Friends...wifi/shemeji yenu anahitaji.

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Wandugu...salaam.
Natumai Friday yenu iko poa..
Jamani nna shida kidogo kama kuna mtu anaeza kunisaidia.
Kuna series inaitwa FRIENDS nnaweza kuipataje jamani??!
Kuanzia tu na season one aisee...
Leo net inazingua sana na shem/wifi yenu anasisitiza nihakikishe narudi nayo home eti.
Nisaidieni anione superman wake aisee...
Natanguliza shukrani.
 
Jana nimekusamehe, leo usipokuja nayo ukatafute pa kulala. Lol

Haha...wife nilipata mtu akanambia atanletea leo town ila kawa mteja mpaka kumi na moja ndo ananambia yuko posta na mm nlikua naenda kuangalia game...
 
Haha...wife nilipata mtu akanambia atanletea leo town ila kawa mteja mpaka kumi na moja ndo ananambia yuko posta na mm nlikua naenda kuangalia game...

ok, kesho utaleta na malimao gunia mbili kama adhabu.
 
unaniamkia unataka kuninyima nini? Wigi au kucha za kubandika?

Kope na lipstick lol

Afu nimefuliaje?.....si unaona nimeshindwa kuhudhuria kwenye kale kamkutano kama nilivyokuahidi jana eeh.....ntafutie mume basi Catherine!..... Mentor hataki mke wa pili?
 
Last edited by a moderator:
Kope na lipstick lol

Afu nimefuliaje?.....si unaona nimeshindwa kuhudhuria kwenye kale kamkutano kama nilivyokuahidi jana eeh.....ntafutie mume basi Catherine!..... Mentor hataki mke wa pili?

hahahaha, mie nimekusubiri sana ila hakijaharibika kitu, hata kesho pia shwari. Huyu shem langu la ukwehe Vin Diesel akuhudumii?. Bora urudi kwa nitonye au uende kwa The Boss (jina lake linanukia pesa).
 
Last edited by a moderator:
hahahaha, mie nimekusubiri sana ila hakijaharibika kitu, hata kesho pia shwari. Huyu shem langu la ukwehe Vin Diesel akuhudumii?. Bora urudi kwa nitonye au uende kwa The Boss (jina lake linanukia pesa).

Hahahaha halihudumii asee.....we fikiria mkewe nimekosa mia5 ya nauli ya kunifanya niwepo kwenye mkutano lol

Nna mpango wa kumrudia nitonye ..... The Boss hapana dia Kongosho ataniua mie!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha! Sasa shem Vin Diesel ashakuwa zigo la kuni. Hebu ongea na The secretary akutupe kwa bepari la mjini Bishanga. Hapo nahisi utakula magud tym kwa kijiko.

Heheehe yaani nikibahatika kuingia kwa bepari Bishanga itakuwa poa sana lol.......shemejio zigo mama.....natafuta pa kulitua tehe tehe......afu unikumbushe kesho nikija kwenye mkutano nikupe boooooonge la mchapo.....kesho ni zamu yangu kwenda sokoni hivyo lazima niibe mi5 asee!
 
kant wait mpendwa, natamani kukuche haraka hapa tukutane makutano. Nitalala nawaza makutano tu mwenzio. Hahaha!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom