. Lakini pia mwandishi ameenda mbali na kusema pia nanukuuSISI WATZ HATUNA UBAVU KUINGIA VITANI SASAIVI KAMA ZILIVYO NCHI ZINGINE
hakuna rais ambaye nilishawahi kumsikia tangu nizaliwa, akisema kuwa nchi yake haina nguvu kijeshi au jeshi la nchi yake halina nguvu....au halina uwezo kuingia vitani
Jamani, kulikuwa na hotuba ya kikwete nimeona kwenye itv leo jioni, sijui ilikuwa imerecodiwa lini, ila alichosema pamoja na mambo mengine, kabla ya kumaliza ni kwamba, SISI WATZ HATUNA UBAVU KUINGIA VITANI SASAIVI KAMA ZILIVYO NCHI ZINGINE...hii ni kauli toka kwa rais wa nchi kubwa kama tz....hakuna rais ambaye nilishawahi kumsikia tangu nizaliwa, akisema kuwa nchi yake haina nguvu kijeshi au jeshi la nchi yake halina nguvu....au halina uwezo kuingia vitani...hata rais banda mwanamke wa malawi hajawai sema hivyo....wenzangu mlimsikia? yawezekana ni kweli tunaye rais dhaifu aisee...pamoja na kwamba alikuwa na nia nzuri na aliongea hotuba nzuri, lakini hakuridhika pale mwishoni akajikuta ameonyesha jinsi alivyo, dhaifu...akakiri kwamba tz hatuna ubavu kuingia vitani na malawi kama zilivyo nchi zingine.
Angalau basi tumheshimu raisi hata kama kichama tunapingana naye. Hiyo sentensi unayomnukuu raisi siyo ya kweli. Hajasema maneno hayo. Kuwa mkweli si vyema kupotosha. Tabia hii ndo inayoshusha hadhi ya JF.
Kwa maelezo haya JK anakiri kinamna kwamba Ziwa Nyasa ni la Malawi hadi hapo 'marekebisho ya mpaka' tunayotaka yafanyike yatakapofanyika.
angalau kumbe na wewe ulisikia...haijaandikwa humo kwenye maandishi lakini alichomekea ile ya kuongeza chumvi, nasema kweli tup mbele za Mungu, alisema kauli hiyo..wale wafanyakazi wa itv au watu waliosikia ile hotuba kupitia itv watatoa ushuhuda wao hapa...Kuna viumbe wa ajabu hapa duniani! Nadhani na wewe ni mmojawapo! Hotuba hii ya mwisho wa mwezi, nimeisikiliza vema leo asubuhi nikiwa na akili timamu! Kwamba: hatuna ubavu wa vita! Unachobisha sielewi ni nini!
jamani, naomba kama kuna wafanyakazi wa itv hapa waje, au kama kuna watu walioona na kusikia ile hotuba waje wathibitishe, pale kabla hajasema Mungu ibariki tz Mungu ibariki africa, alisema wazi kabisa kuwa sisi hatujajiandaa kuingia vita kwasababu kuingia vitani tunaweza kusababisha mgogoro kuwa mkubwa zaidi...vilevile, vita inachukua muda mrefu na sisi hatuna ubavu kama hao wengine wanaokaa muda mrefu kupigana vita....alisema hivyo kabisa.....