French team halts training after Anelka faces World Cup exit

na hata hiyo kuingia yenyewe walibebwa, si unakumbuka lile goli (henry's hand ball) lililowaingiza, against ROI ? acha wafungishwe virago tu.
Ndio maana vyombo vya habari vya Ungereza vinamwagia petroli kwene hii songombingo. Ingekuwa timu yao inafanya vizuri walahi tusingelala.
 
kwa style hii............
ZIDANE anaendelea kupata bichwa,maanake dah.....!kuna siku alimsaga sana kocha
 
Ndio maana vyombo vya habari vya Ungereza vinamwagia petroli kwene hii songombingo. Ingekuwa timu yao inafanya vizuri walahi tusingelala.

ha ha ha kabisa mkuu, wamepata excuse ya kusema, eti hili kombe la mara hii mataifa makubwa ya soka yanastruggle ( na wao wanaji inculde kwenye mataifa makubwa). hehehehehe nitafurahi sana kama watabanwa na mslovenia halafu walembewe ufukweni, warudi kwao wakalitetee shirika la BP na umwagikaji wa mafuta ghuba ya mexico.
 
Hizo timu zinazokuwa inspired wachezaji wake ni wagumu, si unaona timu za watoto wa mama zinavyochanganyikiwa!.
Waingereza walikosea kumpa timu Capelo. Wangempa Big Phil saa hivi wangekuwa washaqualify. Capello sidhani kama anahistoria yoyote kwene level ya timu za taifa.
 
ha ha ha kabisa mkuu, wamepata excuse ya kusema, eti hili kombe la mara hii mataifa makubwa ya soka yanastruggle ( na wao wanaji inculde kwenye mataifa makubwa). hehehehehe nitafurahi sana kama watabanwa na mslovenia halafu walembewe ufukweni, warudi kwao wakalitetee shirika la BP na umwagikaji wa mafuta ghuba ya mexico.
Wakiwa kwene pressure mambo yanaeza kuwa mabaya zaidi. Ngojea tuone itavokuwa.
 


Apo kazi iko. Afu jaribu kusoma jamaa wanavyokomenti!
 
Last edited by a moderator:
France's World Cup campaign descended into chaos with a row between captain Patrice Evra and a fitness coach, a boycott of a training session and the resignation of a senior team official.


66270aa90fde93ad4c60d574f0891a27.jpg


All this came a day after striker Nicolas Anelka was sent home for insulting coach Raymond Domenech at half-time of a 2-0 defeat by Mexico on Thursday in Polokwane that left France on the verge of an embarrassing group stage exit.


The incidents were sparked by the players' decision to protest against the French Football Federation decision to kick out Anelka and also by a nervousness among the players after the player's crude comments were leaked to the press.


The public session, ironically on a pitch called Field of Dreams, was about to start when a furious row erupted between Evra and fitness coach Robert Duverne, leading to the immediate resignation of the team director.


Domenech had to move in to separate them. Duverne, who had apparently insisted training should take place, angrily threw his stopwatch on to the pitch and left.


"They don't want to train, it's a scandal," France team director and FFF managing director Jean-Louis Valentin said as he also left the pitch. "It's a scandal for French people, for the youngsters who came here to watch them train. I'm resigning, I'm leaving the Federation. I have nothing more to do here. I'm going back to Paris."

The training incidents came a day after Evra told reporters a "traitor" within the team had leaked Anelka's insults to the press.


L'Equipe put them on their front page and a few hours later, Anelka was kicked out of the squad.

Asked by a reporter if he was the "traitor", Valentin replied "no, no, no" and appeared close to tears.


The players then walked towards their bus, carrying their slogan reading: "All together towards a new blue dream."


Evra handed over a piece of paper to the team spokesman. It was a statement from the players that Domenech, looking exhausted and discouraged, eventually read out to reporters.


"We deplore the incident that happened at half-time against Mexico but we regret even more the fact that an event that belongs to our group and is inherent to the life of a competitive team was made public," the statement read.


"The players are unanimously against the French Football Federation's decision to expel Nicolas Anelka", it added.


Domenech had earlier said he could understand Anelka's attitude but not the player's refusal to apologise.


The players' statement, however, said in their statement Anelka was denied a chance to explain himself.


The players then walked into their bus that drove away and some 200 fans who had come to cheer on their team left the select Pezula resort, where France are staying and inside the boundaries of which the training pitch is located.


France still planned to play their final Group A game against South Africa on Tuesday in Bloemfontein, the players said.


"They will do everything individually and in a collective spirit against South Africa on Tuesday, the statement read.


The FFF then issued their own statement, denouncing the players' "unacceptable behaviour" and apologising to the fans.


Henri Guaino, advisor to French President Nicolas Sarkozy, described the situation as "distressing".

"It's no longer football, it's no longer sport, it's no longer a team," he said on the i>Tele television station.

Soccer City LIVE: All the World Cup news and debate after the final match of the day LIVE on British Eurosport (Sky 410 / Virgin 521) & on the Eurosport Player
 
Dawa wakirudi chapa bora msafara mzima,but FFF walichemsha sana kumuacha Domenich baada ya kutolewa EURO huyu babu alitakiwa kutimuliwa
 
Tena wasije kugoma kucheza mechi yao ya mwisho, na uhakika sauzi atampiga bao maana French side kwa sasa wana msongo wa mawazo !!! Eheeee !!! Kudadadekiii !!!
 
`au ni wimbi lile la timu za wachezaji weusi kutofanya vizuri? 95% ya France timu ni watoto wa kiafrica
 
jabulani
ke nako
vuvuzela
wakawaka
WOZA
...sijui hii ardhi imemwagiwa nini?hahaha na bado hapatatosha!!
 
Back
Top Bottom