friji za coca cola na pepsi

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
wana JF,naomba kwa anayejua taratibu za kupata mafriji ya coca cola na pepsi ili nami niwe mjasiriamali
nawasilisha
 
Wabongo kwa kupenda vya cheee....! Kama ujasiriamali mpaka upewe friji ya bure? Anyway kikubwa lazima wale jamaa uwe ume-establish urafiki nao......sio rahisi wakupe friji from nowhere. Na kue-establish urafiki nao lazima uwe mteja wa kitambo na position ya kibanda/duka nk unapofanyia biashara liwe strategic ambalo either kuna mauzo mengi au ni sehemu nzuri kwao kutangaza biashara yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom