Frequncy za TBC 2 hizi hapa

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
kwa wale waliokuwa wanahitaji frequency za TBC 2 hizi hapa
Intelsat 802ku-32.9 TBC1-11691-4000. TBC2-11178-3671
 
ndugu mtoa mada inakuwaje kwa wale ambao tayari tuna decorder za TBC/STAR MEDIA, au hiyo TBC2 inaingia automatically?
 
Hyo inakuaje? Au nimpka uwe na dishi? Au unaweza ku2mia na antena ya kawaida?
Mkuu, hizi ni satellite freequency hivyo nilazima uwe na dish... We kama bado uko kwenye hapo hapo aaaagh umearibu zungushia posta umeumia Lol!
 
ndugu mtoa mada inakuwaje kwa wale ambao tayari tuna decorder za TBC/STAR MEDIA, au hiyo TBC2 inaingia automatically?
Kulingana na maelezo yao TBC/Star Media, hiyo TBC2 ikianzishwa tu inaingia automatically. Mimi sikuwa na taarifa kama tayari imeanzishwa! Hawa TBC wakituwekea na SuperSport itakuwa bomba sana!!
 
mimi natumia decorder ya tbc/star media jana nimekuta imeongezeka TBC2 (test TBC2) lakini haikuweza kufunguka, huenda bado wanaendelea kufanya mambo.
 
Kwa hivyo wenye receiver za media com tumeliwa? maana kuna jamaa yangu jana usiku kanipigia simu anauliza kama nimejaribu kuuingiza hizi frequency maana yeye ameshindwa kupata na anatumia receiver ya media com. kama kwa receiver hupati tafadhali mtufahamishe decorder za TBC nje ya Dar zinapatikana wapi, jamaa yangu yuko Moro!
 
kwa habari zaidi juu ya decorder za TBC na wapi zinapatikana wasiliana direct na watu wa tbc kupitia 0767000705/6/7
 
Kwa hiyo na sisi wenye decorder za EASY TV tunaweza kupata hiyo TBC2 au ndio imekula kwetu
 
tbc2 ipo kwenye media star na ndio watatumia kuonyeshea kombe la dunia
 
Kwa maelezo yao ni kuwa kwa sasa inaweza kupatikana Arusha, Mwanza, Dodoma na ofcorse Dar! Mbeya wameenda kufanya survey, lakini bado hawataipata kwa wakati huu!!
 
Kwa hivyo wenye receiver za media com tumeliwa? maana kuna jamaa yangu jana usiku kanipigia simu anauliza kama nimejaribu kuuingiza hizi frequency maana yeye ameshindwa kupata na anatumia receiver ya media com. kama kwa receiver hupati tafadhali mtufahamishe decorder za TBC nje ya Dar zinapatikana wapi, jamaa yangu yuko Moro!

Kwa maelezo yao ni kuwa kwa sasa inaweza kupatikana Arusha, Mwanza, Dodoma na ofcorse Dar! Mbeya wameenda kufanya survey, lakini bado hawataipata kwa wakati huu!!
 
Frequncy za TBC 2 hizi hapa kwa wale waliokuwa wanahitaji frequency za TBC 2 hizi hapa Intelsat 802ku-32.9 TBC1-11691-4000. TBC2-11178-3671
KAMA TBC2 IKO KWENYE SATELLITE YA INTELSAT 802,32.9 Deg.East MTAKOMA INABIDI KUBADIRISHA UELEKEO WA MADISH YENU KUIFUATA NA HAPO UTAPATA TBC2 PEKE YAKE TOFAUTI NA INTELSAT 906 64Deg East YENYE ITV, STAR ,EATV,CHANNEL10 UBC,MOZAMBIQUE,ANGOLA, NK...

Vinginevyo another dish just for TBC2 if not encrypted on that frequencies KWA WALE AMBAO WAKO NJE YA MIJI ILIYOTAJWA NA WASIO NA DECODER ZA STAR TIMES HAYO NDIYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA BINAFSISHA MPAKA WATOTO NA MKE
 
asalam, kivumah asante sana kwa freq zako ila mimi nimetazama ktk web site Intelsat 802 at 32.9 sijakuta freq hizo.

mimi ninavyo jua starmedia wanatumia satelite w2a ambayo ipo katika site hii Eutelsat W2A at 10.0 na wao ndio watakua na control ya tbc2, kwa kwel beam yao ni kali sana dish futi 6 kwa bongo ni safi sana pamoja na lnb c band. ila mtu akiwa nje ya nchi ya tanzania au africa

dishi ni lazima liwe futi hasa walio kua asia,pia receiver lazima iwe hd na iwe ina cam conax.sasa cjui kwa kweli kama ukiweka cadi toka tz inafaa au lazima decoder za star media?anyway nitajaribu na nitawapa majibu specialy walio kua nje ya tz na wale wapo wilayani tz.

my regards to all
 
Back
Top Bottom