Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Mi sielewi kabisa wenzangu. Hivi lini tutakaa tujue nini kinachoendelea hapa duniani? Mimi nina ndugu 3, wanaishi U.K, Ni wanachama wa freemason katika masonic lodge za Uk, blue scotish, bado wana dini yao na freemason sio dini ni organisation. Sijaona ubaya wao na wanajitangaza kabisa. Tatizo tunasikiliza maneno ya watu wanaotaka maumini wa kidini waende kwao na wawaone kuwa wanajua mengi. Me sitaki kuhukumu mtu. Jah bless.
 
Masonic Dollar

swali langu ni kuwa... Hizo alama za pembe tatu na jicho, zilikuwepo kabla ya kanzishwa freemaso mwaka 1700's. Jicho na pembe tatu kasome ni alama ambayo hata Catholic, Orthodox na wakristu hutumia kumaanisha utatu mtakatifu na uwepo wa Mungu na uwezo wake kuona kila mahali, na waanzilishi ni mitume wa yesu, kuna ushahidi wake Roma Wa picha ya karne ya 4 imeweka alama hiyo. Sasa sielewi tunaposhtumu kuwa ina maana mbaya wakati wakristu ndio wameikuza. Japokuwa hata kipindi cha Egypt civillization ilikuwepo.
 
Apollo,una matatizo!Kwanza kubali hujui ili ueleweshwe!Jicho,msalaba na triangle havina uhusiano kabisa na ukristo,RC from the begining ni illuminat plan,don't trust them,Yesu alisema Mungu ni roho na wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweli!Alama hizo asili yake ni babel iliyokuwa inaongozwa na Nimrodi,pembe tatu ina maana nyini ila mojawapo ni kiwakilishi cha utatu wa kipagani(Isis,Horus na Osiris)jicho ni symbol ya Lucifer,msalaba ni alama ya mungu mke(osiris)iliyokua inatumika kuangamiza miungu wageni,tafuta kwenye internet kitabu kinachoitwa Morals and Dogma,Lucifer the light berer!Kimeandikwa na Albert Pike!Nitarudi kukufafanulia zaidi!
 
mhhh! tambua kwamba alama zina maana mficho na hata kama unafikiri msalaba wautumiao baadhi ya wakatoliki ni msalaba uujuao wewe kwa maana ya kuumaanisha msalaba wa kikristo. huwa wanatumia misalaba yao waijuao wao wakimaanisha vitu vyao. msalaba ule ulio sawa sio msalaba wa yesu msalabani. msalaba wa yesu msalabani juu huwa mfupi chini mrefu kutokea katikati. na hilo jicho sio hilo la mungu wao hutumia kumaanisha mambo ya occult.
 
Mi sielewi kabisa wenzangu. Hivi lini tutakaa tujue nini kinachoendelea hapa duniani? Mimi nina ndugu 3, wanaishi U.K, Ni wanachama wa freemason katika masonic lodge za Uk, blue scotish, bado wana dini yao na freemason sio dini ni organisation. Sijaona ubaya wao na wanajitangaza kabisa. Tatizo tunasikiliza maneno ya watu wanaotaka maumini wa kidini waende kwao na wawaone kuwa wanajua mengi. Me sitaki kuhukumu mtu. Jah bless.

nikweli ata hapa arusha kuna jumuia yao ya freemasonry tena hipo muda mrefu toka miaka 1969 ,
 
mhhh! tambua kwamba alama zina maana mficho na hata kama unafikiri msalaba wautumiao baadhi ya wakatoliki ni msalaba uujuao wewe kwa maana ya kuumaanisha msalaba wa kikristo. huwa wanatumia misalaba yao waijuao wao wakimaanisha vitu vyao. msalaba ule ulio sawa sio msalaba wa yesu msalabani. msalaba wa yesu msalabani juu huwa mfupi chini mrefu kutokea katikati. na hilo jicho sio hilo la mungu wao hutumia kumaanisha mambo ya occult.

kasome historia ya 'all seing eye'. Kama lawama tuwape wakristu wa kwanza na sio wao.
 
Apollo,una matatizo!Kwanza kubali hujui ili ueleweshwe!Jicho,msalaba na triangle havina uhusiano kabisa na ukristo,RC from the begining ni illuminat plan,don't trust them,Yesu alisema Mungu ni roho na wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweli!Alama hizo asili yake ni babel iliyokuwa inaongozwa na Nimrodi,pembe tatu ina maana nyini ila mojawapo ni kiwakilishi cha utatu wa kipagani(Isis,Horus na Osiris)jicho ni symbol ya Lucifer,msalaba ni alama ya mungu mke(osiris)iliyokua inatumika kuangamiza miungu wageni,tafuta kwenye internet kitabu kinachoitwa Morals and Dogma,Lucifer the light berer!Kimeandikwa na Albert Pike!Nitarudi kukufafanulia zaidi!

Eiyer ndugu yangu, mimi sikuropoka tu, nimeenda kila pages na Encyclopedi na Wikipedia. Origin ya Pembe tatu na jicho ni Misri ya kale. Pia hizo alama zilikuwepo hata katika kipindi cha ukristu wa kale. Ndio maana nikawauliza. Sio kwamba nimewaonea jamani, katafute alama ya 'utatu mtakatifu wa Mungu'.
 
da aisee haya mambo ya hawa jamaa ni magumu sana yana zungukwa na Mysterious things nyingi sana sijui huko tunakoelekea aisee
 
Apollo,nafikiri kinachokuchanganya ni neno"utatu wa Mungu",sikia,chochote kinachoabudiwa huitwa mungu,hata jiwe huitwa hivyo.Unapoona neno utatu wa mungu usifikiri ni ule utatu wa Mungu wa kwenye biblia,ndio maana nilikuambia kuwa wapagani nao wana utatu na utatu huo unawawakilisha Osiris,Horus na Isis na pembe tatu inauwakilisha utatu huu wa mungu wa kipagani sio ule utatu wa Baba,mwana na roho mtakatifu!Nafikiri umeelewa sasa!
 
Hapa mimi ninacho weza kusema nikwamba yote yaliyomo ndani ya ulimwengu huu ni kwa uweza wa MUNGU kwani yeye ndiye aliyeiumba dunia na ndio mtawala wa kila kilichomo sasa ndugu zangu hata yule tunayemnyooshea kidole kwamba anaabudu "shetani" tunakosea kwani hata wao huwanyosheeni nyie vidole kwamba mnakosea kuamini mnachokiabudu. Kwasababu hiyo imani ya mtu hukua pale ilipolelewa na kukuzwa what we can do here is just to live our life do whatever you can while your alife honestly mimi huwanaamini kila lifanyikalo na kutokea kwenye maisha ya kiumbe ni kwa uweza wa Muumba na ili maandiko yatimie lazimato play our part.......
 
We are leaving in the last days. the people who Read the word of God [Bible] and Praing for the Power of the Holy spirit will not be taken by this Satanic organization. JESUS IS COMING SOON
 
xaxa hawa jamaa lengo haxa ni nini!?ka wana against dini wadeal na mapadre na wachungaji watuleave aut na aman ye2
 
Apollo,una matatizo!Kwanza kubali hujui ili ueleweshwe!Jicho,msalaba na triangle havina uhusiano kabisa na ukristo,RC from the begining ni illuminat plan,don't trust them,Yesu alisema Mungu ni roho na wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweli!Alama hizo asili yake ni babel iliyokuwa inaongozwa na Nimrodi,pembe tatu ina maana nyini ila mojawapo ni kiwakilishi cha utatu wa kipagani(Isis,Horus na Osiris)jicho ni symbol ya Lucifer,msalaba ni alama ya mungu mke(osiris)iliyokua inatumika kuangamiza miungu wageni,tafuta kwenye internet kitabu kinachoitwa Morals and Dogma,Lucifer the light berer!Kimeandikwa na Albert Pike!Nitarudi kukufafanulia zaidi!

Mmm samahani mkuu naomba unieleweshe kidogo napata utata kama msalaba ni alama ya mungu mke,vipi na ule alioangikwa yesu msalabani,
Au kuna aina tofauti za msalaba? Msaada tafadhali,asante
 
Goodnes,msalaba ni uleule na una maana ileile,japokuwa hao waabudu shetani wana aina zaidi ya moja ya msalaba na kuna maana zaidi ya moja ya msalaba.Yesu aliuwawa msalabani kwa sababu hiyo ilikuwa alama ya mungu mke iliyokua inatumia kuangamiza miungu wageni au imani mpya,pia ulikua unatumika kama kuwaadhibu wahalifu.Hivyo Yesu aliuwawa msalabani ili kumuangamiza Mungu huyo "mgeni" alieleta imani mpya!Msalaba pia unatumika kama symbol ya 11 kwani ukitenganisha hizo mbao mbili ukazisimamisha unakuwa umetengeneza 11,hiyo pia ni sawa na x,ukiitazama x vizuri utaona ni 1 mbili zilizopishana.Ni kwanini ni 11?Jibu lake ni hivi;unapoona waabudu shetani wanatumia 11(angalia tukio la sept 11 au maarufu kama 911)inakua ni alama ya miungu wawili walio sawa,yaani Mungu na Lucifer(shetani)hawa waabudu shetani wanaamini Mungu na shetani wako sawa!Na 11 inamaana hiyohiyo na msalaba pia kwa maana nyingine.Kumbuka Yesu hakuagiza matumizi ya msalaba mahali popote!
 
Goodnes,msalaba ni uleule na una maana ileile,japokuwa hao waabudu shetani wana aina zaidi ya moja ya msalaba na kuna maana zaidi ya moja ya msalaba.Yesu aliuwawa msalabani kwa sababu hiyo ilikuwa alama ya mungu mke iliyokua inatumia kuangamiza miungu wageni au imani mpya,pia ulikua unatumika kama kuwaadhibu wahalifu.Hivyo Yesu aliuwawa msalabani ili kumuangamiza Mungu huyo "mgeni" alieleta imani mpya!Msalaba pia unatumika kama symbol ya 11 kwani ukitenganisha hizo mbao mbili ukazisimaendeleza harakat mbaba nadhan had hapo ulipo unajua mengi kuhusu dini unadhani ipi ipo sahihi mana wengi tumekariri hatujui chochote ndo kubadilika kwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom