Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Originally Posted by Kevo
hakumshawishi Mwalimu kweli naye aingie kwenye list of shame?

watu na heshima zao kwanini unaita list of shame????
sina hakika kama kile kisichokuwa chaguo lako basi hakifai.
 
Man acha kupotosha umma... kabla hujaongea ningekuomba ufanye utafiti nini hasa maana ya freemasons and what they do... then you will realise their interest is not to make children and women as members... and one thing freemason is not for everyone.... i think cash inamatter... thats one thing amongo several things.
 
Nimefanya utafiti wa kutosha sana,na ninaloliongea nalijua,pole sana nadhani wewe ni freemason.Lakini kumbukeni shetani anawadanganya.Mnayowafanyia wanadadamu ni mabaya kupindukia,hukumu yenu iko mbele.

Man acha kupotosha umma... kabla hujaongea ningekuomba ufanye utafiti nini hasa maana ya freemasons and what they do... then you will realise their interest is not to make children and women as members... and one thing freemason is not for everyone.... i think cash inamatter... thats one thing amongo several things.
 
Link ni http://members.iimetro.com.au/~hubb...ifunguki, ikiwezekana tupe summary tu[/QUOTE]
 
The earth charter will be presented this December in Amsterdam.The front runners are the Rockefeller brothers,who are 33rd degree Freemasons.It was completed in March 2000 and launched in the Hague on 29 June 2000.The charter has since been endorsed by thousands of organizations,but has yet to be adopted by the United Nations,probably also towards the end of this year.The document consists of four main parts as follows:
*Respect and care for community life
*Ecological integrity
*Social and Economic justice
*Democracy,non violence and peace.
For details please go to Earth Charter in Action

To an unsuspecting mind,the charter looks humane indeed.But for those who understand the nature of the Illuminati/Freemasons and their agenda for total world domination,the document is scrap,and yet another attempt to mock and enslave humanity.Please understand that the Illuminati/Freemasons have no respect whatsoever for community life,in fact they have for generations planned for our destruction.This is happening right in front of our eyes.If you don't see you are scrap.They do not also care about the ecosystem,they are destroying the ecosystem behind the scenes.Evidence of the destruction is there for everybody to see.It really does not need an intelligent mind.Furthermore they are responsible for all the world wars,I & II and all the chaos you see around us.They are also planning for the III World war,that's why they called the past major wars I and II, because they were expecting another III war.Read yourself about the "Illuminati/Freemasons and their agenda for world domination," you will understand all the facts.I do not have time to digest everything for you.However, presentation of the charter which is in fact the constitution of the so called 'world country' is the final push towards total world domination.Obama is the in the driver in that satanic agenda.Please do not endorse the charter on line if you are not an agent of the Freemasons.
 
Nenda sasa inafunguka.Ukifika hapo angalia mkono wako wa kushoto mahali palipoandikwa READ(in english).
 
KUna mason wa Tanzania wakiongozwa na Sir Andy Chande na mmojawapio wa memba maarufu ni.. u guessed it Benjamin William Mkapa.

Kuhusu alama ya vidole. Naona watu mnachanganya alama mbili zisizohusiana ingawa zinaoneshwa vile vile.

Kwa wanamuziki wa Rock na macelebrity mara nyingi alama hiyo inawakilisha mambo yale ya kishetani kutokana na miziki ya bendi za rock ambazo zilikuwa zinadaiwa zina maneno ya kishetani, na hivyo wale wanamuziki walipoanza kutukuza sifa hiyo ya ushetani wakawa wanatumia alama ya pembe za kishetani.

Kwa wale walioko Texas alama hiyo ya vidole uhusiana na timu ya mpira ya Chuo Kikuu cha Texas ambayo hujulikana kama "Texas Longhorns". Ukienda hata kesho kwenye mechi zao utawasikia wakiimba "Hook em horns" Long horns na wakinyanyua alama za pembe za ng'ombe.

Bush anatoka Texas. Picha ambayo inaonesha hapa ya Bush ni wakati bendi ya Chuo Kikuu cha Texas ilipokuwa ikipita mbele ya Rais Bush baada ya kuapishwa kule Washington DC. Na kwa watu wa Texas where Texas is Bigger than America.. usishangae kuwakuta wakisalimiana kwa alama hiyo ya "hook em horns".. !

hornswh.jpg


Natumaini hii itasaidia angalau kwenye angle hiyo.

Habari Mwanakijiji,
Freemasonry wakiona ama kuanzisha alama na saluti zao zikitumiwaga vinginevo, basi wanafurahi manake sasa wataweza kutumia zao hadharani bila wengi kuwaelewa... Baba wa joji bushi alivokuwa akiongelea 'New World Order' mara nyingi, hakuwa anaongelea siasa... angalia hii picha apo chini ... tizama mkono wa joji ... anatamba 'longhorns'???


versions-of-horned-salute.jpg
 
Nimefurahi na nimesikitishwa.
Nimefurahi kuona huu mjadala humu ndani. Nilianzisha na kujadili haya kwenye forum ya kimataifa miezi michache ilopita. Nnabandika linki za video vinavofafanua na kuonyesha haya majamboz...

Nimesikitishwa kusikia Free masonry imetua Tanzania. Siku hizi inaonekana kumekuwa na shughuli nyingi za hii jumuiya... kweli Armageddon i-karibuni.

* Hizi video zitakuonyesha vile:
- New World Order ni nini na ni vipi Free masonry anashughulika na vile makampuni mengi yenye nembo za masonry
BOFYA YouTube - New World Order Government Conspiracy

- Illuminati ni nini
BOFYA youtube - Illuminati

- Vile dunia ilivodanganywa kuhusiana na 911 na free masonry involvement
BOFYA youtube - 9/11 and free masonry

- kideo kikionyesha 9/11 maghorofa yaliangushwa na mabomu. Ivi umeshawahi kujiuliza ghorofa litaangukaje kama ndege inagonga juu badala ya chini, nguzoni???
BOFYA youtube - mabomu yakilipuka baada ya ndege kugonga majengo

- Vile Osama alivokuwa rafiki wa Marekani... pia ndege zinazoendeshwa na robots. Nimekwenda kwenye mjadala wangu wa zamani kule kwingineko, na kile kideo kilichoongelea taarifa tokea France kuhusiana na mkutano wa bin Osama na cia kimeondolewa, na pia kimeondolewa ndani ya youtube. Amazing, if not proof positive! anyway, nilishusha kideo, lakini sitakibandika hapa... badala yake ntabandika linki ya stori, ambayo ndani yake ina link nyinginezo kuhusiana na ndege zikiendeshwa bila rubani. Link apo chini...

BOFYA KUSOMA - Osama bin CIA Agent

 
Mkuu nimekubali, unayafahamu majamboz yao! ama nawe ni mmoja wao?? tuhabarishe mkuu,we need to know the truth.

By the way, what's wrong about being a freemason?
 
Sijui ka swali apo juu limeulizwa kwangu...
Mi si memba, na sitakuwa memba. Najua vingi kwa sababu mimi Rootsman ni conscious na nafanya uchunguzi, afu nachambua nnavosoma ama kufundishwa, hata ka mwalimu ni mchungaji ama Imam.

mmoja ya nguzo zangu maishani kutoamini viongozi, matajiri, ama wahubiri wa dini ... hadi wakiniridhisha kwamba wana moyo mzuri na ni wasema ukweli. Historia imenionyesha kuwa
- viongozi wengi, espesheli, wa Afrika wanatudanganya wakivimbisha matumbo yao...
- matajiri watasema chochote kunufaika
- wahubiri wa dini kuu mbili (Ukristo na Uislamu) walitenda na kunufaika na biashara ya utumwa.... na siku hizi wananufaika kuwa kimya wakishuhudia sirikali nyingi zikitesa na kuwaibia wananchi.
 
Kuna mwenye habari kuhusu Obama? Pia najaribu kufuatilia ili nione kama ina make sense.
 
hawa jamaa ni hatari sana, lakini tunawashinda kwa Jina la na Damu ya Yesu. wameshindwa na hawatafanikiwa kwa lolote lile hasa kwa upande wangu. mimi na familia yangu, hata wakijaribu kuniangalia kwenye vioo vyao au namna zozote zile, hawatatuona, wala njama zao hazitatufikia. tumewashinda kwa Jina la Yesu.

naomba msome hii kitu. ni watu wabaya sana. kila kitu wanafanya, ni sawa tu na atakavyokuja kufanya mpinga kristo. yaani, ni vilevile tu, ila wao hawakamilishi yote, ni governmetn power ambayo iko kwenye process. but i warn you, kama hauna nguvu za Yesu, usijaribu kuwachokoza, watakumaliza kweli. jifunge mkanda kwa kumwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako kwanza, ndipo uingie kwenye mapambano nao. Yesu ana nguvu kuliko wao.
 
imani ni imani tu, at he end of the day unahitaji mkate ili uishi mbali na hiyo imani ya dini au shetani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom