Freestyle...

Level nachoma kama moto
bif kwangu ndoto
nishakua si mtoto
sina tabia za kitimoto
za kuyeyuka wakati wa joto
mashairi yanapanda bila msokoto
nachora jamii zaidi ya photo
ningekuwa na uwezo tz nikomboe kama kristo
kwenye uonevu mgedai haki kama wazalendo wa soweto
na mgewin kimaisha kama kubahatisha lotto
 
Haya haya haya,vijana naona mnatema mistari,mimi huku nishawekwa mtu kati,Rejao keshanitaiti,cha asubuhi nampatia,hataniachia mpaka akicheua,yo yo yo yo yo,nyoosha mikono juu km unafagilia ndoa yetu.hahahaha!kumbe natisha kwa frii stail lol!
 
Hahahahahaaa kweli hiyo ni free style. Halafu ujumbe unaendana na wanavyopenda kujishika maeneo ya ndoa
 
Hahahahahaaa kweli hiyo ni free style. Halafu ujumbe unaendana na wanavyopenda kujishika maeneo ya ndoa

Hahahaha!unajua hawa vijana hawajui hata ce enzi zetu tulitisha,alafu mistari lzm iendane na maudhui hahaha!niko kidoa zaidi,wapi papa Rejao mme wangu nampa cha awamu ya pili lol!
 
Last edited by a moderator:
..na sasa naingia ..na hakuna wa kunikaribia
..anatakye jitokeza tu mimi ...nna mharibia...
..hiki kipaji toka moyoni...na tamka vina toka mdomoni....
 
..naona wanakukubali...wakati si hatari..
..mie nakupa Hi..na pia nakusabahi...
..usiogope kabari kama wewe sio mentali Erickb52
 
Last edited by a moderator:
..naona wanakukubali...wakati si hatari..
..mie nakupa Hi..na pia nakusabahi...
..usiogope kabari kama wewe sio mentali Erickb52
Hahahahaaaa mtu chake we ni noma
Kila mtu anakuona
Wenye fitina watakoma
Yoyoyoyo lazma wapate homa
Na doctor hawatamwona
yooyoyo ni b52 a.k.a Utajiju
 
Last edited by a moderator:
...hahahaha. Erickb52..acha bana..mie sio mtwana..
...ila nawachek madenu humu wanababaikia mabwana...
....wengine eti wanakula vya mchana..tena bila hiyana
...sie tunawasikilizia tu kwa kona...wanadhani hatujawaona...
 
Hahahaaaa da uko juu sana kijana
Wapi Preta aje akupe hug ya nguvu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!unajua hawa vijana hawajui hata ce enzi zetu tulitisha,alafu mistari lzm iendane na maudhui hahaha!niko kidoa zaidi,wapi papa Rejao mme wangu nampa cha awamu ya pili lol!
Hawajui sisi huwa tunashuka verse mpaka hata tukiwa kwenye majamboz??
Ngoja nimalizie dia...naona wanataka kutukata stim.
 
:drum::msela::violin::lalala:.......our family band....
Hahahahaaa kweli nimewakubali sana aisee duh
Namwona Mtu Chake anakung'uta vyombo mbaya Lol wewe sijui ndio unayeimba mh
Kaazi kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom