Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Pasco Mkuu wa Freemason Duniani sio Malkia Elizabeth ni binamu wa Malikia Elizabeth Duke of Kent. Acha kumpakazia bibi.

Prince Edward, Duke of Kent, is just the current Grand Master in England and Wales lakini you will be surprised who really is the master of Freemasonry in the world. The one who is the link between spiritual world (where we find Satan and his Angels) and physical world (men who are physically our political and religious leaders). A very respectable leader. Keep reading with open mind. You wont believe it.
 
Freemasons ni taasisi ya kijamii kusaidia shughuli mbali za misaada mfano MV Kagera ilipozama, yeye alimpigia simu mkuu wa Freemasons wa Uingereza, Malkia Elizabeti wa Uingereza hivyo walileta msaada wa Pauni 10,000 za Uingereza (just imagine kile kivuno)!.

Nimegundua juzi nilipokuwa home kwamba concept ya freemasonry kwa mwananchi wa kawaida bongo ni kinyume kabisa. Kwa wengi mtu yeyote aliye 'sucessful' freemason. Na wengi wanaamini ukijiunga nao tu basi kuanzia hapo utafanikiwa, hata ukiwa unashinda umelala kitandani. Hata wewe Pasco si ajabu utakuwa unaonekana 'freemanson' tu kwa watu wengine
 
Wanabodi

Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anaweka kila kitu wazi!.

Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.

Wewe ni hazina, alwayz I learn something new naposoma posts zako. Sijaona kipindi hicho ila based on loopholes ulizozianisha nadhani mengi hayajafunuliwa ktk kipindi hicho.
 
Nimegundua juzi nilipokuwa home kwamba concept ya freemasonry kwa mwananchi wa kawaida bongo ni kinyume kabisa. Kwa wengi mtu yeyote aliye 'sucessful' freemason. Na wengi wanaamini ukijiunga nao tu basi kuanzia hapo utafanikiwa, hata ukiwa unashinda umelala kitandani. Hata wewe Pasco si ajabu utakuwa unaonekana 'freemanson' tu kwa watu wengine
Mkuu Cynic, nimeelezwa utawatambua kwa aina ya magari yao!, mimi ni mtu wa boda boda japo sasa nime upgrade to bajaj, nitafanya utafiti kama naweza kukubaliwa ili namimi angalau nibadili hii bajaj nipate japo hata ka starlet au nissan match na mambo yakiwa super, ninunue hadi corola!.
 
Kwa kweli Gerald ameni-disappoint sana katika interview hii. Yani kama vile Chande ndio alikuwa anaongoza...badala ya kuchimbua mambo anayoyasema Chande juu juu, unaona Chande akifika mahali Gerald anasema kwa kurudia alichomalizia kusema anakifanya kiwe kama swali "kwa hiyo umesema freemasonry hawatoi pesa eh!?"..aahhg!!Very poor interview!
Anyways, nisimlaumu sana. Amejitahidi kidogo!
My Opinion to Interviwers: Jitahidini jamani mfanye homework yenu kabla hamjaenda eneo la tukio. You need to learn and know most of the things already known or written, ili uweze kujua maeneo zaidi yanayotatiza ndio uyaulize. Waandishi tujitahidi kuwa interviewers not just reporters!!
inawezekana siyo mwana JF,maana angepata some knowledge hapa,angeshawahi kuiona ile thread ya Maxence Mello ya "Freemasons inside out"
 
Kiukweli kabisa kama kuna interview mbovu niliyowahi kushuhudia, basi ni hii ya Bwana Hando na Freemason wake! Hando alikuwa anajikanyaga sana kuuliza leading questions za msingi! Nafikiri lengo lao lilikuwa moja "KU-PROMOTE FREEMASON" watu waione nzuri! Japo niliona pia lugha gongana, kimsingi Hando kachemsha kwa asilimia kubwa kumuhoji yule bwana, maswali aliyouliza hasa yale ya nyongeza hayakuwa yakidadisi! Alionyesha kuridhika na kurelax kwa kila maelezo aliyopewa!
 
Prince Edward, Duke of Kent, is just the current Grand Master in England and Wales lakini you will be surprised who really is the master of Freemasonry in the world. The one who is the link between spiritual world (where we find Satan and his Angels) and physical world (men who are physically our political and religious leaders). A very respectable leader. Keep reading with open mind. You wont believe it.

its true, it is unbelievable to some people who do not want to learn how the world is going, they believe everything from these spiritual leaders, they respect each and everything they are told to do! It is amazing! I hope the one is linked with papacy position! A very respectful church leader in the world; religiously, politically, socially and even economically!
 
we ulijuaje kwamba papa ndio kiongozi wao kama sio kuaminishwa na vidocumentary vinavyotengenezwa na watu wenye mtizamo tofauti na rc.soma vizuri hitoria ya freemanson.
 
Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.

wewe uliye nje ndio unaweza kufikiria hayo unayosema. Kwa ninavyoelewa the whole program ilikuwa ni kuwaweka watu aware kuwa hii kitu ipo, na kitu wanachofanya Clouds ni kupromote freemasonry...jaribu kumsikiliza Hando mara zote anapoongelea ishu za masons huwa anajifaragua na huwa hafichi furaha yake.
Many will be deceived as the father of all evil is also their father..Tanzania and fellow Tanzanians open your eyes and watch out!
 
Pasco na platozoom mtamlaumu bure Gerald Hando kumbe tatizo ni ile Lugha ya Malikia iliyotumika kufanyia mahojiano, au hamkuona kwenye Bunge letu wakati wa uchaguzi wa bunge la Afrika Mashariki unadhani kulikuwa na maswali? ni Mwakyembe peke yake ndio alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi

Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anaweka kila kitu wazi!.

Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.

Nimependa comments zako Pasco. Nisichokijua ni kilichokuwa nyuma ya pazia ya kipindi chenyewe; Je! kipindi kilikusudia kuueleza undani wa freemason kwa uma wa Tanzania ili wauone ubaya wake? au kilikusudia kupromoti u-freemason ili wapate wanachma wengi Tanzania?
 
Freemasons hawana mambo yoyote ya siri zaidi ya "rituals" na "ceremonies" ila siri ni jinsi wanavyotambuana kuna alama fulani za siri ambazo ni freemasons tuu watatambuana.

na kwa nini watambuane kwa ishara za siri ikiwa hawana siri? na kama ni mambo mazuri wafanyayo na mema kwa jamii kwa lengo jema kwa nini iwe hadi uwe memba wao ndio uingie, ukimsikiliza utagundu akuna mengi alikuwa anayakwepa kuongelea na kwa kweli it is a society/institution with secrets.
 
Pasco na platozoom mtamlaumu bure Gerald Hando kumbe tatizo ni ile Lugha ya Malikia iliyotumika kufanyia mahojiano, au hamkuona kwenye Bunge letu wakati wa uchaguzi wa bunge la Afrika Mashariki unadhani kulikuwa na maswali? ni Mwakyembe peke yake ndio alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali.

mkuu,
lugha si tatizo sana jana kwani bado alikuwa na uwezo wa kuyatayarisha maswali ya akili toka muda mrefu au hata akamuuliza kiswahili kama alivyokuwa anafanya kwa baadhi ya maswali isipokuwa inaonesha alishapewa muungozo wa uulizaji wa maswali. na yapi asiulize.
 
its true, it is unbelievable to some people who do not want to learn how the world is going, they believe everything from these spiritual leaders, they respect each and everything they are told to do! It is amazing! I hope the one is linked with papacy position! A very respectful church leader in the world; religiously, politically, socially and even economically!

haswaaaaa.
 
nilitegemea kusikia vitu vingi jana lakini nikaishia kusikia masifa na mapromotion ya kujiunga na hili janga la dunia.hakukuwa na kipya bora haoa JF tumeidadavua sana hii kitu
 
Thanks cloud TV, Yet you need to find Andy chande, Ili waeze kuja kutoa ufafanuzi zaid kama Pasco alivyouliza hapo juu. Kwa sababu hawa jamaa wanachanganya sana jamii. Ili kiuondokana na hili Cahnde aje kuuza sura yake tena Cloud TV:yawn:
 
Back
Top Bottom