From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Mariantonia' una uwezo mkubwa wa kutabiri mambo yajayo...yani kama ulijua kuwa vidume vya dar kunasiku vitajidhalilisha kwa kuwa kimbia panya road
 
Pelekeni usengerema wenu huko..Yani watu badala ya kutafuta pesa mmekalia Majungu hivi hamuoni jinsi miaka inavyokimbia kasi? Kwa asili mimi ni mchaga ..Babu yangu amezaliwa Dar,amekulia Dar,amesoma Dar,amefia Dar na bibi pia,Wazazi wangu baba na mama wamezaliwa dar na mimi/ndugu zangu tumezaliwa dar.....Na ili mtu upate mafanikio ni lazima upate Elimu bora ya darasani, na ya kidini pia ....Sasa mleta mada amekutana na masharouharo wa sinza na kwingineko ambao elimu sifuri,kujituma sifuri,Ndio unataka ujumuishe kila mtu??kwa mfano Mimi nina Masters katafute mlugaluga wa Bara mwenye Masters pia uone nani atasubiri(nazungumzia maseke watoto wa mjini wananielewa hapa) Hata sikumoja huwezi kujifananisha na mtu ambaye kitovu chake kimetupwa baharini kikaliwa na samaki na yule ambaye kitovu chake kimetupwa migombani/porini kikaliwa na bundi kama siyo fisi...
Note: Lazima ujifunze kutofautisha kati ya x na kuzidisha,kuna msalaba na kujumlisha......
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa staki mwanaume wa dar

1.wengi ni watoto wa mama
2.huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza nguvu za kiume
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

note:wanaume wa dar wapo kama wanaume wa zaire

ulifuata nini dar??? Ungebaki kwenu
 
Kwaio mleta mada anazungumzia watu kutokua self made kwamba wame inherit sasa lengo la kua self made na ku accumulate wealth si ni ili wewe na vizazi vyako vya baadae visihangaike kama ulivyo hangaika wewe (unaejiita self made) maana makaburini watu hawazikwi na hela wala mali..pili mleta mada hajasema yeye ni mwanamke wa wapi usikute ni wa iringa au mbeya anavigimbi kama usain bolt
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Note:Wanaume wa dar wapo kama wanaume wa ZAIRE
Njoo huku vijiji tuenjoy mapeni nje nje na starehe kibao.... Uwe na elimu yako tu ya kutoka huduma kwa jamii.. hima hima njoo bidada langu.
 
Umeyajua haya baada ya kupakuliwa
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Note:Wanaume wa dar wapo kama wanaume wa ZAIRE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom