Friday Greetings

Wachawi hakuna au hawajafika....
Lol ngoja kuna mtu hajafika hapa...utaona atakavyologa....

Nawajua sana! Na nimeanza kutenga fungu la fund kwa ajili yao!
Likizo yangu safari hii naimalizia siku 15 Sumbuwanga na siku 15 Bagamoyo!
 
hahhhaa konyagi ya kopo nitalewa sana......ndovu inatosha...
Hicho kitu ni noma....kimetengenezwa kwa asali ya nyuki wadogo....ni tofauti na Konyagi za chupa maana yenyewe ikiwa ya baridi...Dah utaenjoy sana
 
kuwa mzalendo kidooooooogo, unajua simba akipakatwa ni aibu....... Imagine apakatwe, avutwe sharubu na kuchanwa manyoya...loh!!!!!!!
Simba hapakatwagi hata siku moja....hapa ni ushindi kwa kwenda mbele....hata mloge hatulogeki
 
Nawajua sana! Na nimeanza kutenga fungu la fund kwa ajili yao!
Likizo yangu safari hii naimalizia siku 15 Sumbuwanga na siku 15 Bagamoyo!
Hahahaaa ukirudi we utakuwa noma kuliko wa-Nigeria.....Lol
Kabakabana akisikia likizo yako utakuwa huko lazma akuwahi kabla hujaenda....
Siunajua maana ya Sumbawanga? Yaani Tupa uchawi......
Niliipata hiyo nilipoenda juzi juzi....
 
Back
Top Bottom