ubunifu asilia, au vipi wanajamvi
ubunifu asilia, au vipi wanajamvi
rafiki, mimi nikiendaga kijijini, hata kama sina kiu huwa naomba maji, harufu yake tu inanivutia kuyanywa................ hasa ukute maji yamechotwa kisimani halafu yakatiwa mtungini.................. na huwa hayachemshwi yale lakini hakuna cha typhoid wala niniMie nayapenda sana maji ya mtungini. Ni matamu kupita kiasi!!! Unachemsha maji yako unasubiri yapoe kisha kuyaweka mtungini. Naweza kunywa maji hata glass tano kwa wakati mmoja.
rafiki, mimi nikiendaga kijijini, hata kama sina kiu huwa naomba maji, harufu yake tu inanivutia kuyanywa................ hasa ukute maji yamechotwa kisimani halafu yakatiwa mtungini.................. na huwa hayachemshwi yale lakini hakuna cha typhoid wala nini
mimi huwa nayafanya hayo nikiwa mjini, sinywi maji kwa watu kama sina uhakika kama wanachemsha au la. kwa kijijini huwa naangalia mazingira. kabla sijaomba maji huwa naomba kwenda toilet hata kama sijabanwa. mara nyingi sana hali ya toilet huwa inakutambulisha hygiene ya mahali hapoAhsante sana FP kwa mchango wako, mie kusema kweli ni muoga sana kunywa maji ambayo hayajachemshwa. Hata nikienda nyumbani kwa mtu kama tumezoeana sana nikihitaji maji basi lazima niulize mnachemsha maji yenu ya kunywa? lakini kama hakuna mazoea ya karibu basi ni heri tu ninywe hata kinywaji baridi chochote kile lakini si maji. Nimewahi kuona watu waliopata kipindupindu jinsi walivyorudisha namba haraka sana basi nikasema kamwe mdomoni mwangu hayataingia maji ambayo hayajachemshwa. Hilo la maji ya mtungini kuwa na harufu nzuri sana ni kweli, ila nililisahau.
BAK umenikumbusha mbali sana, maji yake huwa hayanuki clorine bana yanakauwa na harufu ya udongo wa mtungi lol halafu ni ya baridi ile mbaya. sasa hivi tunataka kuziadvance hizi tuziekee membrane filters zenye micropores 4mm yaani ili zitumike kuchuj maji kwa watu wa vijijini ishu imekuwa ngumu kwenye utunzaji yaani ikivunjika ndo basi tena. pia ikisha clog hiyo filter mtumiaji ataaboreka nayo so ataaidiscard despite gharama ambazo serikali imeinvest kwenye hiyo filter.Mie nayapenda sana maji ya mtungini. Ni matamu kupita kiasi!!! Unachemsha maji yako unasubiri yapoe kisha kuyaweka mtungini. Naweza kunywa maji hata glass tano kwa wakati mmoja.
mimi huwa nayafanya hayo nikiwa mjini, sinywi maji kwa watu kama sina uhakika kama wanachemsha au la. kwa kijijini huwa naangalia mazingira. kabla sijaomba maji huwa naomba kwenda toilet hata kama sijabanwa. mara nyingi sana hali ya toilet huwa inakutambulisha hygiene ya mahali hapo
@fixeed point aisee hii theory yako siyo kabisa. unless kama umefanya tafiti nyingi katika vijiji vya huko tanganyika. mara nyingi sana kuna watu hasa baadhi ya waislam kwao maliwato ni priority sana ila kwingine siyo. kuna siku tulikwena singida vijijini yaani unamkuta mtu uwanja msafi na choo kizuri kweli ila mtu huyu maji anayokunywa ni machafu sana anachemsha kisha kikombe cha kunywea ndicho kinacho chota majia ndani ya water can. sasa unakuta mwingine katoka toilet anashika kata tena yenye mkono mfupi so lazima mkono utadumbukia, ananywea kikombe hicho hicho. na kaukairudisha hapo.mimi huwa nayafanya hayo nikiwa mjini, sinywi maji kwa watu kama sina uhakika kama wanachemsha au la. kwa kijijini huwa naangalia mazingira. kabla sijaomba maji huwa naomba kwenda toilet hata kama sijabanwa. mara nyingi sana hali ya toilet huwa inakutambulisha hygiene ya mahali hapo