From Uporoto.... with love.

Uporoto iko Mbeya?
Yes. Ni safu ya milima (mountain ranges) ambako mto Ruaha unaanzia.

Kitu garijembe hicho
Kama ni huo mzigo, kwamba umetoka Galijembe , MAY BE, ila vijiji karibu vyote vya pale juu wanalima kabichi.

hivi uporoto sio uyole? manake ukipandisha ule mlima wa uyole ndo unaskia uporoto sasa sijui nini ni nini.

Milima ya Uporoto imeanzia juu kidogo ya hapo lilipo hilo gari, hadi mpakani mwa wilaya za Rungwe na Mbeya, then hadi mpakani mwa wilaya za Mbeya/Makete kule Kikondo.

Lami hiyo walijenga Wafaransa kati ya mwaka 1990 hadi 1995, na hiyo barabara ilizinduliwa na Cleopa Msuya, akiwa ndio anamalizia utawala wa Mwinyi mwaka 1995. Lami bado iko mwake utadhani ya mwaka jana.
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom