Fremu za kisasa zinapangishwa-musoma mjini opp nbc bank

Speculator

Member
Mar 30, 2012
56
4
Jengo liko katikati ya mji na limejengwa kisasa na ubora wa hali ya juu flour ya vigae, Suspended Ceiling Boards, kila mpangaji na meter yake ya umeme, Very Busy area 16 business hours, panafaa sana kwa biashara zote ikiwemo financial Institutions, Communication Institutions M-Pesa, Tigo pesa, Grocery, Furniture's, Households, Garments n.k. kwa yeyote anayehitaji maelezo zaidi anitumie-PM, kodi inategemea ukubwa wa chumba na flour, ground flour au first flour, na usihofu ni makubaliano,. KARIBUNI WOTE
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom