Friends with benefits

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.
 
Hapo mkubwa chukua maamuzi magumu achana na huyo dada hana mapenzi ya dhati na wewe atakutumia na mwisho akumwage..
 
Amua tu na uachane naye,
Hakupendi anakutumia km back up tu,
Siku jamaa akirudi nawe ushazama penzin atakumwaga na utaumia sana,
Tafuta atakaekupa upendo usiokuwa na masharti.
 
mwenye macho haambiwi tazama, huyo hata badae mkiamua kuwa na relationship atakujtumia sana kwani ameshazoea kukuweka kama second class kwenye moyo wake; wajinga ndio waliwao
 
meku wee ameshakwambiaa mmegane ilaa no love na wewee...wee unaweka kambii,unataka kujenga kibandaa.ushauri wangu kuwaa 50/50 mguu njee mguu ndani.anything can happen.tafutaa unae mpenda na yeye atayekupenda mambo ya kushare sio issue.
 
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.

Huyo mdada hajielewi au anapenda mchezo wako kushinda wa jamaa....miezi nane yotee hiyo umeshindwa kutambua kama unatumika na huyo mdada anazingua??!!.... Hakuna urafiki wa kulalana unless mmekubaliana hivyo. Kimbia fasta bro huna chako hapo!
 
Inaonesha we mwoga sana aisee. Duh. Sasa kama unataka kumiliki si inabidi uoneshe nia? Muulize mhusika maswali magumu na sio JF.
 
hebu mpe mimba alafu ndo utajua, akisema anaitoa jua kweli jamaa yupo.
 
Mueleze kwamba wewe umeanza kumpenda hivyo kama hawezi kukupa zaidi ya urafiki wa aina mliyonayo sasa hivi, muachane na hilo swala la kuhusiana kimwili.
 
Inawezekana alipenda uwe rafiki yake kwanza ili msomane na kujuana tabia vizuri ( hao ndio wale wenye tabia za niangusage sambi zako mwenyewe) sasa kaa naye kwa serious talk, akueleze ukweli na kama yuko tayari kuwa mpenzi wako au ataendelea na huyo wa zamani kama kweli yupo. Maelezo yake yatakupa cha kufanya.
 
hebu mpe mimba alafu ndo utajua, akisema anaitoa jua kweli jamaa yupo.

Masuala ya mimba yanategemea huyu jamaa nae kajipangaje kimaisha asije akafanya mimba ndo kipimo cha mahaba mwisho wa siku mtoto anaishi maisha ya tabu....itakuwa sio kabisaaaaa!
 
kwa ushauri mlionipa itabdi nijvue gamba. But hajawahi kuniomba ela hata siku moja na ipo siku nlimhamishia crdt ya simu bila kuniomba akanpgia akaniuliza kwanini nmemhamishia credit, akadai hapendezewi may be awe ameomba.
Lakini naona nijivue gamba
 
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.
sasa kama kashasema yeye anakuchukulia kama rafiki tu na wewe unamchukuliaje..!? maana kama alishakwambia mapema juu ya hayo yota na ndo anayoyafanya mi simlaumu (maana anafanya yale mliokubaliana kuwa mfanye mapenzi na mbaki kuwa kama marafiki wa kawaida tu na wewe ukakubali) sasa unataka ushauri gani!!??

Wewe ungekuja hiyo mieze 8 ya nyuma kabla hujaamua kuanza nae hiyo aina ya urafiki feki kuomba ushauri angalau tungeweza kujua, sasa saizi wakati na "mkataba" ulitia sahihi mwenyewe unataka nini..!!?? sasa kama huwezi kuachana nae we subiri kumwagwa mwenye mali akija...na usiombe ajue maana akijua unamlia vyake utarudi tena tu hapa kuomba 'ushauri' mwingine...:ranger:
 
kwa wataalam wa hit n run this is a perfect relationship.Sasa kama wewe mzigo unapewa kama kawa shida yako nini? Kwa nini unaingiza complications za 'love'? Wewe endelea kujipakulia taratibu siku vikibaranguka jichukulie taim.
 
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa.
Sasa mimi nilikataa mwanzo lakini kutokana na ushauri wa watu mbalimbali na pia huyo mtu anaye dai yuko naye sijawahi kumwona wala hata kusikia wametoka wote. Mwisho wa siku nilikubariana naye.
Yani hivi sasa niko naye japo yeye usema mimi naye ni marafiki lakini mambo tunayo fanya ni zaidid ya rafiki.
Hanizuii kufanya lolote juu ya mwili wake.
Ninapo mhtaji yuko tayari kuja muda wowote mpaka watu wengi wanadhan yeye ni mpenzi wangu lakini yeye anadai mimi ni rafiki yake tu.
Kuna kipindi uwa naona huyu msichana may be ndo keshakubari kuwa na mimi lakini itatokea siku atamtaja huyo anayedai ni mtu wake sasa nashindwa elewa nifanyeje.
Niko naye hivi mwezi wa 8 sasa.
Yani nina maswali mengi yasiyo na majibu na mimi ndiyo nshampenda sana tena sana.
The ONLY way it works, is if BOTH people are happy with just that and no feelings. If one person has a little bit of feelings, its gonna go sideways.
 
Back
Top Bottom