Friends with benefits

habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.
sasa unataka ushauri gani sasa?
 
Atakuwa na yeye kakupenda embu mchunie kidogo uone kama hatakonda huyo
no friend with benefit in africa my friend, kwa malezi tuliyokulia sio rahisi
 
Jitahidi naye akupende sana ili mwisho muwe pamoja, au ng'atuka!
 
Kwanza kabisa mie naamini hakuna mambo ya friends with benefit..... Once you sleep with a person mambo mengi hubadilika saana hasa kimatendo, siamini kua everything kiko kama ilivokua kabla hamjaanza hizo benifits. Huyo anaqualify kuitwa tu "**** buddy" for yupo available for all the booty calls. Ila tu mpaka umeileta hapa it means inakuumiza... Kwamba you have feelings for her. Amabayo ni very ironic for kwa wanaume wengi wangeridhika na hio hali hata daima. Inabidi wewe mwenyewe utafakari kama umeridhia kuendelea na hio ya friends kama hujaridhia it is better uachie ngazi for utaumia saana mwishowe - for kumbuka mwanamke kama kaweza lala nawee for more than 8 months na bado hana feelings juu yako ni dhahiri anakutumia kabisa, ingawa waweza ona kama wee ndo wafaidi...
 
Mkuu, si kweli kuwa ana mtu wake ninachokiona hapo ni kuwa huyo
Mwanamke hana mtu isipokuwa WEWE SI CHAGUO LAKE yaani ni
kama simba anayekula nyasi baada ya kukosa nyama. Akishapata
dizaini anayohitaji........................
 
Back
Top Bottom