From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Mwanaume hajibiwi vibaya bana, kama hujawapenda watu wa Dar karibu Mbeya MariaNtonia uje ule na kusaza.
simkosi mwanaume yeyote nimtakaye naishukuru figure yangu hainiangushi
mimi si mgeni wa DSM na wanajibu majibu ya ovyo sana mpaka wanakoma na mimi
 
Tafuta wala ngamia, uone kama hujakiiba kitandani.....ngamia hata umle mzima hupati cholesterol.

Wala ngamia hawana shida ya
ku punguza LDL.

 
Hivi uanaakili uansema wanaume wote dar hawa fai?
1. Mahitaji yako ya siku SH ngapi?
2.Unaingiza SH kwa siku

Wewe umekutana na vibaka ndomana unasema hivyo.
 
Wee..Tutake radhi Wanaume wa Bongo..(kuna WA-KIUME & MWANAUME) elewa Mazingira ni tofauti..Bongo kuna wagumu mpaka basi..Lifti hatupandi yaani ngazi kwa kwenda mbele hata 20 flr..Dobi kwetu hana kazi!! Life tulianza na jiko la stov usafiri chai maharage..Tatizo mkija town mnavamia wapaka MI PODA +LIP GLOSS ( ambao hata chupi hawawezi kufua,kupika ndio kabisaa unataraji nn hapo?). Na kuvaa vi skin jeans tofauti na huko mlikotoka,@ kwenda na wkt, msizomewe?
 
thanx for kugundua dia lakini baadhi r okay

Umeonaee...Mwambie itategemea alifikia wapi...Dar kubwa ban.. wenzio hawataki kusikia sehemu yeyote zaidi ya DSM.. Tatizo aishoboka na kujipitisha pitisha kwa wauza Nyago full kujimenua(kama namuona) akadhani ndio marijali,Hahahaaaaaa imekula kwako
 
simkosi mwanaume yeyote nimtakaye naishukuru figure yangu hainiangushi
mimi si mgeni wa DSM na wanajibu majibu ya ovyo sana mpaka wanakoma na mimi

Futa usemi wako mamaa..... huna uwezo huo... mimi hunipati hata nikukute unataka kufa...:lol::lol::lol::lol::lol:
 
Wape wape wapeeee!

Mtoto wa town hazomewi,huzimewa wakuja kwani maranyingi hukurupukia mambo....alidhani huku town Wagumu wanashoboka na MABOGA.. Wagumu tuko tite na mkwanja wauza NYAGO kijiwe kupiga picha... na bado wataichukia sana BONGO pasi na kujitambua..... Arudi A-Town akawakimbize nduguze........ Hii ndiyo B.O.N.G.O ban..
 
Wewe usitupie lawama kwa wamnaume wa Dar tu , may be na wewe unadosari zako unaamua kushusha lawama tu. DAR kubwa na inawaume wa kumwagwa kukutana na huyo mmoja ndo wote wapo hivyo think twice!
 
thanks alot
Wewe MARIA umegeneralize mno.Kuna wanaume wa shoka hapa dar ambao wametoka bara na wamekuja kufanya kazi.Wanajua kazi si mchezo bila hata kutumia dawa.Najua umekutana mmoja mlegevu ukajua wote tuko hivyo?Daaah imeniuma sana.Ningekuwa na uwezo.....
 
Mmh!!!!!! makubwa ngoja nijipitie zangu, watakujibu wenyewe, ila wengi sisi ni wahamiaji, so by wa Dar nafikiri unamaanisha wazaramo, maana mi nakaa Dar n' am fit.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom