From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Nikiwa mwanaume na ninaeishi DAR zaidi ya miaka 25 nasema:
1. Sina shaka wanaume wa Dar wamekutenda,au wamekuingiza mjini pole sana. Labda nikuulize umepona??(sijui unanielewa?)
2. Lazima wakushangae ....Dar ni joto sana wewe ukitembea na makoti na masweta mazito mwilini kwa nini wasishangae??
3. Vilevile staili yako ya uvukaji wa barabara hasa zile za highway lazima uliwaacha hoi hao waliokushangaa.
4. Dar kuna wanaume wa kila aina,kwa watoto wa mama inaongoza, kwa wanaume walioajiriwa pia Dar inaongoza. Kwa wanaume wafanya biashara wengi zaidi pia inaongoza hapa TZ.Nenda ofisi za takwimu waweza kujua ni mji gani TZ unaongoza kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara au walioajiriwa. ULIKUTANA NA VIJANA WA KIJIWENI.....HALAFU DAR MTU WA KIJIWENI WAWEZA DHANI NI MENEJA VILE KULE KWENU KUMBE YEYE NI.........WANAITA MISHENI TOWN.
5. Taja duka moja tu na eneo lilipo ambapo wanauza hizo dawa za nguvu za kiume. Au mkuu umechanganya wale wauza dawa za kienyeji na duka la DAWA?? ulijaribu kuwapigia kwa mtandao wa tigo ukaona bado hawasomeki???
6.Ni vigumu sana kuielewa DAR haraka haraka. Sina shaka ulipita vijiweni inawezekana nawe ni wa kijiweni.
Nenda pale kariakoo sokoni utakuta wanaume wanapiga sahani mbili za chakula na mikate miwili na hajashiba...HAO NI WABEBA LUMBESA. Ungekutana na aina hii ya wanaume ungesema duuuuu wanaume wa DAR kwa KULA !!!!!!!!
7. Siku nyingine ukija DAR acha kutembelea au kujipitisha vijiweni....... ha ha ha ha SIKU NYINGINE KARIBU TANDALE KWA MTOGOLE...........

Wabilah Tawfiq
Mwanaume wa DAR.
Hahahahaha! dah!...... mkuu kuna msemo mmoja unasema "aisifuye mvua, imemnyea"
 
huko dar kuna wanaume wanashangaa wanawake utadhania hawajawahi kuona mwanamkee
wananiboa sana

Umbo lako tu Mariantonia....si umeshasema umejaliwa na wao wana macho na urijali??

Hawakuumi bwana, have fun with the attention...!
 
ODM aka Asprin aka Muzee wa Mujini aka Muzee wa Dar aka Muzee vitu vikali okoa jahazi bado ni half time score board inaweza kubadilika na kusoma tofauti vinginevyo mrembo nimeshampa mji na kachagua Mbeya na Mbeya ndiko makazi ya Losambo kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!
Sasa mboahahana hujanimiminia ka-LIKE niongeze umri wangu wa kuishi?

Watu siku hizi wanangonoka na sabuni itakuwa wanaume wa Dar?
 
Umbo lako tu Mariantonia....si umeshasema umejaliwa na wao wana macho na urijali??

Hawakuumi bwana, have fun with the attention...!
mbona mikoani hawashangai najipitia mtaa kwa mtaa, uchochoro kwa uchochoro
hawa wa dar hawana issues zaidi ya kuwalinganisha wanawake wawaonao mabarabarani
 
Ila leo umewaamulia, watupie taulo na karibu Mbeya banaa, kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh!
mbona mikoani hawashangai najipitia mtaa kwa mtaa, uchochoro kwa uchochoro
hawa wa dar hawana issues zaidi ya kuwalinganisha wanawake wawaonao mabarabarani
 
mbona mikoani hawashangai najipitia mtaa kwa mtaa, uchochoro kwa uchochoro
hawa wa dar hawana issues zaidi ya kuwalinganisha wanawake wawaonao mabarabarani

be specific hapa tunazungumzia DAR.....na huko mkoani wasikokushangaa wewe ni mkoa gani TAJA NATOKA MJI FULANI.
 
Japo sina jacuzzi
Nimenunua beseni kubwa pale simba plastic
Nina omo, mchanga wa bahari, still waya, dodoki la mfuko wa sandarusi/chumvichumvi na jiwe
Nina majivu, mkaa, chumvi na mswaki wa mti kwa ajili ya kinywa

Bado nitakuwa na tatizo???
ukija mjini siku nyingine oga kabisa usiletee watu mafua ...lol
 
  • Thanks
Reactions: bht
Wee..Tutake radhi Wanaume wa Bongo..(kuna WA-KIUME & MWANAUME) elewa Mazingira ni tofauti..Bongo kuna wagumu mpaka basi..Lifti hatupandi yaani ngazi kwa kwenda mbele hata 20 flr..Dobi kwetu hana kazi!! Life tulianza na jiko la stov usafiri chai maharage..Tatizo mkija town mnavamia wapaka MI PODA +LIP GLOSS ( ambao hata chupi hawawezi kufua,kupika ndio kabisaa unataraji nn hapo?). Na kuvaa vi skin jeans tofauti na huko mlikotoka,@ kwenda na wkt, msizomewe?
Mkuu labda nikuulize,kwa mfano CHIZI akikukosea utamtaka akuombe radhi???
 
Japo sina jacuzzi
Nimenunua beseni kubwa pale simba plastic
Nina omo, mchanga wa bahari, still waya, dodoki la mfuko wa sandarusi/chumvichumvi na jiwe
Nina majivu, mkaa, chumvi na mswaki wa mti kwa ajili ya kinywa

Bado nitakuwa na tatizo???

hahahahahahahh ivyo ni vifaa bado luoga, lol
 
..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza

Unaweza ukawa unasema ukweli aisee.

Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

Imefahamika kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Katika jiji la Dar es Salaam pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tu ya wanaume wa Dar es Salaam walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea. Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
 
mbona mikoani hawashangai najipitia mtaa kwa mtaa, uchochoro kwa uchochoro
hawa wa dar hawana issues zaidi ya kuwalinganisha wanawake wawaonao mabarabarani

Wa Dar wajanja macho yao yanaona visivyoweza onekana na wa mikoani,trust me nimeishi muda pale!
 
Tunasubiria kuchukua maamuzi magumu....:eyebrows:
kama kawaida ya wanaume wa dar inawachukua muda mrefu sana kuchukua maamuzi magumu ndio hata hao wali kwenye surakali hawawezi kuchukua maamuzi magumu afadhali hata awamu ya pili alikuwa anachukua maamuzi magumu aliyoshauriwa na mkewe
 
Dar tunajitosheleza hatuhitaji wanawake scraper kama wewe, by the asifuye mvuwa juwa imeshamnyeshea ushaliwa kote kote ndio unawajuwa leo wanaume wa Dar?
 
Unaweza ukawa unasema ukweli aisee.

Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

Imefahamika kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Katika jiji la Dar es Salaam pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tu ya wanaume wa Dar es Salaam walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea. Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Baada ya kumalizia utafiti wake Dar utafiti uliendelea na mikoa mingine au kwa kuwa Dar ndio TANZANIA, utafiti uliishia hapo?....
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Similar Discussions

Back
Top Bottom