Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Kuna maslahi yoyote ya Taifa?

Maslahi ya Taifa ni neno pana sana........Kwa mfano: unaweza usione umuhimu wa kuimba na kucheza ngoma lakini kuna jamii zinaheshimu sana mambo hayo kwao hayo ni maslahi ya Taifa na wanapenda yaheshimiwe ingawa kwa wengine ni kituko
 
Freemasons hawana mambo yoyote ya siri, no any secrets zaidi kutambuana tuu!.
Freemasons ni upendo ushirikiano na kusaidiana!.
 
Ulishajaribu kujiunga? maneno mazuri hayo hutaki kuwa na ushirikiano na hawa watu wema
 
Freemasons hawana mambo yoyote ya siri, no any secrets zaidi kutambuana tuu!.
Freemasons ni upendo ushirikiano na kusaidiana!.

Kaka utaumbuka walio humo wanakimbia kaka!kawaulize paster nanii atakuambia.
 
ametaja eneo ilipo.....?
usihofu dear nitakupeleka!
Panda ki-hiece cha ngara ushukie duka la njano halafu rudi nyuma blocks tatu utakuta mfereji wa maji,vuka mfereji na utembee hatua 20-25 ,kulia kwako utaona jengo jeupe dogo kiasi.
Ukifika alhamisi kuanzia mida ya saa moja usiku utaona magari ya gharama yamepark kwa nje na hapo ndipo wanapokutana.
 
Huyu ana thread yake kule jamii intelligence.Mtu wa Mkapa huyu,nadhani Mkapa naye ni Freemason.
 
Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.
 
What do you expect

He will answer all questions without bulging. He will be so cool and calm, he will not interrupt whoever is asking the questions, he will be a good teacher in short, he will listen and answer without eenhhh, mnhhh, onhhh.

Mzee Chande ni kichwa cha uhakika.
 
usihofu dear nitakupeleka!
Panda ki-hiece cha ngara ushukie duka la njano halafu rudi nyuma blocks tatu utakuta mfereji wa maji,vuka mfereji na utembee hatua 20-25 ,kulia kwako utaona jengo jeupe dogo kiasi.
Ukifika alhamisi kuanzia mida ya saa moja usiku utaona magari ya gharama yamepark kwa nje na hapo ndipo wanapokutana.

oooh kumbe pale.....nilisikia hivyo nikauliza wenyeji....wakaniambia ni casino.....nikajiuliza casino gani lina madirisha kama jela.....kesho nitapita kupata details zaidi.....asante sana.....
 
He will answer all questions without bulging. He will be so cool calm, he will not interrupt whoever is asking the questions, he will be a good teacher in short, he will listen and answer without eenhhh, mnhhh, onhhh.

Mzee Chande ni kichwa cha uhakika.

Exactly that is what he did, he is well in brain. Are you member of society or support it...........what is your perception on this
 
Kipindi kimekwisha!.

My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.

Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.

Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.

All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.

Thanks

Pasco.

Hakika kabisa Gerald Hando alikuwa ananiudhi sana...........haulizi maswali yenye kukata kiu kifupi akamwachia Andy aongoze kipindi ndio maana alikuwa anatabasamu tu.
Haikuwa na maana yeyote kuendesha kipindi hiki...........infact unatakiwa uulize maswali ambayo msikilizaji hakutegemea na yatakayokata kiu.

Hlafu mara nyingi Andy anaongea Kiingereza tu badala ya kupiga Kiswahili pamoja na kuzaliwa Bukene
 
Freemasons ni taasisi ya kijamii kusaidia shughuli mbali za misaada mfano MV Kagera ilipozama, yeye alimpigia simu mkuu wa Freemasons wa Uingereza, Malkia Elizabeti wa Uingereza hivyo walileta msaada wa Pauni 10,000 za Uingereza (just imagine kile kivuno)!.
Pasco Mkuu wa Freemason Duniani sio Malkia Elizabeth ni binamu wa Malikia Elizabeth Duke of Kent. Acha kumpakazia bibi.
 
Mwache Mzee Chande awape darsa kidogo. Najuwa atachokiongea.

Amasema nini? Kila tukinywa maji ya kilimanjaro tunachangia charity? Teh teh teh! Unajua watu wa leo bwana...mchana anakuwa na dini hii halafu usiku anajiunga na nyingine. Kazi mbona ipo.
 
Back
Top Bottom