From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Uko pande ipi shem, kwanza nina kesi na wewe....tukutane New Arusha then tumalizie siku kwa Morombo...lol

BTW: Mary atakuwepo kwa hisani ya wanaume wa Arusha( wazee wa kazi,wasio lia lia ovyo....lol)
lazima niwepo hapo kila nikipapasa macho wamejaa wanaume wa arusha
 
Ilianza kwa wachaga, imehamia kwa wanaume wa Dar. Ukifanya analysis utagundua athari zinazowakumba mabinti ambao wakiamka tu, fikra zao ziko kwenye ngono..... Kuna mmoja tuko naye kazini, ye kashafikia hatua akimuona mwanaume cha kwanza anajaribu kuimagine na kujikubalisha kuwa mwanaume huyu ubo.o wake utakuwa na size ya inch ngapi. KIZAZI CHA NGONO Hatari sana hiki! .... Haya vijana wa Ar jipangeni foleni mummimine huyu binti, zali limewaangukia na anayaweza.
 
Hii inachekesha lakini ina ukweli sana ndani yake.
 
Ilianza kwa wachaga, imehamia kwa wanaume wa Dar. Ukifanya analysis utagundua athari zinazowakumba mabinti ambao wakiamka tu, fikra zao ziko kwenye ngono..... Kuna mmoja tuko naye kazini, ye kashafikia hatua akimuona mwanaume cha kwanza anajaribu kuimagine na kujikubalisha kuwa mwanaume huyu ubo.o wake utakuwa na size ya inch ngapi. KIZAZI CHA NGONO Hatari sana hiki! .... Haya vijana wa Ar jipangeni foleni mummimine huyu binti, zali limewaangukia na anayaweza.
i was bone for wanaume wa nje ya dar!!!!!!!!!!
dear!!! ulijuaje huyo mdada anawapimia wanaume maumbile yao awaonapo??????? hata wewe inaelekea unawaza sana huko
 
Ha ha ha ha Kitablet,
Naona leo pameshikwa bayaba!!
Umeongea kwa :hatari:

Ilianza kwa wachaga, imehamia kwa wanaume wa Dar. Ukifanya analysis utagundua athari zinazowakumba mabinti ambao wakiamka tu, fikra zao ziko kwenye ngono..... Kuna mmoja tuko naye kazini, ye kashafikia hatua akimuona mwanaume cha kwanza anajaribu kuimagine na kujikubalisha kuwa mwanaume huyu ubo.o wake utakuwa na size ya inch ngapi. KIZAZI CHA NGONO Hatari sana hiki! .... Haya vijana wa Ar jipangeni foleni mummimine huyu binti, zali limewaangukia na anayaweza.
 
Ilianza kwa wachaga, imehamia kwa wanaume wa Dar. Ukifanya analysis utagundua athari zinazowakumba mabinti ambao wakiamka tu, fikra zao ziko kwenye ngono..... Kuna mmoja tuko naye kazini, ye kashafikia hatua akimuona mwanaume cha kwanza anajaribu kuimagine na kujikubalisha kuwa mwanaume huyu ubo.o wake utakuwa na size ya inch ngapi. KIZAZI CHA NGONO Hatari sana hiki! .... Haya vijana wa Ar jipangeni foleni mummimine huyu binti, zali limewaangukia na anayaweza.

Ha ha ha haaaa ODM umeongea ukweli sana bana
 
Mimi ni mwanaume na naishi Dar kwa sasa lakini nachukizwa na mitindo ya maisha ya baadhi ya vijana wa Dar, wanavaa visuruari vinavyobana halafu kata k, t shirt za kubana mikono mifupiiii, hereni nk; mwanaume wa jinsi hiyo haongozani na mimi acha niitwe mshamba.

HAO WOTE NI MALIMBUKENI NA WAKUJA ...A.K.A WA KULETWA Dar
 
kwakweli point tupu!! Huku hakuna wanaume kabisa.. Kuna waomba ela kwa mademu zao..sijui nani kaanisha huu upuuzi wa kuomba ela mademu..hovyooo
 
Ha ha ha ha Kitablet,
Naona leo pameshikwa bayaba!!
Umeongea kwa :hatari:
Hahahaha! wala si kihivyo kwakuwa mie mwenyewe si wa Dar kwahiyo niko kwenye list yake ya wenye sifa ya kumkamua...... Hapa ni suala la kuamua tu manake binti kashanidondokea kama alivyowadondokea wa mikoa mingine ishirini na ushee iliyobakia.... Tatizo, ntawahi foleni? LOLEST
 
Nikiwa mwanaume na ninaeishi DAR zaidi ya miaka 25 nasema:
1. Sina shaka wanaume wa Dar wamekutenda,au wamekuingiza mjini pole sana. Labda nikuulize umepona??(sijui unanielewa?)
2. Lazima wakushangae ....Dar ni joto sana wewe ukitembea na makoti na masweta mazito mwilini kwa nini wasishangae??
3. Vilevile staili yako ya uvukaji wa barabara hasa zile za highway lazima uliwaacha hoi hao waliokushangaa.
4. Dar kuna wanaume wa kila aina,kwa watoto wa mama inaongoza, kwa wanaume walioajiriwa pia Dar inaongoza. Kwa wanaume wafanya biashara wengi zaidi pia inaongoza hapa TZ.Nenda ofisi za takwimu waweza kujua ni mji gani TZ unaongoza kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara au walioajiriwa. ULIKUTANA NA VIJANA WA KIJIWENI.....HALAFU DAR MTU WA KIJIWENI WAWEZA DHANI NI MENEJA VILE KULE KWENU KUMBE YEYE NI.........WANAITA MISHENI TOWN.
5. Taja duka moja tu na eneo lilipo ambapo wanauza hizo dawa za nguvu za kiume. Au mkuu umechanganya wale wauza dawa za kienyeji na duka la DAWA?? ulijaribu kuwapigia kwa mtandao wa tigo ukaona bado hawasomeki???
6.Ni vigumu sana kuielewa DAR haraka haraka. Sina shaka ulipita vijiweni inawezekana nawe ni wa kijiweni.
Nenda pale kariakoo sokoni utakuta wanaume wanapiga sahani mbili za chakula na mikate miwili na hajashiba...HAO NI WABEBA LUMBESA. Ungekutana na aina hii ya wanaume ungesema duuuuu wanaume wa DAR kwa KULA !!!!!!!!
7. Siku nyingine ukija DAR acha kutembelea au kujipitisha vijiweni....... ha ha ha ha SIKU NYINGINE KARIBU TANDALE KWA MTOGOLE...........

Wabilah Tawfiq
Mwanaume wa DAR.
 
ndo natoka shamba kutia mbolea ...nafungua jf nakutana na huu uzi....nabaki nacheka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom