Unatetea nini ndugu yangu dunia iko wazi now
Hakuna cha brotherhood chief niushetani mtupu makafara mnayotoa hayo ndio brotherhood
Mkuu Natumaini unalo la kutuambia sasa maana ni kitambo kweli nasubiri....Swali gumu, lakini kuukubali Mwenge, kukubali alama za nyota zitumike enzi za Mwinyi etc inaweza kutupa picha mbaya. Hata usalimianaji wake unatia wasiwasi.
Ngoja tuendelee kuzidodosa picha zote utaona kwanini nasema hivi...
hahaha zipo jumuia nyingi za kisiri hapa duniani, na ukishasema freemasons, naamini watu wote watajua unazungumzia a secret society yenye asili ya uingereza. Of course tanzania zipo hizi secret society nyingi, ila kama uendeshaji wao ni tofauti na freemasons sidhani kama wanaweza jiita ma freemasons kama tuambiwavyo na media zetu.Hapo umechukua kipande cha Freemasons wa uingereza watu tunaka uzungumzie sisi Freemasons wa Tanzania na dunia kwa ujumla
Mmmmh fikilia vyema bro ucjeukaingia miezi kadhaa ukaanza kujutia nafsi
Mmmmh fikilia vyema bro ucjeukaingia miezi kadhaa ukaanza kujutia nafsi
wew richard12 kama unataka kujiunga tembelea website yao utapata info zote.. but m sikushauri kujiunga nao & kwanza soma taratibu na kanuni zao
Pole...Tafuta kujua zaidi kuliko kulishwa maneno
Nipe mfano mmoja wa ushetani ulioko kwa freemason?