From Zanzibar: Kura za Maoni Shwari!

Ila hii Dunia nayo ina mambo sana. Sasa hao 33.6 waliosema hapa,, wanafikiria nini vichwani mwao? Kwamba hawataki suluhu? Kwa kweli ishi uone mambo

Wanafaidika na ubaguzi kwani walikuwa wanatumia mgongo wa ubaguzi kufanya ufisadi wao. Sasa wazanzibari wengi hawataki mambo haya kwani wanaona wanazidi kuwa maskini na badala yake wanatajirika wanaojiita wanamapinduzi ndio hao 33.6%
 
Ila hii Dunia nayo ina mambo sana. Sasa hao 33.6 waliosema hapa,, wanafikiria nini vichwani mwao? Kwamba hawataki suluhu? Kwa kweli ishi uone mambo

Bora hao walioonyesha wazi dhamira zao,kuliko sisi huku ng`ambo. Hata haijulikani tunataka nini? Unafiki kwa kwenda mbele,nawapa hi sana ndugu zetu wa visiwani.

Keep it up.
 
Bora hao walioonyesha wazi dhamira zao,kuliko sisi huku ng`ambo. Hata haijulikani tunataka nini? Unafiki kwa kwenda mbele,nawapa hi sana ndugu zetu wa visiwani.

Keep it up.

Hilo neno mkuu sie huku unaweza kuta mtu anajiita champion wa ufisadi but ukichunguza na yeye fisadi. Dr Slaa sasa anagombea unakuta wengine wanaanza vita ya chini kwa chini sasa hata hatujui tunataka nini tuamke bara!!!
 
The Grand Finale ni 188,705 Ndiyo. 95,613 Hapana
Mkuu asante sana; Nafikiri kura hizi zinatoa sura kamili za ushindi wa maalim Seif kila uchaguzi kabla ya kufanyika ada ka dabla. All in all tuwapongeze wanzibar kwa kuachana na sera za jino kwa jino. Nina matumaini pia uchaguzi wa October hautawatisha CCM au CUF na hivyo huenda Seif akatangazwa mshindi this time.
 
Bora hao walioonyesha wazi dhamira zao,kuliko sisi huku ng`ambo. Hata haijulikani tunataka nini? Unafiki kwa kwenda mbele,nawapa hi sana ndugu zetu wa visiwani.

Keep it up.
Hawa jamaa wa zenji kisiasa wametupita mbali sana, wao hawana unafiki na wako wazi wakisema NO ni NO kwelikweli hata uje na greda humbadilishi mtu. Sisi huku ujanja na unafiki umetujaa leo unaweza kuniona nimevaa kijani kumbe nafukuzia dili fulani wala si upenzi wa chama.
 
KN pengine hawajaelimishwa na hivyo kufahamu umuhimu au hasara za upande mmojawapo...hata hivyo unapooliza swali la ndio au hapana unategemea jibu kati ya hapo mawili kwa hiyo mimi nafikiri ni haki yao kusema kile wamesema
 
Bora hao walioonyesha wazi dhamira zao,kuliko sisi huku ng`ambo. Hata haijulikani tunataka nini? Unafiki kwa kwenda mbele,nawapa hi sana ndugu zetu wa visiwani.

Keep it up.

Nimewakubali sana Wazanzibar kwa misimamo yao, ingepigwa huku bara na vyama vyote viunge mkono, matokeo ingekuwa ni 95+%.
 
Mkuu asante sana; Nafikiri kura hizi zinatoa sura kamili za ushindi wa maalim Seif kila uchaguzi kabla ya kufanyika ada ka dabla. All in all tuwapongeze wanzibar kwa kuachana na sera za jino kwa jino. Nina matumaini pia uchaguzi wa October hautawatisha CCM au CUF na hivyo huenda Seif akatangazwa mshindi this time.
Matokeo haya hayana uhusiano wowote na uchaguzi ujao. Zaidi ni matokeo yanayoonyesha kuchoshwa na siasa za chuki.
 
Hawa jamaa wa zenji kisiasa wametupita mbali sana, wao hawana unafiki na wako wazi wakisema NO ni NO kwelikweli hata uje na greda humbadilishi mtu. Sisi huku ujanja na unafiki umetujaa leo unaweza kuniona nimevaa kijani kumbe nafukuzia dili fulani wala si upenzi wa chama.

The opposite is also true, mtu anaweza akapiga magwanda ya Chadema na akaongea kwa uchungu sana juu ya mustakabali wa nchi ukadhani ni mpiganaji wa kweli kumbe anafuta ulaji tu, tuna kazi kweli!!
 
The Grand Finale ni 188,705 Ndiyo. 95,613 Hapana
Baada ya kufichwa matokeo halisi ya chaguzi zilizopita hatimaye the secret behind revealed. Kumbe Seif ndiyo huwa anashinda kiasi hichi kabla ya meza kugeuzwa LOL!. Leo CCM wamekaa wazi hata watoto wameona, watu husema unaweza kumficha wa mbele lakini wa nyuma akaona,
 
Matokeo haya hayana uhusiano wowote na uchaguzi ujao. Zaidi ni matokeo yanayoonyesha kuchoshwa na siasa za chuki.

Yes nilisemaga huko mwanzoni kuwa wazanzibari wengi wamechoshwa na siasa za chuki ambazo baadhi ya watu walikuwa wanazitumia kushika madaraka na kufanya ufisadi. It is a time for a change watu walikuwa hata hawazikani for the sake of siasa hali ilikuwa ni mbaya sana.
 
Matokeo haya hayana uhusiano wowote na uchaguzi ujao. Zaidi ni matokeo yanayoonyesha kuchoshwa na siasa za chuki.
Kibunango

Yanauhusiano, hujiulizi kwanini Pemba yote imesema NDIYO kama inavyotokea wakati wa kura mbalimbali zilizopita. Correlation lazima ipo.
 
Matokeo haya hayana uhusiano wowote na uchaguzi ujao. Zaidi ni matokeo yanayoonyesha kuchoshwa na siasa za chuki.

hapana ndugu,naamini yanaonyesha uhalisia wa mambo japo kidogo....CUF huwa wanashinda
 
Luten;
kwa jinsi nijuavyo siasa za Pemba,sidhani kama jimbo la Mkanyageni hasa vijiji vinavyozunguka mitaa ya Chokocho,kule kwenye jimbo la Gando au hata baadhi ya majimbo ya Wete hasa kuzunguka mji wa Chakechake wanaweza wakakubali "NDIYO" kwenye kura hii hasa kipengele cha kumpa aliyeshindwa uongozi ndani ya serikali ya ZNZ,kule bado wana amini kuwa ni CCM tu ndiyo inapaswa kuongoza na hata wabunge na wawakilishi wa CUF huwa kura hazipishani kihivyo!

Tutegemee pia kura za"HAPANA"kutoka katika majimbo baadhi kule Pemba ndugu yangu Luten!
Malafyale

Sasa inabidi uwakubali wapemba wanamsimamo.
 
Matokeo ndio haya, wana CCM kindaki ndaki madonge yamewanjaa, ati leo wameamua watawaadhibu kwa kuwatupa nje wabunge wao wote ambao majimbo yao yamesema ndio. Hasira hizo watazimalizia kwenye kura zao za maoni ndani ya chama, wanazozipiga leo.
 
Back
Top Bottom