French Class

Paragons

Member
May 3, 2016
60
46
Habari zenu wakuu;

Naomba radhi kwa wale wote walioshindwa kunipigia jana wakati soma la Kifaransa linafundishwa star t.v; inasababishwa na watu wachanche ambao wakipiga simu hawataki kuachia line kwa watu wengine. Kwa wale wapenzi wa lugha ya KIFARANSA, nawaomba msikate tamaa, hata kama somo linakua limepita, unaruhusiwa kunitafuta kwa muda wako kama bado unahitaji msaada zaidi.

Merci!
 
Bonjour, comment vous allez?
 
mwalimu wangu kitambo sijui alikuwa anaitwa shaibu na yule mmama nimemsahau hata jina kifaransa chao cha burundi ndio kimeishia hapo nifundishe mapya, tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom