Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

NINA MASHAKA SANA NA HILO,MBONA KABLA YA MADARAKA VIONGOZI HAWANA HAYO MAPETE YA AJABUAJABU?

Kuna uhusiano wowote wa Secret society na Rolex za Dhahabu wakati wa shughuli za kitaifa au kimataifa?

Kuna kipindi Mkapa alikuwa anavaa, Kikwete naye nimeshaona picha kadhaa, Clinton alitoka kwenye kuvaa Plastic Timex akawa anavaa Rolex especially wakati wa hotuba ya State of the union. (Kuna mtu kaniambia kuna connection na secret society)
 
unapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?

jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu

soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao

ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao
 
unapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?

jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu

soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao

ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao

Kwenye mashule mengi ya nchi za magharibu kuna kitu kinaitwa Fraternity na Sorority au ukienda Yale kuna Skull and Bones
 
KUna mason wa Tanzania wakiongozwa na Sir Andy Chande na mmojawapio wa memba maarufu ni.. u guessed it Benjamin William Mkapa.

Kuhusu alama ya vidole. Naona watu mnachanganya alama mbili zisizohusiana ingawa zinaoneshwa vile vile.

Kwa wanamuziki wa Rock na macelebrity mara nyingi alama hiyo inawakilisha mambo yale ya kishetani kutokana na miziki ya bendi za rock ambazo zilikuwa zinadaiwa zina maneno ya kishetani, na hivyo wale wanamuziki walipoanza kutukuza sifa hiyo ya ushetani wakawa wanatumia alama ya pembe za kishetani.

Kwa wale walioko Texas alama hiyo ya vidole uhusiana na timu ya mpira ya Chuo Kikuu cha Texas ambayo hujulikana kama "Texas Longhorns". Ukienda hata kesho kwenye mechi zao utawasikia wakiimba "Hook em horns" Long horns na wakinyanyua alama za pembe za ng'ombe.

Bush anatoka Texas. Picha ambayo inaonesha hapa ya Bush ni wakati bendi ya Chuo Kikuu cha Texas ilipokuwa ikipita mbele ya Rais Bush baada ya kuapishwa kule Washington DC. Na kwa watu wa Texas where Texas is Bigger than America.. usishangae kuwakuta wakisalimiana kwa alama hiyo ya "hook em horns".. !

hornswh.jpg


Natumaini hii itasaidia angalau kwenye angle hiyo.
 
Haya nimedesa kwa kugoogle.


Please note - by this article, we are not claiming that all who are involved in Free Masonry are cultists, or that all Free Masons believe all the items mentioned below. What we are saying is this - Free Masonry at its core is not a Christian organization. There are many Christians who have left Free Masonry after discovering what it is truly all about. Please visit Ex-Masons for Jesus for more information. There are good and godly men, true believers in Christ who are Free Masons. It is our contention that this should not be the case. Each person should pray for wisdom and discernment from the Lord as to whether to be involved with Free Masonry.

Question: "What is Free Masonry and what do Free Masons believe?"

Answer: Free Masonry, Eastern Star, and other similar "secret" organizations appear to be harmless fellowship gatherings. Many of them even promote believe in God and good character. However, beneath this outward appearance, these secret societies hide anti-Biblical and anti-Christian beliefs and practices. The following is a comparison of what the Bible says with the "official" position of Free Masonry:

Salvation from Sin:

The Bible's View: Jesus became the sinner's sacrifice before God when He shed His blood and died as the propitiation (payment) for the sins of the whole world (Ephesians 2:8-9, Romans 5:8, John 3:16).

Mason's View: The very process of joining the Lodge requires Christians to deny everything Christ accomplished on their behalf. A person will be saved and go to heaven as a result of his good works and personal self-improvement.

The View of the Bible:

The Bible's View: The supernatural and plenary inspiration of the Scriptures-that they are inerrant and that their teachings and authority are absolute, supreme, and final. The Bible is the Word of God (2 Timothy 3:16, 1 Thessalonians 2:13).

Mason's View: The Bible is an important book. It is not the exclusive Word of God, nor is it God's sole revelation of himself to humankind, but only one important book among many religious sourcebooks. It is a good guide for morality. The Bible is used primarily as a symbol of God's will, which can also be captured in other sacred texts, like the Koran.

The Doctrine of God:

The Bible's View: There is one God. The various names of God refer to the God of Israel and reveal certain attributes of God. To worship other Gods or to call upon other deities is idolatry (Exodus 20:3). Paul spoke of idolatry as a heinous sin (1 Corinthians 10:14) and John said that idolaters will perish in hell (Revelation 21:.

Mason's View: All members must believe in a deity. Different religions (Christianity, Judaism, Islam, etc.) acknowledge the same God, only call Him different names. Freemasonry invites people of all faiths, even if they use different names for the ‘Nameless One of a hundred names,' they are yet praying to the one God and Father of all.

The Doctrine of Jesus and the Trinity:

The Bible's View: Jesus was God in human form (Matthew 1:18-24, John 1:1). Jesus is the second person of the trinity (Matthew 28:19, Mark 1:9-11). While on earth, He was fully human (Mark 4:38, Matthew 4:2) and fully divine (John 20:28, John 1:1-2, Acts 4:10-12). Christians should pray in Jesus' name and proclaim Him before others, regardless of offense to non-Christians (John 14:13-14, 1 John 2:23,

Acts 4:18-20).

Mason's View: There is no trinity, therefore there is no doctrine of the deity of Jesus Christ. A mason cannot invoke the name of Jesus when praying, or mention His name in the Lodge. Suggesting that Jesus is the only way to God contradicts the principle of toleration. The name of Jesus has been omitted from many biblical verses that are used in Masonic writings. Jesus is on the same level as other religious leaders.

Human Nature and Sin:

The Bible's View: All humans are born with a sinful nature, are totally depraved, and need a Savior from sin (Romans 3:23, Romans 5:12, Psalm 51:5, Ephesians 2:1). The Bible denies that humanity, since the Fall, has within itself the capacity for moral perfection (1 John 1:8-10, Romans 1:18-25).

Mason's View: Through symbols and emblems, Masons teach that man is not sinful, just "rude and imperfect by nature". Human beings are able to improve their character and behavior in various ways, including acts of charity, moral living, and voluntary performance of civic duty. Humanity possesses the capability of moving from imperfection toward total perfection. Moral and spiritual perfection lies within men and women.

When a Christian takes the oath of Freemasonry, he is swearing on the following doctrines that God has pronounced false and sinful:

1. That salvation can be gained by man's good works.

2. To accept and promote that Jesus is just one of many equally revered prophets.

3. Masonry makes Christian men swear that they will remain silent in the Lodge and not talk of Christ.

4. Masonry makes Christians swear that they are approaching the Lodge in spiritual darkness and ignorance, when the Bible says Christians are already in the light, children of the light, and are indwelt by the Light of the World-Jesus Christ.

5. By demanding that Christians take the Masonic oath, Masonry leads Christians into blasphemy and taking the name of the Lord in vain.

6. Masonry makes Christians falsely swear that the G.A.O.T.U. [Great Architect of the Universe], whom Masonry believes is the true God of the universe, is present in all other religions.

7. Masonry makes Christians falsely swear to the teaching that true worship can be offered in the Lodge to God without the mediatorship of Jesus.

8. By swearing the Masonic oath and participating in the doctrines of the Lodge, Christians are perpetuating a false gospel to other Lodge members, who look only to Masonry's plan of salvation to get to heaven.

9. By taking the Masonic obligation, he is agreeing to allow the pollution of his mind, spirit, and body by those who serve false gods and believe false doctrines.

As you can see, Masonry denies and contradicts the clear teaching of Scripture and numerous issues. Masonry also requires people to engage in activities which the Bible condemns. As a result, a Christian should not be a member of any secret society or organization that has any connection with Free Masonry.
 
BWANA CHARLO KARIBU SANA

FREEMASON HUJIUNGA HIVI HIVI KAMA UNAVYOFIKIRIA NI WATU WANATAFUTWA HASWA KUTOKA VYUONI NA SEHEMU ZINGINE WANAKARIBISHWA NA KUPEWA MAFUNZO MAALUMU KUNA KATIBA NA SHERIA ZAKE , MAKUNDI MENGI YA FREEMASON NI YA VIZAZI NA VIZAZI NA WENGI WAKO KARIBU NA KUJUANA SANA SANA

NIMEONA UKO NA INTEREST SANA PIGA 0784 360204 AU EMAIL hollymaro@gmail.com

ITAPENDEZA UKASEMA UKO WAPI AU EMAIL YAKO AU MAWASILIANO YAKO YA KARIBU UNAWEZA KUONANA NA WATU MAALUMU
 
Hiyo alama ya vidole kwa watu wanaotoka Kisiwa cha Palau ni ishara ya Love. Kama unampenzi anayetoka huko usishangae akakusalimia au mkapiga picha na vidole kama vya Bush.
 
..nimekukubali mzee nimepata elimu kidogo kuhusu hawa mabazazi
unajua sheikh yahaya ktk prog yake ya jumatatu ktk chanel 10 anawadanganya watu kinoma maana kila kitu kwake kina alama ya mashetani na freemansons...

Nakubaliana na wewe. Sielewi hivi huyu kweli ni shekhe wa waislamu au ni shekhe wa mashetani au both?
 
Mi nimekupata vizuri na nawajua hawa hata hapa dar wapo..... tena viongozi na vibosile kibao wa tz ni ma free masons na kama mnakumbuka mwaka jana au mwaka juzi walisherekea siku yao na tulionyeshwa hata kwenye tv inayoongoza hapa dar, wanapofanya ibada zao ni pale karibu (nyuma) ya kempiski yani kilimanjaro hotel somewhere there ukipita angalia wamejiandika bila woga FREE MASONS.

Yani these guys are very powerfull hata kwenye dola, pounds kuna nembo yao pia hata kwenye nembo ya manchester united ipo wanajiita red devil eti mtu unanunua stika imeandikwa i support red devils unabandika kwenye gari yako jamani hebu amkeni yani sign zao mi hua naziona sehemu nyingi na imenifanya niwe makini hata ktk vitu navyonunua nikiona sign za ajabu sinunui hiko kitu...

Mungu atusaidie sana
 
worm does it mean hiyo symbol ktk logo ya muhimbili ina walakini?? hivi huyo nyoka anafanya nini humo? halafu mimi hushangazwa na mapete wavaayo wakubwa/viongozi eg JK mipete yenye rangi rangi waht do they symbolise?


Kwa uelewa milionao na udadisi niliofanya coz niliwahi kuwaza maana ya nyoka kuwapo hasa kwenye mabango ya hospils na muhimbili, niliambiwa maana yake imetolewa kwenye bible pale waisrael walipoumwa na nyoka jangwani on their way kwenye nchi ya ahadi, ndipo musa alipoambiwa atengeneze nyoka wa dhahabu na yeyote alieumwa na nyoka atakapomtazama atapona, is it real a connection to huyo anayewekwa kwenye mabango ya hospitals?
 
duuhhh ama kweli ndio mwisho wa dunia waja ni bora watu tutubu tuu dhambi zetu na kujinyenyekeza kwa Mungu
Dont tell me na manchester united nayo imo maana nasikia hata kampuni kubwa duniani zipo in it kama nike na coca cola
 
Imani kali ya ukatoliki ndio ilimzuia mwalimu kuingia katika freemason lakini kuna wakati ilikuwa karibu kuingia kutokana na mashinikizo mbalimbali ya marafiki zake kama kina Chifu Fundikira, George Kahama na wengineo. Kwa Tanzania mwanzoni llikuwa kundi la Wazungu na wahindi tu lakini baadae wakajiunga kina sisi na kimantiki ni kuwa kundi hili lilitambulika kuwa muhimu katika kurahisisha mafanikio kibiashara na kisiasa.

Kuhusu Ben hakuna ubishi ni mmoja wao na ndiye alikuwa chaguo lao hata miaka mitatu kabla ya uchaguzi wa 2005. Wapo wengi tu lakini kutokana na ukame wa information miongoni mwa watanza tunaishia kuwaita dini ya mashetani.

Ni kweli kuwa kwa nje freemason inapswa kuwa kundi la watu waliojitolea kutumia elimu, vipaji na uwezo wao kisiasa, kiuchumi na kijamii kusaidia jamii zao na dunia kwa ujumla. Lakini kama ilivyo makundi mwengine mengi yanayoendeshwa kwa usiri, Freemasonry imekuwa kundi la kulinda, kuunganisha na kuendeleza ufisadi. Lakini hali hii inatofautiana kutoka chapter/lodge moja haid nyingine..

Makundi mengine yanayoshabihiana na hili na mara nyingi huwa ni front ya freemasonry ni Rotary Clubs, Lion Clubs na hata rotaract ambayo mara nyingi huwa ni recruitment ground for young members.

Kitabu cha Andy Chande ni muhimu kukisoma ingawa kuna mengi yalilazimishwa kuondolewa kwa maslahi ya kundi hilo, serikali kadhaa na wanasisa na watu binafsi.

Tanzanianjema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom