From +491606436807 (SPAM)

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,756
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938

Habari ndio hiyo. Huu ujumbe nimeamka asubuhi nikakuta ziko sms 5! Nikazifuta zote. Baadae tena wananitumia, and i ask to myself, is cameron at work? Anayezihitaji nani nimpe namba yangu?
 
Teh teh teh teh teeeh! umenikumbusha ujumbe ambao kila siku nakutana nao kwenye web mbalimbali. utakuta ujumbe unasomeka hivi "hey you win, your the 999999999999999999999 viewer, click here to claim" sasa jaribu ku-click uone kama virus wa kutosha hawajaidedisha PC
 
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938

Habari ndio hiyo. Huu ujumbe nimeamka asubuhi nikakuta ziko sms 5! Nikazifuta zote. Baadae tena wananitumia, and i ask to myself, is cameron at work? Anayezihitaji nani nimpe namba yangu?

nilitumiwa hiyo mwaka jana,ni ka search na kuta wizi.juzi katumiwa mdogo wangu,nimemshauri aziache tu.
 
Mimi nimetumiwa ujumbe huo ujumbe kutoka namba nyingine inaanzia +49 ... wanieleza ati nimeshinda NOKIA END OF YEAR PROMO wakati mimi natumia simu aina tofauti, niliwaacha kama waqlivyo nikakaa kimya. Hao ni matapeli, na si vizuri kuanza nao mawasiliano kwani watakusumbua sana wakitaka hiki hadi kile, lengo hela zako. Beaware, Western Africans at work!!!
 
hawa nawanyaka kweli. Hawajui kuwa huo usanii umesha expire?
 
kls-wmk.php.jpg wezi wenyewe hawa hapa.
 
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938

Habari ndio hiyo. Huu ujumbe nimeamka asubuhi nikakuta ziko sms 5! Nikazifuta zote. Baadae tena wananitumia, and i ask to myself, is cameron at work? Anayezihitaji nani nimpe namba yangu?

Niliwahi kupata ujumbe km huo ktk cm yangu.Nilipo fungua kuusoma tu,kilichofuata ni KUPOKEA SMS hadi 80 kila baada ya dk 15 tena zinaingia kupitia OUTBOX na kujituma kwenye namba nilizohifadhi kupitia tena OUTBOX SERVICE.
 
Nyie zubaeni, mimi nimeshashinda mara 2 na hapa nilipo hata sijui hela zingine niweke wapi manake akaunt zangu zimejaa sasa.
 
mimi walinitumia miaka 3 iliyopita,sasa hivi ni milionea wakutupa hapa kijijini kwangu!enzi hizo kulikuwa hakuna utapeli
 
shizu na fabi mnatupa mashaka. Hela zimetoka london hizo (joke). Hivi bado kuna watu wanadanganyika kwa staili hii?
 
Usiache kuongea, make kila uongeapo upupu, sifa zinaongezeka!

Acha kunifuatafuata we kinabo. Ungekuwa na akili kidogo tu ungejua kuwa natania. How serious is this issue for you to be annoyed? We ndio unatafuta sifa. Sura kama naniliu..!
 
Back
Top Bottom