from dar es salaam with love, Nipo wadau...

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
nadhani mnashangaa nimepotelea wapi kwa siku za hivi karibuni,
kweli tangu nije dar nimekuwa busy sana mpaka nakosa time ya kutinga JF, sio mbaya lakini kwani baada ya kazi uwa najitahidi kuwatafuta wadau wa chit chat atleast tupate kufahamiana na kusogeza sogeza time....

nawashukuru wote niliokutana nao kwani i really had great times with you....

afu cacico ijumaa sijui tu...

anyways nitarudi hewani full time kuanzia wiki ijayo sasa ivi bado nimetingwa kiaina

nawasalimia wote kutoka jiji la maraha

PS: i miss you charminglady
 
Last edited by a moderator:
Enjoy my dear, ndo maisha yenyewe hayo........................... ila usipitilize maana huko magazeti ya udaku yote ndo kiwandani, so be careful
 
Enjoy my dear, ndo maisha yenyewe hayo........................... ila usipitilize maana huko magazeti ya udaku yote ndo kiwandani, so be careful

hata usihofu, im in good company
 
wooh, nice to see u my huz yan nimekumiss mbaya. kama vp friday ntakuibukia huko huko make nkizubaa ntaja kuta mwana sio wangu. btw kijacho anakupa hi sana. . .
 
nadhani mnashangaa nimepotelea wapi kwa siku za hivi karibuni,
kweli tangu nije dar nimekuwa busy sana mpaka nakosa time ya kutinga JF, sio mbaya lakini kwani baada ya kazi uwa najitahidi kuwatafuta wadau wa chit chat atleast tupate kufahamiana na kusogeza sogeza time....

nawashukuru wote niliokutana nao kwani i really had great times with you....

afu cacico ijumaa sijui tu...

anyways nitarudi hewani full time kuanzia wiki ijayo sasa ivi bado nimetingwa kiaina

nawasalimia wote kutoka jiji la maraha

PS: i miss you charminglady

Halafu wewe, mbona umezima simu bana....
Vipi leo tunaweza kukutana maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya... Kuna supu ya makongoro ya Nguruwe inapatikana pale.
 
Mentor na st. paka mweusi hebu tuonane pm ili tuone tuna onanaje...

mzee Mtambuzi umesema uko mitaa gani now?
 
Last edited by a moderator:
Sijui leo nitasalimika kwenye hii cocktail, kuna vidosho vimenizunguka hapa.... Duh, Ma-PA wa Ma-MD na Ma-CEO Nouma kweli kweli...LOL

waulize kama wanawajua wanao. Hivi ile picha yetu unayo kwenye wallet?
Afu dadii nimekukosa! Mgeni akiondoka nitakuja kukupiga mzinga, nimeloweka wallet.
 
Back
Top Bottom