inaongoza kwa watu wenye HIV duniani.
 
hivi ngoshwe...umejuaje ni fumanizi? unaelewa hiyo lugha wanayozungumza?
 
Lijamaa , Lapewa Talaka Tatu!!!!!!!!!!!Hah..haha..aaa, Wajua tena Kwa Wahindi, mke ndio hutoa mahari!!!!!!!!!!!!
 
Lijamaa , Lapewa Talaka Tatu!!!!!!!!!!!Hah..haha..aaa, Wajua tena Kwa Wahindi, mke ndio hutoa mahari!!!!!!!!!!!!
Unajua hata mimi kabla ya kuwaelewa wahindi kwa sababu ya mazoea ya kiswahili kutoa mahari ndio kuoa kwa hyo nilikuwa pia mwanamke ndio anaoa kwa wahindi lakini baada ya kukaa na wahindi ndio nikagundua jinsi wahindi walivyotupiga bao wanaume wengine wote maana wao bana mahari wanachukua kutoka kwa mke halafu wanaoa kama kama....
 
Dadavua hapa mpwa
 
......badala ya kutetea 'nyumba ndogo', kajishika kiuno! Mijitu mingine bana, sijui kwanini tu inakuwa na guts za kuonja onja wakati likibumburuka akili inaganda!
 
Hehehehe mbona wanampiga kwa huruma kama wanamwogopa vile...
Hapo mwenye kosa ni yupi aliye tongozwa au aliye tongoza?
 
mie nadhani ukifumaniwa unakuwa confused,hata kama ni baunsa unaweza pewa kipondo na mtoto mdogo kutokana na hali ya mshtuko unayokuwa nayo...:drum:
 
Back
Top Bottom