French Kiss!!!

umeshasema mwenyewe mapenzi ni sanaa
njoo nikuonyeshe sanaa.
sio wembe....ha ha lol

LOL! Ningetamani niwe kanzi ka Mwanakijiji ili niwe ukutani kuangalia jinsi ngoma ya mdumange na mduara zinavyochezwa, ngoma zikiisha nasepa zangu taratibu bila ya kutia neno hahahahahahaha!
 
Naam Annina ukimkata shauri yake!...lakini usije kushangaa tu jinsi anavyofahamu kuutumia wembe huo bila kujipa madhara yoyote :)

Tatizo siku hizi kuna wanaharakati...haki za watoto... wakikukuta unampa mtoto wembe hutaamini matokeo yake!

Annina
 
[SIZE=4 said:
Annina[/SIZE];866020]
Tatizo siku hizi kuna wanaharakati...haki za watoto... wakikukuta unampa mtoto wembe hutaamini matokeo yake!

Annina

Annina, lazima uhakikishe hawa wanaharakati hawakukuti live ukimpa "mtoto" wembe hapo utaweza kuwapiga chenga ya mwili.
 
Tatizo siku hizi kuna wanaharakati...haki za watoto... wakikukuta unampa mtoto wembe hutaamini matokeo yake!

Annina

Tatizo watoto wa siku hizi wanaweza kukulengesha kwa wanaharakati....

Annina

Akikulengesha huko unamruka vibaya sana na kuwaambia wanaharaki huyo mtoto kakufananisha maana hata kumjua humjui. Wenyewe wanasema unaruka kimanga :)
 
Mmh mtoto mwenyewe anajua mduara na mdumange... inabidi kujipanga sawasawa

Annina
 
ha ha ha unaweza kugundua mtoto
mwenyewe si mtoto ni mtu mzima kivitendo..
ha ha ha

Kabisa BOSS! Kwa hiyo hata hakuna haja ya kumlengesha kwa Wanaharakati

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=8BdyI8Uwmus"]YouTube- Leona Lewis - I Got You[/ame]
 
Kwahiyo french kisses ni zawa france? na french fries pia za wa france? :)
 
Mimi nimekutana na msichana kumkiss kwake ni nomaa eti kisa inamdrive crazy na wengine wala hawajui kuzipokea hizo kisses ati wananganda kama wako kwenye jokofu
 
HAhaha RayB pole pole mfundishe... u know they say practice make better or perfect...
 
Jamani kuna watu kila kitu kwao ni papara...hata kiss mtu anakimbilia kumlowesha mwenzie na mi mate kila mahali then huyo anawahi anapopataka! Sasa ukikuta na masuala ya hygiene kinywani ni zero basi badala ya raha inakuwa karaha! Again, mapenzi ni sanaa!

Inategemea umempata wapi, lakini pia mapenzi kama ni sanaa basi sehemu ya kujifunza ipo,

kama ana 'mdomo mchafu', mfundishe usafi,

kama hajui kukiss kwenyewe, mfundishe taratibu in a positive way

mwishoni wote wawili mnakuwa wataalam
 
Mimi nimekutana na msichana kumkiss kwake ni nomaa eti kisa inamdrive crazy na wengine wala hawajui kuzipokea hizo kisses ati wananganda kama wako kwenye jokofu

hahahahahahahaha ndiyo maraha anayoyasikia yanamfanya agande kama yuko kwenye jokofu lakini usidhani kazimia au kafa ni maraha tu hayo....LOL!
 
Jamani kuna watu kila kitu kwao ni papara...hata kiss mtu anakimbilia kumlowesha mwenzie na mi mate kila mahali then huyo anawahi anapopataka! Sasa ukikuta na masuala ya hygiene kinywani ni zero basi badala ya raha inakuwa karaha! Again, mapenzi ni sanaa!

Annina

Kama Kinywa si safi unamwambia ukweli Annina kwamba kinywa chako kinaleta...hivyo apige deki kinywa kiwe bomba. Kuna wengine hiyo french kiss ikiwa kavu kavu hata hawaigusi sana wanataka iwe Wet French Kiss ndiyo mahanjam yanawapanda vibaya sana. Sasa hili la wet au dry french kiss linategemea mtu na mtu.
 
Jamani kuna watu kila kitu kwao ni papara...hata kiss mtu anakimbilia kumlowesha mwenzie na mi mate kila mahali then huyo anawahi anapopataka! Sasa ukikuta na masuala ya hygiene kinywani ni zero basi badala ya raha inakuwa karaha! Again, mapenzi ni sanaa!

Annina

Good one.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom