Kimey......sijambo babu yangu nimebanwa tu na mkoloni nahisi amedablisha dose ya viagra haki ya nani maana anavyonitenda mwisho wa mwaka huu........ sipati kukwambia.Habari yako MJI...upo? karibu ulanzi huku usalule..
NL uko wapi wewe??
Nimesoma mtu anasema kalabash... halafu Teamo anasema JJ, this is what i dont understand
which is which guys
halafu wewe....
Pole sana mamito kwani na wewe mkoloni wako ni tineja? hahaha sasa nadhani mchemsho wa mdudu utakufaa zaidi hiyo viagra haitafanya kazi!Kimey......sijambo babu yangu nimebanwa tu na mkoloni nahisi amedablisha dose ya viagra haki ya nani maana anavyonitenda mwisho wa mwaka huu........ sipati kukwambia.
Yaani acha tu.......ni tineja mnyanyua vyuma.....hachoki upesi nakwambiaPole sana mamito kwani na wewe mkoloni wako ni tineja? hahaha sasa nadhani mchemsho wa mdudu utakufaa zaidi hiyo viagra haitafanya kazi!
Mie unanionea bure tu kaka Acid......nimikukaribisha mbona?....Haya Karibu tena.ntawahamisha meza sasa hivi
Ha ha ha comrade kazi na dawa... Welcome back hommie! Ngoja niagize magic moment kwanza!ntawahamisha meza sasa hivi
wacha tu mamie, mafaranga dearest, unayasaka mpaka yanakupa wazimu...muda wakutembelea kjiwe una kuwa mdogo.......mhhh nitakuja huko mfululizo yaani nitakushtua usihofu.....kwema lakini?
halafu wewe!!! Nimekuja hadi Lahore na ukanikaukia wakati nilikuomba simu... shame on you