From div 0 to hon eac;maisha ni juhudi tu jamani kufeli shule si kufeli maisha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Pengine wewe ni mmoja wa wenyeji wa div 0 ama 4 za mwaka huu
nakupa nguvu wapo waliopata kama wewe wakarudia mitihani
leo ni wabunge wa eac..

Napenda kukwambia kufeli shule mara aya kwanza si kufeli maisha upo na nafasi ya kutulia na kusome urudie mitihani aijalishiumesoma mazingiriaa gani..na wala kufeli kwako sii misumari bali ni moja ya matokeo ukiwa uwanja wa mpira kuna kufungwa na kushinda ama draw ila kwenye shule draw aipo \
so jitahidi soma soma soma aiajalishi utakwama wapi komaa...leo naenda kugonga glass na hon
mungu akupenguvu naamini yule .....utompa nafasi tena akuharibie maisha yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom