From the contracts signed Yesterday, President Magufuli is Genius

Bahati mbaya msaada kama hiyo huwa haipatikan kwa wakat muafaka. Maake hauwez kumudai sababu haujamkopesha. Ila wanajanzi ebu tusaidiane kuchangamsha akili yaani 'critical thinking' hivi ahadi alizotupa huyu mfalume kimsingi si ni RUSHWA? Kwa maana amekuja kutushawishi nchi yetu kuiunga mkono moroco kurudishwa kwenye AU. Je tutakuwa na uhuru wa kupiga kura ya NO VOTE wakat chake ndo kaishatuahidi na if cast no vote hatotupa alichotuhaidi. SWALI JE HIZI AHADI SI NI RUSHWA KWETU. TUJADILI
U scratch my back n am scratching yours.

This is the point chief
 
Mkuu mbona mm naona makubaliano tu ndio Mengi ? Ninavyojua mkataba unakuwa na "Legal binding" Je,vp kuhusu makubaliano ?
 
Morocco haikuondolewa AU(OAU wakati huo) bali ilijiondoa sababu hawakuungwa mkono na kitendo chake cha kui-colonize Sahara Magharibi msimamo ilikuwa ni kuwa WAIACHIE ijitawale.

Tanzania ilikuwa na msimamo sawa na nchi za kwenye UMOJA huo.

Waziri Mahiga bado kasema MSIMAMO wa tz ni ULE ULE wa miaka ILEEE "MOROCCO FREE WESTERN SAHARA.

Kwa hiyo hamna Rushwa hapo.
 
Back
Top Bottom