Fremu ya biashara inapangishwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Ipo changombe -temeke karibu na maduka mawili
piga namaba 0713 689665 kwa maelezo zaidi
 
Ipo changombe -temeke karibu na maduka mawili
piga namaba 0713 689665 kwa maelezo zaidi

Mkuu mbona hujatoa maelezo ya kutosha na kuvutia? mf bei ukubwa mode of pament na mambo kama hayo
 
Jamani wapendwa, bei ni Tshs. 70,000/= kwa mwezi na mkataba ni wa miezi 6 . Kodi hii ni nje ya gharama za umeme na ulinzi.
Ukubwa mtanisamehe maana mimi ni mama nimesahau ukubwa wa vyumba vyangu.
Fremu zinatazama barabara ya changombe

Nadhani nimeeleweka kiasi, ukubwa wa chumba nitatoa kesho Mungu akijalia
 
ok tunasubiria, vp panafaa kwa biasahra ya pombe? au!
 
Pole sana na samahani kwa BIASHARA YA POMBE SIRUHUSU
wenye nyumba mnaringa ana na nyumba zenu haya>............

nashukuru sasa panafaa kwa biashara gani?? mama ntilie inalipa? (CHAI , MAJI, JUICE, SODA, MAZIWA) au nayo hauruhusu?
 
wenye nyumba mnaringa ana na nyumba zenu haya>............

Nashukuru sasa panafaa kwa biashara gani?? Mama ntilie inalipa? (chai , maji, juice, soda, maziwa) au nayo hauruhusu?

panafaa mkubwa naruhusu biashara za chakula na vinywaji unavyosema.... Karibu
 
Panafaa biashara hiyo na ninaruhusu biashara ya chakula na vinywaji kama ulivyosema karibu......
 
Back
Top Bottom