From Zenj to Kigamboni

Masa make sure 10% unapewa maana umeadvertise na wadau ni wengi nikiwepo maana kweli ni pazuri mno endelea kuvumbua.
 
Mkuu hujatujuza budget yake ikoje hapo kuanzia room na vinginevyo vingi,....japo kiduuchu tupatie.

Rooms Kuanzia USD 90 hadi USD 140 kwa siku kutegemeana na aina chumba.

Local beer 3000 TSHs, Juicy 2500 Glass

Msosi Kuanzia TShs 7000 - 19000

Shots za Whiskeys Kuanzia 4000

Vitu vingine sijui
 
Back
Top Bottom