Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe road karibu na njia panda sigara

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
IPO SEHEMU NZURI NA INATAZAMA BARA BARA YA CHANGOMBE
INAFAA KWA DUKA LA VIFA VYA UJENZI , DUKA LA VYAKULA, VINYWAJI NA VIPODOZI
BEI NI TSHS. 80,000/= KWA MWEZI NA MKATABA NI WA MIEZI SITA SITA
WASILIANA NA 0713 68 96 65:A S cry:
 
Mheshimiwa, kama wewe ni dalali, basi nitafutie ghetto mitaa hiyo. iwe self, chumba na sebule.kukiwa na angalau jiko/stoo ya kiuzushi itakuwa njema zaidi.
 
Kaka mimi sio dalali ni mwenye nyumba nasikitika siwezi kukusaidia kutafuta ila nakuahidi kuumnganisha na dada mmoja anafahamiana na dalali wa maeneo jirani na keko. Asante kunielewa
 
Back
Top Bottom