Full possession(100%)

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Ndg wana JF hasa wale wazee wa 'totoz' ni hatua gani utakayoifikia ukahisi unaelekea kummiliki 'mtoto' maana mi nikipata contact (namba ya simu) tu nakuwa 50%.... possession.
 
Mukubwa,
it determined with policy of the mtotoz!
Nina my nearest Swaiba alikitongoza kibinti cha Makerere cumpus, acha No kutoa hata na crdt za voucher chenyewe sometyms kikawa kinamtumia mshua, bt jamaa hajaonamo ndumwa sasa mwaka wa 3 ! Mpaka mshua makali yameisha!
 
At mr judge, vipi hiyo lugha ndugu? Duh......imebidi nipumzike kwanza kabla sijarudia kusoma!
 
Nikitumiwa ujumbe mfupi wa "..Gd9t darling..." usiku na "I miss you" asubuhi... mfululizo kwa wiki nzima...95%
 
hahahahaaa!!! mie hadi asalule.....du nakumbuka mmoja aliingi hadi G lakinii akaweka msimamo kama ALQAEDA.....
 
Back
Top Bottom