Fukuzafukuza Wabunge, huu ni ukoloni mambo leo...

Buji!
zamani ubunge ilikuwa ni ufalme mpaka uzeekee huko hata ukiwa unafanya madudu,hii itawashtua kidogo wajue kumbe ukomo si miaka 5 tu bali hata kukiuka katiba na kwenda kinyume na policy kunaweza kukuweka pembeni
mawazo tofauti ni sawa lakini yatolewe vikaoni sio kwenye vijiwe mabibo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom