Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe jirani na njia panda sigara

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Napangisha kwa mkataba wa miezi sita, na kodi kwa mwezi ni tshs. 100,000/=, ina tiles ndani ya chumba na nje ya kibaraza. Ina mlango wa kioo wa kuslide
ipo mtaa wa changombe inatazama bara bara kubwa.
Wasiliana nami kwa kupata maelezo zaidi.

simu no: 0713 68 96 65
 
Barabara Chang'ombe maeneo gani?

Cahngombe road ini bara bara ambayo inatoka kuanzia kwenye Maeneo ya VETA mpaka unakuja kama unakwenda uwanja wa TAIFA Huendi na njia inayokwenda huko unakata kulia sasa kama unakwenda Tandika maana kama unatumia Bus utapanda magari ya Tandika na Temeke kupitia hiyo bara bara ya changombe
Ninadhani nimekulewesha ni jirani na KEKO lakini eneo linaitwa Changombe na inatazama changombe road
KARIBU
 
Back
Top Bottom