Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

its true, it is unbelievable to some people who do not want to learn how the world is going, they believe everything from these spiritual leaders, they respect each and everything they are told to do! It is amazing! I hope the one is linked with papacy position! A very respectful church leader in the world; religiously, politically, socially and even economically!

Mnashangaza sana! mnashangaa wengine kuamini wanachoamini while hata wewe umeaminishwa kama hayo unayoamini ukaamini! Maana yake unataka tuamini unachoamini kwakuwa unaakili sana na wewe ndio uliyefanya utafiti bora kabisa duniani kujua ukweli kuliko waamini wengine!!

R.C kupinga Freemasons si maneno tu bali ni tamko rasmi kabisa la kanisa na ni kosa la kutengwa na kanisa! inaweza kutokea Papa akawa kwenye hizo secret society kwa siri kwasababu nao ni binadamu lakini si kwasababu ni msimamo wa kanisa.

Uzushi huu ni wa miaka mingi na kwa kila Papa na hapo ndio utajua ni uwongo mkubwa! Haiwezekani kila Papa akawa Freemasons otherwise iwe ni utaratibu wa kanisa.

Siku hizi hata watoto wa Kikatoliki wanafundishwa habari za hao Freemasons kwenye somo la dini (nimepewa ushuhuda huo na baadhi ya watoto) ili kuwatambua na kujiweka mbali nao hii ikidhihirika ni kinyume na mpango wa Kanisa.

Ache uzushi kwasababu za chuki dhidi ya Kanisa Katoliki tena kinachosikitisha wengine ni Wakristo wenzetu! Yesu tuanaemuamini alituambia sisi wote ni mwili wake kama kila kiungo kilivyo na kazi yake basi kila mtu ana umuhimu wake kukamilisha kazi yake.Kanisa halijawahi kuanzisha uzushi dhidi ya imani nyingine lakini inashangaza wengine kuamua kuwa maadui tu wa Kanisa!!
 
Religious Aspects of Freemasonry

Freemasonry as an organization does recognize the existence of Supreme Being, and new members are required to swear that they hold such a belief. Beyond that, however, Freemasonry has no religious requirements, nor does it teach specific religious beliefs. In fact, neither politics nor religion are to be discussed within a Masonic lodge, which makes defining Freemasonry as a religion to be rather absurd. Freemasonry is no more religious than the Boy Scouts, which requires members to believe in some sort of higher power.

Source: Is Freemasonry a Religion? - Occultism and the Free Masons – Masonic Conspiracy Theories

And all the problems about people attacking the fraternity comes from there...believing in any higher power could be intriguing...Lucifer has higher power as well
 
zomba, there is a book with title Two faces of Freemasonry, by John Daniel which talks many stories about people and various things done by members, including their rituals. I downloaded from internet about four years ago....
 
Last edited by a moderator:
Mnashangaza sana! mnashangaa wengine kuamini wanachoamini while hata wewe umeaminishwa kama hayo unayoamini ukaamini! Maana yake unataka tuamini unachoamini kwakuwa unaakili sana na wewe ndio uliyefanya utafiti bora kabisa duniani kujua ukweli kuliko waamini wengine!!

R.C kupinga Freemasons si maneno tu bali ni tamko rasmi kabisa la kanisa na ni kosa la kutengwa na kanisa! inaweza kutokea Papa akawa kwenye hizo secret society kwa siri kwasababu nao ni binadamu lakini si kwasababu ni msimamo wa kanisa.

Uzushi huu ni wa miaka mingi na kwa kila Papa na hapo ndio utajua ni uwongo mkubwa! Haiwezekani kila Papa akawa Freemasons otherwise iwe ni utaratibu wa kanisa.

Siku hizi hata watoto wa Kikatoliki wanafundishwa habari za hao Freemasons kwenye somo la dini (nimepewa ushuhuda huo na baadhi ya watoto) ili kuwatambua na kujiweka mbali nao hii ikidhihirika ni kinyume na mpango wa Kanisa.

Ache uzushi kwasababu za chuki dhidi ya Kanisa Katoliki tena kinachosikitisha wengine ni Wakristo wenzetu! Yesu tuanaemuamini alituambia sisi wote ni mwili wake kama kila kiungo kilivyo na kazi yake basi kila mtu ana umuhimu wake kukamilisha kazi yake.Kanisa halijawahi kuanzisha uzushi dhidi ya imani nyingine lakini inashangaza wengine kuamua kuwa maadui tu wa Kanisa!!

Nashindwaga kuelewa hizi propaganda za kidini zinavyotumaliza Sisi tunaojiita Wakristo...
Hata wapagani wanatushangaa..
 
wewe uliye nje ndio unaweza kufikiria hayo unayosema. Kwa ninavyoelewa the whole program ilikuwa ni kuwaweka watu aware kuwa hii kitu ipo, na kitu wanachofanya Clouds ni kupromote freemasonry...jaribu kumsikiliza Hando mara zote anapoongelea ishu za masons huwa anajifaragua na huwa hafichi furaha yake.
Many will be deceived as the father of all evil is also their father..Tanzania and fellow Tanzanians open your eyes and watch out!
Mkuu Watunane, siamini kuwa Clouds ina promote freemasonsy bali kosa la Hando ni kutofanya his homework kwa kuzama deeper more than met the eye!. Pale kwenye program nilimuona amekishika kile kitabu cha Andy, angekisoma kile kitabu, angegundua kuwa kwenye kile kile kitabu, hajazungumzia lolote la maana kuhusu freemasons zaidi ya kuitaja taja tuu na kujisifia jinsi anavyosafiri, hivyo ingempa mwanga kuwa kuna kitu kinafichwa!.

Hapo sasa ndipo Hando angeanzia ku dig deep haswa hiyo initiation inafanyika vipi na kwa nini?, kwa msio jua "initiation" ndicho kiapo cha kwanza cha usiri na kila unavyopanda gazi, kutoka stage moja hadi nyingine, unakuwa ukifanyiwa "ceremonial initiations" za ma siri makubwa zaidi!.

Kupitia interview ile, nimegundua kumbe hata huyu Andy Chande, pamoja na yeye kuwa ndie Grand Master wa Eastern and Central Africa, hizi lodge zao ndizo zile za chini kabisa, yaani ni chekechea!, hivyo huyu grand master wetu wa Chekechea hata yeye kuna lodge hawezi kutia mguu!.

Hando alipaswa kuuliza very basic questions kuhusu "initiation" ni nini and why?, kwa msiojua, "initiation" ndicho kiapo cha kwanza, once in, always in, alitakiwa aulize mtu ukitaka kutoka baada ya initiantion, inakuwaje?.
 
i hate mambo hayo ya masonic sasa wanayafanyia promotion mpaka kwenye tv ili???????????????? foools
nilitegemea kusikia vitu vingi jana lakini nikaishia kusikia masifa na mapromotion ya kujiunga na hili janga la dunia.hakukuwa na kipya bora haoa JF tumeidadavua sana hii kitu
 
Pengine kuliko wengi wanavyofikiria badala ya kupromote Freemason Andy Chande amezidi kufanya maswali mengi zaidi yaulizwe kuhusu Freemason, kwa mfano hizo ceremonial zikoje, initiation, Ukitoka au kujiondoa inakuwaje? Na vipi freemason ihojiwe na kutiliwa mashaka kuliko taasisi nyingi za hisani kama Bill & Melinda gates au Help Age International.

Nimekifuatilia sana kipindi jana ili kupata ufafanuzi zaidi kwa sababu kama baadhi yetu nilikuwa siamini uzushi lakini sasa itanifanya nianze kuyaamini maneno ya mpwa wangu aliyetaka almanusra kujiunga na taasisi hii kupitia kwa Girl friend wake.
Kuna sort of "trainings" ambazo hazieleweki kabla ya kujiunga na ambazo alizipitia kabla ya kustukiwa na mama yake aliyekuwa "mkristo swala tano". Panapo majaliwa itabidi nimuulize tena na kisa chake nikiweke hapa japo imepita kama miaka saba hivi na huwa hapendi kukumbuka.
 
And all the problems about people attacking the fraternity comes from there...believing in any higher power could be intriguing...Lucifer has higher power as well

Mkuu Ndahani, enzi za Max Shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.

dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi Wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa Mungu, haturusiwi to think beyond, huyu Mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, Alfa na Omega!.

Pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini Mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!.

Mimi baada ya kuishi India, nikasoma kidogo Eastern Sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islam ndizo dini mpya za juzijuzi, Hinduism na Budhiism zilitangulia sana, ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond God!.

Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with God, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa Mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na Lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya God the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, Mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. Mungu Baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya Mungu. Uwezo pekee wa Mungu ambao shetani hana ni Kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo Mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la Mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio Mungu ni shetani!.

Kabla Mungu hajamuumba Adam, baada ya uasi wa shetani, Mungu akashauriana na NENO, malaika mkuu Mikaeli, na Gabrieli, tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba Adam!. Mara baada ya Mungu kumumba Adam, kweli Adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki Mungu, kuwa ataupimaje utii wa Adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, Mungu amruhusu shetani amtempt huyo Adam, akivishinda vishawishi ndipo Mungu atathibitisha kweli yeye Mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.

Mungu alipomuumba Eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni Mungu akawapa maonyo Adam na Eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye Biblia vimeitwa "tunda" na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. na shetani waka bet nani zaidi!.

Ili kumlinda Adam na Eva na ushiwishi wa shetani, Mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing Adam akamange mane mbali kidogo!.

Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya Adam!. Ndipo shetani akamuuliza Eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, Eva akamjibu, ni cha mema na mabaya Mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia Eva, Mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia Eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa Kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.

Kwa vile hayo mambo Eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! kwa kumshughulikia na kweli, Eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo Eva ali mconceive Cain!. Baada ya Eva kuonjeshwa dose ya shetani, Adamu aliporudi, Eva akalazimisha anataka, japo Adamu alisita sana, Eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza Adam jinsi ya kula "tunda", Adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.

Yote hayo yakifanyika Mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo Mungu akamuita Adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi Mungu and HE had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa Adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na Eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.

Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa Kimungu kuzaa watoto, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.

Mtoto wa kwanza wa Eva , yule Cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa Adam ni Abel. Na ndio maana sisi Wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya Adamu na Eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa ASAP akishazaliwa!. Watoto wate duniani, wanazaliwa na dhambi ya asili, ispokuwa Mtoto Yesu ambaye alizaliwa na Bikira Maria aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo Yesu sio product ya dhambi!.

Ndio maana makasisi wetu Katoliki hawaruhusiwi kuoa ili wasilifanye hilo tena, lakini kabla hawajapewa daraja ya ukasisi, kwanza ni lazima wafanyiwe vipimo kuwadhibitisha ni rijali hivyo kule kuvumilia tamaa za kimwili, ndio sadaka ya kweli ya upadirisho, na ni kiukweli kabisa mapadri wa Katoliki ni wasafi kabisa kama watakatifu na tendo hilo ambalo ni dhambi huwa hawalifanyi kabisa!. (tafadhalini sana kuhusu hili, nawaombeni msiwasingizie mapadiri wetu lolote)!.

Vivyo hivyo wale masista wa Katoliki nao wote ni kama B. Maria, sadaka yao ni kujizua kutofanya kosa kama la Eva, nao hufanyiwa vipimo kuwathibitisha wanatamani kufanya alichokifanya Eva ila wanajizuia!. Masista wetu wote ni wasafi kama malaika na hata mavazi yao huwa meupe kama theluji kuthibisha usafi wa mwili, moyo na roho!.

Sasa kitu ambacho Gerald Hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio Mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini Mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya Mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, Satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out and you'll never even think of quitting out of fear!. (Jamaa wanaogofya!, kilichomtokea Daudi Mwangosi ni afadhali mara mia!)

Pasco.
 
zomba, there is a book with title Two faces of Freemasonry, by John Daniel which talks many stories about people and various things done by members, including their rituals. I downloaded from internet about four years ago....

Many have written about freemasonry myths. May be true may be not.
 
Pasco ana mikwara msome:

Hapa anatoa tahadhari kwa yeyote atakayeleta swali la kichimvi kum-challenge

Nakuomba uyasome tuu kama hadithi kwa sababu sitarajii kutoa reference zozote,

Hapa anapigilia msumari ni kama anasema "usijifanye mjuaji kuniuliza maswali magumu mimi ninaelewa nachoandika"

NB. Pasco wa jf ni Mkatoliki Die Hard, ili for interest, Ameisoma Biblia kama "hadithi" tangu ukurasa wa kwanza, mpaka ukurasa wa mwisho, neno kwa neno, mstari kwa mstari, sura kwa sura, kitabu kwa kitabu!. Pia amewasoma Rosea Crusis (Rosecrusians), Bahai La and the New Era, Watch Tower, Hinduism, Budhiism, nimemsoma Dalai Lama, Lobsang Rampha, L-Ron Hubbard na Dianetics, Maharish Maheshi Yaga, Allen G.White na wengine wengi, pia nimehudhuria mihadhara mbalimbali ya kiimani wakiwemo hawa jamaa wa Krishna pale Kisutu.

Hapa kwenye safari yake Italy...........sijui naweza kumuuliza haya aliyoyaandika aliyachimbua huko?

Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Pasco unafikiri nakupinga basi........! najaribu kumsoma Pasco wa JF.
 
Nashukuru umenifanya niongeze juhudi za kutafakari zaidi Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ndahani, enzi za Max Shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.
dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi Wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa Mungu, haturusiwi to think beyond, huyu Mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, Alfa na Omega!. 1

Pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini Mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!. 2

Mimi baada ya kuishi India, nikasoma kidogo Eastern Sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islam ndizo dini mpya za juzijuzi, Hinduism na Budhiism zilitangulia sana, 3 ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond God!.

Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with God, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa Mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na Lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya God the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, Mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. 4.Mungu Baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya Mungu. Uwezo pekee wa Mungu ambao shetani hana ni Kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo Mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la Mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio Mungu ni shetani!.

Kabla Mungu hajamuumba Adam, baada ya uasi wa shetani, Mungu akashauriana na NENO, malaika mkuu Mikaeli, na Gabrieli,5 tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba Adam!. Mara baada ya Mungu kumumba Adam, kweli Adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki Mungu, kuwa ataupimaje utii wa Adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, Mungu amruhusu shetani amtempt huyo Adam, akivishinda vishawishi ndipo Mungu atathibitisha kweli yeye Mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.

Mungu alipomuumba Eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni Mungu akawapa maonyo Adam na Eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye Biblia vimeitwa "tunda" 6 na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. na shetani waka bet nani zaidi!.

Ili kumlinda Adam na Eva na ushiwishi wa shetani, Mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing Adam akamange mane mbali kidogo!.

Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya Adam!. Ndipo shetani akamuuliza Eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, Eva akamjibu, ni cha mema na mabaya Mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia Eva, Mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia Eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa Kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.

Kwa vile hayo mambo Eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! kwa kumshughulikia na kweli, Eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo Eva ali mconceive Cain!. Baada ya Eva kuonjeshwa dose ya shetani, Adamu aliporudi, Eva akalazimisha anataka, japo Adamu alisita sana, Eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza Adam jinsi ya kula "tunda", Adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.

Yote hayo yakifanyika Mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo Mungu akamuita Adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi Mungu and HE had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa Adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na Eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.

Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa Kimungu kuzaa watoto, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.

Mtoto wa kwanza wa Eva , yule Cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa Adam ni Abel. Na ndio maana sisi Wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya Adamu na Eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa ASAP akishazaliwa!.

Sasa kitu ambacho Gerald Hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio Mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini Mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya Mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, Satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out!, and you'll never even think!. 7

Pasco.

MKUU Pasco,
naheshimu sana mawazo yako ila nitapenda kukuchallange.kama ifuatavyo nimeweka namba huko juu
1. je ni kweli kuwa tumelimitiwa kufanya hivyo? na hayo mengine je ni kweli?
2. je ni kweli hatuambiwi chanzo na shetani na namna mungu atakavyomuadhibu? mbona biblia imeweka wazi
3. mh christianity ya juzijuzi sijui labda wenzangu watanisaidia uislam labda wajuzi lakini nalo sina hakika wengine watanisaidia.
4. mungu hana uwezo wa kumwangamiza shetani? asingeahidi kumtupa katika ziwa la moto siku za usoni amemwacha kwa kusudi ili yatimie yale yaliotabiriwa na manabii
5. je neno ni nani?
6. unahakika kuwa tumda ndio kiungo hicho wapi imeandikwa?
7. ni kweli hawa jamaa wanabwabudu shetani na katika madocument yao mtandaoni wanaonesha hii
pasco nisaidie katika hayo maswali niliyoyaweka hapo.
 
hii issue ya freemans imekuwa maarufu hapa Tanzania kwasababu watanzania wengi wa sasa ni wavivu wa kufikiri na tunapenda shortcut sana. mtu anadhan akijiunga freemanson leo hata ndala hana kesho atatokea mtaani kwao na benzi. Na kila anayefanya kazi kwa bidii na maarifa na anaconnection zake anaitwa freemason. Stupidity.
 
Hii kitu sio simple hivyo. Malengo ya Freemansons ni kuwapumbaza wanakondoo waelekee machinjioni kirahisi. Ona wanachama wake wote utaona wote wana machinjio. Kwa nini ni ngumu kujiunga; lazima waone una machinjio na unahitaji kuchinja.
 
Dah mtangazaji kaboaaaaaaaaaaaa mpaka bhaaaasi!!.km vp angeandika maswali ya kuhoji,Chande kajinafasi mpaka raha coz no challenges.km vipi wamtupie Kibonde amdadavue.
 
Kwa tz Kuna lodges Arusha, Tanga, mwanza, Dar na vikao vinaanza mara moja kwa mwezi saa 12 na kwenye vikao hakuna discussion za siasa au dini.............

Mkuu, mbona hata pale moshi kwenye round about (keep left) ya kwenda arusha kuna lodge yao tena imeandkwa masonic wall? au ile ni restaurant tu!
 
Nkumbuka alimention tano nakiri na Moshi alisema pia
 
Mkuu Ndahani, enzi za Max Shimba, tuliwahi kubishana sana kuhusu shetani!.
dini nyingi zina limit thinking ya waumini wake, sisi Wakristu limit yetu ya thinking ni uwepo wa Mungu, haturusiwi to think beyond, huyu Mungu, alitoka wapi, alianzaje na source yake ni nini, tunafundishwa tuu kuwa yeye ndiye mwanzo na mwisho, Alfa na Omega!.

Pia tunatajiwa uwepo wa shetani, hatuambiwi huyu shetani alianzaje na kama ni muharibifu hivi, kwa nini Mungu hamuangamizi, dunia ikapata amani!.

Mimi baada ya kuishi India, nikasoma kidogo Eastern Sciences just for knowledge, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islam ndizo dini mpya za juzijuzi, Hinduism na Budhiism zilitangulia sana, ukizisoma vedas, unapata mwanga mpya wa self awarenes inayakufanya uwe na uwezo wa kuhoji beyond God!.

Kwa vile mimi ni Mkatoliki die hard!, nilipokuwa Italy, nilitafuta fursa ya kufika St. Peter Basilica, wale wanaofika pale kwa ajili ya kuabudu, you can't query anything, mimi kwa vile nilisha visoma sana vitabu vya Malachi Martin, hivyo nilipofika nilitamani kuutafuta ukweli beyond huu tuusikiao na ndipo nikafahamu!.

Sipendi kuwatisha wale ambao limit ya thinking yao end with God, ila naomba niwajulishe kuwa mwanzo wa Mungu, pia ndio mwanzo wa satan, na Lucifer, sio tuu ndiye alikuwa 2nd in comand baada ya God the father, he is still is!. Lucifer alipoasi, Mungu alimfukuza ila hana uwezo wa kumuangamiza!. Mungu Baba anauwezo mkubwa kuliko shetani, ila shetani nae anaowezo wa pili chini ya Mungu. Uwezo pekee wa Mungu ambao shetani hana ni Kuumba, na kutoa uhai!. Mengine yote ambayo Mungu anayaweza na shetani pia anayaweza. Hivyo kuna hawa wahubiri kibao wanafanya miujiza kwa jina la Mungu, lakini aliyewapa uwezo huo wa kufanya miujiza hiyo sio Mungu ni shetani!.

Kabla Mungu hajamuumba Adam, baada ya uasi wa shetani, Mungu akashauriana na NENO, malaika mkuu Mikaeli, na Gabrieli, tuumbe kiumbe kitakacho tutii, ndipo akamuumba Adam!. Mara baada ya Mungu kumumba Adam, kweli Adam alikuwa mtii, shetani akamdhihaki Mungu, kuwa ataupimaje utii wa Adam kama hana temptations, akamsisitiza ili kuupima utii wa kweli, Mungu amruhusu shetani amtempt huyo Adam, akivishinda vishawishi ndipo Mungu atathibitisha kweli yeye Mungu ndiye zaidi!. Shetani akasuggest the type ya temptation!.

Mungu alipomuumba Eva, pia akaviweka vile viungo vya temptation kama shetani alivyoshauri ni Mungu akawapa maonyo Adam na Eva kuhusu matumizi ya viungo hivyo ambavyo kwenye Biblia vimeitwa "tunda" na tendo limeitwa "mti wa mema na mabaya"!. Mema ni uzima, mabaya ni kifo!. Mungu akawaambia wakila matunda ya mti huo ni hakika watakufa!. na shetani waka bet nani zaidi!.

Ili kumlinda Adam na Eva na ushiwishi wa shetani, Mungu akaweka malaika wawili wenye upanga wa moto pale getini, kuzuia shetani asipite. Shetani akajigeuza nyoka akapenya getini na kuingia bustanini!. Alipofika ndani, akajigeuza a very handsome man na kumfanyia timing Adam akamange mane mbali kidogo!.

Eva akashtuka kuona kuna kuna binadamu mwingine zaidi ya Adam!. Ndipo shetani akamuuliza Eva, hicho kiungo "tunda" ni cha nini?, Eva akamjibu, ni cha mema na mabaya Mungu katukataza tusivitumie!. Shetani akamwambia Eva, Mungu amewadanganya, hilo tunda la mti wa katikati, ndilo tunda tamu kuliko matunda yote (kweli au sii kweli?), na ukilila tunda hili, utapata raha kubwa kuliko raha zote duniani (kweli au sii kweli?) lakini zaidi ya yote hayo, shetani akamuhakikishia Eva, kuwa wakila tunda hilo, sio tuu watapata raha kubwa kuliko zote, bali pia watakuwa na uwezo wa Kimungu, wa kujiumbia viumbe wengine wengine wadogo! (prpcreation)!.

Kwa vile hayo mambo Eva hayajui, shetani akamuonjesha namna ya kumega tunda! kwa kumshughulikia na kweli, Eva alifurahi, alienjoy na kukiri hakuwahi kula tunda tamu kama lile!, na siku hiyo Eva ali mconceive Cain!. Baada ya Eva kuonjeshwa dose ya shetani, Adamu aliporudi, Eva akalazimisha anataka, japo Adamu alisita sana, Eva alimfanyia manjonjo kama alivyoelekezwa na shetani na kumuelekeza Adam jinsi ya kula "tunda", Adam akaingia line, tunda likamegwa, na baada ya kula wakaishia usingizini!.

Yote hayo yakifanyika Mungu anaona na hakuwa na uwezo wa kumzuia kwa sababu ita was a bet!. Ndipo Mungu akamuita Adam, na for the first time wakajistukia viongo hivyo ni vya nini, wakajiona uchi na kuanza kujificha!. Shetani alishinda, binadamu alimuasi Mungu and HE had no way out, bali kuwafukuza toka ndani bustani na kumpa Adam adhabu ya kula kwa jasho lake baada ya kukubali kudanganywa na mwanamke!, na Eva akapewa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu kufidia utamu wa starehe ya shetani!.

Tangu hapo ni kweli binadamu wakapata uwezo wa Kimungu kuzaa watoto, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba maumbile ya procreation kuwa kama "handshake" au hata "polination", vile viungo ni mpango wa shetani, na lile tendo ni la kishetani!.

Mtoto wa kwanza wa Eva , yule Cain ni product ya shetani ndio maana akazaliwa na tabia za baba yake, na mtoto wa Adam ni Abel. Na ndio maana sisi Wakatoliki tunaamini lile tendo la kumtengeneza mtoto ni dhambi as a result, mtoto ni product ya dhambi hivyo kuzaliwa na ndhambi ya asili (original sin) ya Adamu na Eva na ili kuiondoa kila mtoto hutakiwa kubatizwa ASAP akishazaliwa!.

Sasa kitu ambacho Gerald Hando hakuambiwa kuhusu hawa freemasons, ni kuwa huyo supreme being wanaye muabudu ambnaye sio Mungu ni nani?, ili uweze kumuabudu shetani, lazima kwanza uamini Mungu ndipo shetani aonyeshe uwezo wake zaidi ya Mungu na kukubali kuwa mfuasi wa shetani kwa kufanyiwa "initiation" once in, always in, na ukichange mind kuamua kutaka kutoka nje, Satan himself, will deal with you!. Ukisha fanyiwa "initiation" unaonyeshwa what will befall you if you decide to walk out!, and you'll never even think!.

Pasco.

Elimu ndingine bwana!

Pasco,
Original sin, ni kutotii na sio uzinifu. Soma Biblia vizuri, Baada ya kuwaumba aliwaambia zaeni mkaongezeke, wangezaaje sasa? By induction osmosis au transpiration? Ndoa ya kwanza ni ya Adam na hawa ambayo Mungu aliibariki mwenyewe. Walipo ambiwa wasile tunda la kati, shetani akamhadaa hawa wakala kosa ni kuto tii Kile Mungu alisema. Kama huamini ni mti wa mema na mabaya, kwa nini usimuulize Mungu kupitia roho wake akupe siri? Maana Jeremiah 33:3 amesema niite nami nitakuitikia na kukuonyeha mambo makubwa magumu usiyo yajua. This means yako mambo mengi hatuyajui, na tutajua tu tukitaka na kumwita kama alivyo sema ktk neno lake. Kuhusu Cain Biblia inasema watoto wote wanatoka kwa Mungu. kila mtoto ni wa Mungu and so was Cain.

Laiti ungeendelea kumtafuta Mungu kwa bidii wewe kama wewe baada ya kusikia stories and all that learnings, ndipo ungemjua vema Mungu maana wamtafutao kwa bidii wanamuona na anajifunua kwao na kuwaambia yote yawapasayo.
Maana haiingi akilini kwamba malaika hao hao ndio walio mpiga na kumfukuza shetani Mbinguni wakashindwa kumjua alipojigeuza kuwa nyoka na kuwapita. Hapo ume-limit uweza wa Mungu Baba wa Mbinguni kwa malaika wake. Kumjua Mungu inategemea na na kiu na juhudi binafsi kama iliyo shule, na msingi wake ni wokovu. Mungu yupo na anaongea na hivyo anaweza kutoa majibu yote yenye mashaka kwake. Neno la Mungu bila Roho Mtakatifu ni kazi bure, maana shetani anaijua Biblia kuliko sisi. the move of the spirit of the Almight God brings the word into action (effectiveness).

Huwa ninapata mashaka sana na wanacho amini ndugu zangu wa dini kama RC like i used to be, kwa kweli Mungu awasaidie, kwa sababu hawa kubali wokovu, ambao Kristo aliuleta. huwezi kuokoka kwa kurithi dini au dhehebu. Tunapata vipi wokovu?,
Ni ukweli ulio wazi kwamba Bwana Yesu alikufa na kumwaga damu yake pale Msalabani kwaajili ya ulimwengu mzima, lakini watu hawataokolewa mpaka wamemkiri na kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wao. wokovu una sehemu/ hatua tatu.

Tunapata wokovu kwa Imani na kwa kukiri kwa kinywa chako mwenyewe ya kwamba Yesu ni Bwana na mwokozi wa Maisha yako (here your spirit get saved), it is not automatic to be saved. you have to believe and declare with your own mouth that Jesus is the Lord and saviour. Kama ilivyo andikwa ktk 1wakorintho.

Mabadiliko ya roho ya mtu, (Transformation of the soul), by renewing of the mind, this deals with consciousness and subconsciousness. inahitaji juhudi binafsi za kumsogelea Mungu kwa maombi yasiokoma (unstoppable prayers), Kujifunza neno la Mungu na kubadili tabia kabisa, kuliishi neno. Ndipo hapa mtu hatua kwa hatua anabadilika na kuwa na mpya katika matendo yake na maneno. this is where the subconscous is brought to a divine editing and here one becomes and new breed. Ni hatua muhimu sana maana ndiyo inayom-badilisha mtu. Unaweza ukashangaa mtu ameokoka lakini ana act crazy ni kwasababu ya hii. Haitegemeani na kubatizwa wala kunena kwa lugha ya roho Mtakatifu, bali juhudi binafsi katika kumtafuta na kumkaribia Mungu. Huu ni wokovu wa roho.

hatua ya tatu ya wokovu ni wokovu wa mwili ambao utakuwa siku ile Yesu atakapo rudi kama alivyo ahidi, mwili huu utafufuka kutoka wafu. kwa maneno mengine wokovu ni safari inayo anzia hapa hapa duniani na wakati ni huu.

Shetan hana chochote, ni mwizi na mwongo tokea mwanzo. hivyo kumpa utukufu ni kukosea. the Devil is so low.....liar
 
Back
Top Bottom