From Zanzibar: Kura za Maoni Shwari!

Matokeo ndio haya, wana CCM kindaki ndaki madonge yamewanjaa, ati leo wameamua watawaadhibu kwa kuwatupa nje wabunge wao wote ambao majimbo yao yamesema ndio. Hasira hizo watazimalizia kwenye kura zao za maoni ndani ya chama, wanazozipiga leo.
Hasira za mkizi furaha ya kombe.
 
Matokeo ya kura ya maoni (official results)

Kwa mujibu wa habari kutoka Zanzibar hivi sasa matokeo ya kura ya maoni yameshotolewa ni kama ifuatavyo:

Asilimia 66.4% wamepiga kura ya NDIO

Asilimia 33.6% wamepiga kura ya HAPANA.

Kila la kheri Zanzibar Mpya!
Toka

www.wazalendo.net.
 
Majimbo yaliyopiga kura za hapana kwa Zanzibar ni
Chaani kwa kura 3264(63.8%) za Hapana dhidi ya kura 1,864 (36.2%) za Ndiyo.
Donge kwa kura 3234(71.4%) za Hapana dhidi ya kura 1,296 (28.6.2%) za Ndiyo.
Kitope kwa kura 2,738 (59.8%) za Hapana dhidi ya kura 1,843 (40.2%) za Ndiyo.
Chwaka kwa kura 3,887 (59.5%) za Hapana dhidi ya kura 2,643 (40.5%) za Ndiyo.
Uzini kwa kura 4,235 (74.7%) za Hapana dhidi ya kura 1,437 (25.3%) za Ndiyo.
Makunduchi kwa kura 4,961 (64%) za Hapana dhidi ya kura 3,383 (21.8%) za Ndiyo.
Muyuni kwa kura 4,503 (74.5%) za Hapana dhidi ya kura 1,542 (25.5%) za Ndiyo.
Dole kwa kura 2,527 (51%) za Hapana dhidi ya kura 2,429 (49%) za Ndiyo.
Amani kwa kura 2,622(50.2%) za Hapana dhidi ya kura 2,601 (49.8%) za Ndiyo.
Kwahani kwa kura 2,709(60.1%) za Hapana dhidi ya kura 1,797 (39.9%) za Ndiyo.

Tuwasubiri Wabunge na Wawakilishi wa CCM toka majimbo haya kama kweli they will be votted in.

Kitope
 
Ukiyaangalia majimbo yote ni ya akina shamhuna na wenzake wenye kuendekeza siasa za chuki zanzibar.
 
Thanks Pasco
 
Kila la kheri zanzibar, huu ni mwanzo mpya wa siasa za njema za zanzibar. Ila upinzani utatoka wapi kama CCM na CUF wameungana?
 
Nasikia suala kwenye hiyo kura ya maonini 'kituko'.....ya kweli hayo?

Ati suala ni ' unataka mabadiliko baasa ya uchaguzi?'

critics say it can mean anything !!
 
Wakuu zangu,
Mtanisamehe kuwarudisha nyuma kwa mara nyingine. Hapo awali niliuliza swali moja kuhusu NDIYO na HAPANA zinasimamia nini sidhani kama nimejibiwa. Kama tayari naomba kuonyeshwa ukurasa au mtu anaweza kuniwekea hapa tena. sababu ya kuuliza hivi nilitaka kujua swali lilokuwa katika kadi ya kupigia kura ili nipate kuelewa kulikoni, pia hizi Ndiyo na Hapana, zina mahusiano yapi na future system nzima ya vyama vingi nchini.
 
Nauliza tu: Hivi upande wa ushindi unatakiwa upate asilimia ngapi za kura?

Kawaida ya kura za maoni duniani kote ni lazima theluthi mbili, au asilimia 66.67 ipatikane kwa kinachopigiwa kura kipite. Kama katika kura ya maoni Visiwani ni asilimia 66.4 tu ndiyo wamesema "ndiyo" basi suala limeshindikana. I knew it -- it's all usanii.
 
Kikwete wakati anahutubia Taifa jana alisema katika ile hotuba kuwa mabadiliko hayo ni ya muda tu. Naamini Mwanakijiji aliweka ile hotuba hapa na kwa kutumia ile video unaweza kusoma lips za Kikwete akitamka kabisa kuwa suala hilo ni la muda tu. Wataendelea ku-assess kila baada ya miaka mitano what to do with Zanzibar.

Kwa maoni yangu sidhani kama hili suala linatakiwa kuwa la muda maana wananchi wameshatamka kuwa wanahitaji maridhiano na serikali ya kitaifa. Katika kura hizo za maoni serikali, SISIEMU au CUF hawakusema kuwa kura hizi za maoni ni suala la kutafuta ufumbuzi wa muda. Hivyo naamini Kikwete aidha aliteleza au alidanganya UMMA kwa makusudi kuhusu matakwa ya wananchi. Ni vema serikali yoyote inayoingia madarakani kuheshimu matakwa ya wananchi wake, hiyo serikali iko pale kwa ajili ya hao wananchi na ndiyo wenye mamlaka ya nchi yao.
 
Ni vizuri kuona kura za maoni zinapigwa katika hali ya utulivu. Naamini itakuwa vyema kama hali hiyo itakuwa the same wakati wa uchaguzi mkuu.

Kikwete wakati anahutubia Taifa jana alisema katika ile hotuba kuwa mabadiliko hayo ni ya muda tu. Naamini Mwanakijiji aliweka ile hotuba hapa na kwa kutumia ile video unaweza kusoma lips za Kikwete akitamka kabisa kuwa suala hilo ni la muda tu. Wataendelea ku-assess kila baada ya miaka mitano what to do with Zanzibar.

Kwa maoni yangu sidhani kama hili suala linatakiwa kuwa la muda maana wananchi wameshatamka kuwa wanahitaji maridhiano na serikali ya kitaifa. Katika kura hizo za maoni serikali, SISIEMU au CUF hawakusema kuwa kura hizi za maoni ni suala la kutafuta ufumbuzi wa muda. Hivyo naamini Kikwete aidha aliteleza au alidanganya UMMA kwa makusudi kuhusu matakwa ya wananchi. Ni vema serikali yoyote inayoingia madarakani kuheshimu matakwa ya wananchi wake, hiyo serikali iko pale kwa ajili ya hao wananchi na ndiyo wenye mamlaka ya nchi yao.
 
Majimbo yaliyopiga kura za hapana kwa Zanzibar ni
Chaani kwa kura 3264(63.8%) za Hapana dhidi ya kura 1,864 (36.2%) za Ndiyo.
Donge kwa kura 3234(71.4%) za Hapana dhidi ya kura 1,296 (28.6.2%) za Ndiyo.
Kitope kwa kura 2,738 (59.8%) za Hapana dhidi ya kura 1,843 (40.2%) za Ndiyo.
Chwaka kwa kura 3,887 (59.5%) za Hapana dhidi ya kura 2,643 (40.5%) za Ndiyo.
Uzini kwa kura 4,235 (74.7%) za Hapana dhidi ya kura 1,437 (25.3%) za Ndiyo.
Makunduchi kwa kura 4,961 (64%) za Hapana dhidi ya kura 3,383 (21.8%) za Ndiyo.
Muyuni kwa kura 4,503 (74.5%) za Hapana dhidi ya kura 1,542 (25.5%) za Ndiyo.
Dole kwa kura 2,527 (51%) za Hapana dhidi ya kura 2,429 (49%) za Ndiyo.
Amani kwa kura 2,622(50.2%) za Hapana dhidi ya kura 2,601 (49.8%) za Ndiyo.
Kwahani kwa kura 2,709(60.1%) za Hapana dhidi ya kura 1,797 (39.9%) za Ndiyo.

Tuwasubiri Wabunge na Wawakilishi wa CCM toka majimbo haya kama kweli they will be votted in.

Duh! Ina maana kwamba Unguja yote wamekataa kata kata? Sikutarajia hii kitu kwa kweli. Sasa wasipo-vote kwa wawakilishi wao watakuwa wanajipiga miti wenyewe. Itakuwa ni sawa sawa na mtu anayegoma kula ati kupinga kitu.
 
Kibunango

Yanauhusiano, hujiulizi kwanini Pemba yote imesema NDIYO kama inavyotokea wakati wa kura mbalimbali zilizopita. Correlation lazima ipo.

Tena very strong positive correlation with coefficient = +1
 
Niacheni nile Eid El Muafaka...kwa raaaaaha....CUF ipo ikulu sasa...na kazi tunamaliza Oktoba...kazi kwao Kisonge na kachorora...mseto wa mawe na kokoto unalika na wakitaka watakula na sisi hawakutaka wajinyonge....Zanzibar oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Hawa nao ndiyo wale wale! Unaacha kuhamasisha watu wajenge umoja unaanza kuwakebehi kwa lugha za ajabu ajabu?!
 
Ukiyaangalia majimbo yote ni ya akina shamhuna na wenzake wenye kuendekeza siasa za chuki zanzibar.

Hawa wanaitwa Mahafhidhina Yaani sura zao tu ukiziangalia kama Zilaeli mtoa roho za watu, ukiwauliza kwa nini?, jibu watakwambia hawampendi Seif basi. Na kuhusu kura hizi kuwa za muda JK kachemka sana tu kama suala hili ni la muda basi wasingeita referendum; kitu kikiingizwa kwa referendum huwa kinatolewa kwa referendum. JK jana alikuwa anatoa hotuba kwa uwoga na tahadhari, kwa hili Karume na Seif Sharif wanahita piece nobel only if November 1st atatangazwa mshindi halali.
 
Hawa nao ndiyo wale wale! Unaacha kuhamasisha watu wajenge umoja unaanza kuwakebehi kwa lugha za ajabu ajabu?!

Tatizo lako umepiga HAPANA ndiyo kinachokusumbuwa...kisonge ni maaduwi wa zanzibar hawataki umoja wala hawahitaji kuhubiriwa umoja...wao ndiyo kila uchaguzi wanaandaa kambi za 'janjaweed' Tunguu kule, na wanapata tonge zao kwa uhuni huo...,mara hii wanaona mambo hayo hayatakuwapo ndiyo wamekuja kumtukana Karume na Maalim Seif..na nyinyi kama mnenuna kwa wazanzibari kusema NDIYO kwa wingi kajinyongeni I don't care!
 
pole sana mkuu

uko shallow aisee
 
Back
Top Bottom