Fumanizi hili

heheheheeehh jumba loote hili nakwambia sitoookiii:clap2: nawewe ntakukomesha,,,
Kweli kabisa wamemdhalilisha dada wa watu, tena ni mke mwenzake.... huyo dada angewezaje kuja mwenyewe na kuingia ndani.... Na huyo mama kwa jinsi asivyo na akili eti hawezi kuacha mali zote sh...zi, kweli siku zote wanawake wataendelea kupuuzwa sababu hawajui nini mnahitaji kutoka kwa waume zao....:embarrassed:!!!
 
mmmhh ndio maana mi sijawah kutuma zaidi ya kupiga hodi tuu lol.....kumbe ndio ulivyo hivyooo cpu.. mmmh!!!

Umenionaje NILHAM, sifai eeeh???
Do you think that fumanizi is building a woman???
Nimemuonelea huruma sana huyo mwanamke anaepigwa masingi kuliko hao wapuuzi wengine pamoja na mwenye mume . . .
Hivi nyinyi . . . . . . aaaaaghrrrr
Unasubili mpaka jamaa awe ameshalala na mwanamke halafu aliyefumaniwa ni mwanamke na anafanywa hivyo?????!
 
Move alochukua mumewe ya kuleta mwanamke ndani haina akili hata kidogo. Na huyo mwanamke alokubali kuletwa kwa kwenye nyumba ya familia wakati anajua jamaa ana mke ni ya kipimbavu. Ni kweli move alochukua mama mwenye nyumba imekosa hekima.

Wanahitaji kukaa kujadili mahusioano yao kwa kina ili wapate kuheshimiana.
 
Kwa staili hii basi wanaume wataona raha kweli kubandua wanawake wa nje, maana watajua kesi inaangukia kwa wanawake tu hata iweje.
 
Umenionaje NILHAM, sifai eeeh???
Do you think that fumanizi is building a woman???
Nimemuonelea huruma sana huyo mwanamke anaepigwa masingi kuliko hao wapuuzi wengine pamoja na mwenye mume . . .
Hivi nyinyi . . . . . . aaaaaghrrrr
Unasubili mpaka jamaa awe ameshalala na mwanamke halafu aliyefumaniwa ni mwanamke na anafanywa hivyo?????!
mi sija sema kama anamakosa huyo binti ila mi pia nimemuonea imani kwa wanavyomfanya tuu lakini sikumuonea imani kwa kuchukuwa mume wa mtu kusudi kuzaa nae kumtafuta mke halali masolon na wapi na wapi ilmradii tuu alikuwa akizitafuta chokochoko...mi nna hilo jibaba lisiridhika na mke wake....mhh lakin mi ngoja ninyamaze usije nichukia bureee...maana naona mmhhh nishashuka hadhi...
 
mi ntakukunja shati na masikio nakukata nikayatafuna ...halafu ndio naarudi upande wa pili...
Kwa staili hii basi wanaume wataona raha kweli kubandua wanawake wa nje, maana watajua kesi inaangukia kwa wanawake tu hata iweje.
 
Mama wenye mume na hao waandishi wa habari wote punguani. Wangetumia huo muda kufanya interview za maana. Hii inaonyesha jinsi gani journalists wetu walivyo incompetent.

Hakuna journalist pale wale wanawake wote mashangingi ukisililiza vipindi vyao kwenye maradio ndo utawaelewa,yaani wamejidhalilisha wao na mwanamke mwenzao, wakati mwanaume ambaye ndio haswa ilibidi wamuhoji wamekubali kumwacha! halafu eti wanaweza kukaa nakujiita waandishi wa habari!! upuuzi mtupu.. hata maana ya habari hawaijui!!
 
mi ntakukunja shati na masikio nakukata nikayatafuna ...halafu ndio naarudi upande wa pili...

Ilitakiwa na mwanaume atolewe ktk habari kama hivi, kunikunja na kunikata masikio utanunua kesi bure tu wakati ukinitoa ktk habari huna kesi lol
 
aliyoyafanya huyo m.ke{hawara}ni mabaya.huyo m.me nae angestahili kuonyeshwa,kwani wote ni wakosaji.jamani hee mpaka waitwe kina marios kuja kushuhudia,mbona yamekaa kiumbea fulani?kwa nini wasisuluhishe wao wenyewe?.Au hata kama walijaribu kusuluhisha bila mafanikio kwa nini asiamue cha kuamua huyo mke kuliko kuita watu ambao unajua hakika yataishia kuzungumziwa kwenye radio.mpaka kwenye gazeti la shigongo imetolewa
 
si ndio mwenyewe alivyotaka jamanii??? kushare kitu kimoja nayo yataka roho... ila hakustahili kufanya vile haki lilllah...

"Women have to look good because men see better than they think" is silly, but true.

Sometimes we do not think strategically,the problem is her husband not the concubine,i bet this man knew the stupidity of his wife and thats why he was comfortable doing that with the presence of his wife under the same roof......
 
si ndio mwenyewe alivyotaka jamanii??? kushare kitu kimoja nayo yataka roho... ila hakustahili kufanya vile haki lilllah...

Mi wameniboa sana,unaacha mumeo mzinzi una deal na mwanamke ambaye hujui hata mumeo alimdanganya nini hadi kuja hapo kwako......

Nafikiri wangekuiga wewe......lol :laugh::laugh:
 
mhh maajabu hayaishi,wanawake msipokuwa makini mtaendelea kudhalilishwa mpaka mwisho wa maisha yenu,nini hiki,utadhalilisha wangapi:coffee:
 
"Women have to look good because men see better than they think" is silly, but true.

Sometimes we do not think strategically,the problem is her husband not the concubine,i bet this man knew the stupidity of his wife and thats why he was comfortable doing that with the presence of his wife under the same roof......

Great Woman Thinker (GWT) at work
 
Mi wameniboa sana, unaacha mumeo mzinzi una deal na mwanamke ambaye hujui hata mumeo alimdanganya nini hadi kuja hapo kwako......

Nafikiri wangekuiga wewe......lol :laugh::laugh:

Hapa ndo haswaaaaaaaaaaaaaaaa ambapo hawa wanawake vipofu waliposhindwa kuona
Shikamoo michelle, ingewezekana kukugongea THANX 5 at once ningekutandika nazo fasta
 
ajabu wanawake (wanahabari) kumnyanyasa [kijinsia??] mwenzao. inavoonekana baba mwenye nyumba kamchoka wife wake alitaka amuonyeshee ili kama atafunga virago afunge lakini kakuta wife 'kitchen party' imemkaa sawa sawa - kamsamehe mpaka akhera!

Well viewed & commented, hawa wananwake waandishi wa habari wenyewe malaya
hakuna mfano, look how wanavyoshbihikia na kumnyanyasa, hapa mwanamme
kamchoka wife wake, nahisi wife wake malaya sana, hana hisia yoyote kuhusu tukio zima lipolipo tu, pili hadi mwanaume akuletee mwanamke home kakuchoka saaaaana
ila wife wake anasema jumba lote hili, usafiri siondoki ng'ooo, this shows she is
wife material, hata mwanamme akimhonga atatoa easily, na anashabikia like sio wife,
she is an experienced prostitute, she supposed to deal with her husband sio huyu dada wa watu
 
I am grossly dissappointed by this it is a shame. Kwanza hawa waliomrekodi huyu dada anaweza kuwashitaki kwa kumdhalilisha. Kuanza kuonyesha chupi, kumdhihaki na kumcheka ni vitu watu inabidi tuwe waangalifu navyo kwani ni intrusion of privacy ya mtu. Huyu mume ni mpumbavu na mjinga sana kwani kama umeoa inabidi uheshimu ndoa ama sivyo uoe mke wa pili. Sasa kwenda kuzini na kufanya mambo ya kipumbavu kama haya ni aibu na I am ashamed with him kama mwanaume mwenzangu. Unajua hizi pombe kama unakunywa kama maji athari zake ndio hizi. Wamemdhalilisha hebu click katika link hii hapa:-

Kasheshe la fumanizi nyumbani - Global Publishers

Wanaweza kushitakiwa hawa kama huyu dada anataka maana haifai vitendo kama hivi.
 
ivi huyu mwanamke bado ana mpango wa kuendelea kuishi na mumewe shame on you ivi huwa tunafikiria nini kuitia waandishi wa habari madhaifu ya wenzi wetu.kabla hujafanya lolote kwenye maisha lazima kutumia akili sio ushabiki usiokuwa na maana.

na huyo mke aliyefumaniwa yeye ana kosa gani anajuaje kama sio mumewe alitoa ahadi na maneno ambayo si ya kweli labda alimweleza mmeachana hangaika na mumeo kutatua mapungufu yenu na sio kuwapa watu wengine faida zisizokuwa na maana:sad:
 
hivi kwa nini mnamtetea huyo dada kana kwamba yeye ni victim tu-unless alikuwa hamjui huyo mwanaume kabisaaa ila kama ndio wale wenzangu na mie wanaoona sifa saaana kutembea na waume za watu mpk kuwa na guts za kuingia nyumba ya mtu then she deserves hayo manyanyaso!:twitch:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom