Cheni ya Mkapa na pete yake...could be urembo tuu
Vp kuhusu Skull&Bone,illuminat and secret societies?
urongo mtupu kuhusu hiyo connection ya masons na catholic church, hawa walianzia egypt kwa king S na kuanza kuenea kidogo kidogo
Ina maana unataka kutuambia kwamba hujui kama mtandao wa Freemasons umeingia mpaka Vatcan? Mkuu unao mtandao hapo, hebu peruzi kuwanza halafu ndio urudi kujenga hoja kwenye hii mada. Unajua kwamba Pop hivi karibuni alishatoa tamko la kuwepo haja ya Dunia kuwa na mtawala mmoja? Kama unajua kwenda na alama za nyakati, hoja ya Pop inaendana na maandalizi ya kuelekea kipindi cha utawala wa Mpinga Kristo, na Freemasons ndio mtandao unaofanya maandalizi haya. Soma bible (UFUNUO) kwa utulivu, mwombe Mungu akusaidie kuelewa, then iangalie Vatcan & Freemasonry kwa umakini pia, utapata picha.urongo mtupu kuhusu hiyo connection ya masons na catholic church, hawa walianzia egypt kwa king S na kuanza kuenea kidogo kidogo
nikweli ata hapa arusha kuna jumuia yao ya freemasonry tena hipo muda mrefu toka miaka 1969 ,
Jaman wakubwa mimi nahitaj kujiunga na hawa jamaa je nan mwenye adres zao?je mashart yapoje?