Freemason wanywa damu ya gadafi

Mambo ya kawaida tu usiogope Muogope Mwenyeezi Mungu FreeMason hawawezi kumshinda Mwenyeezi Mungu wa pekee ndio wa kumuogopa mkuu Boflo

Very well said! Mtu unahofu tu kwa sababu uko hai, ukifa tu we si kitu. Lakini kwa nini watu wang'ang'anie kuendelea kuishi ktk dunia iliyojaa ufisadi? Hao freemasons kwani ndo wataishi milele! Mungu tu ndo mshindi, unashabikia Portsmouth wakati Barcelona ipo.
 
Hata kama ni copy and paste,atakuwa ame copy kilekile ambacho hakiaminiki,wala hakina maana yoyote,maana ameiweka uwazi(shigongo's tabloid)mara sheikh yahya,mara hussein yahya,vyanzo vyote vya habari hii ni vipotofu,maana kama ni ushetani kwa tafsiri tuliyoizoea basi hao masheikh hawachomoki,sheikh anayepiga ramli na kufanya utabiri yupo mbali kabisa na uislamu wenyewe,huwezi kutumia tools za shetani kufanya kazi ya mungu,hivyo kama freemasons ni waabudu shetani basi sheikh yahya senior and jr,shigongo and likewise ni malaika wa shetani,upuuzi mtupu.
 
Hata kama ni copy and paste,atakuwa ame copy kilekile ambacho hakiaminiki,wala hakina maana yoyote,maana ameiweka uwazi(shigongo's tabloid)mara sheikh yahya,mara hussein yahya,vyanzo vyote vya habari hii ni vipotofu,maana kama ni ushetani kwa tafsiri tuliyoizoea basi hao masheikh hawachomoki,sheikh anaye

Wepiga ramli na kufanya utabiri yupo mbali kabisa na uislamu wenyewe,huwezi kutumia tools za shetani kufanya kazi ya mungu,hivyo kama freemasons ni waabudu shetani basi sheikh yahya senior and jr,shigongo and likewise ni malaika wa shetani,upuuzi mtupu.
Well said
 
na zile ndege za nato ni watu wake pia???

zile zina vijiti walivyomwekea matakoni?? hivi nato kumbe ndio freemason eh??

wow... mtu anaishi EU anakula paycheck ya freemason, anapanda treni ya freemason, anakunya kwenye choo cha freemaosn.....halafu kutwa anabwabwaja freemason, hamia damascus basi au urudi nyumbani

mambaff
 
Mkuu umeshindwa kuzungumza sasa unatukana watu. Mkuu Janjaweed Hivi sisi Wa Tanzania hii tabia ya kushindwa kuzungumza kisha ukatumia maneno ya matusi ndio nini maana yake?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeshindwa kuzungumza sasa unatukana watu. Mkuu Janjaweed Hivi sisi Wa Tanzania hii tabia ya kushindwa kuzungumza kisha ukatumia maneno ya matusi ndio nini maana yake?

nimetukana wapi mzee wa friimeson?? si nimezungumzia vijiti alivyochomekwa marhuum?? au kutoa rai chanya kwamba hao friimeson unaowatukana ndio wanaotengeneza barabara unazopita kila siku nimekosea wapi kaka??

maana wanasema kama hunipendi basi kwangu usije, sasa twawatukana kutwa friimeson wakati hata pesa tunazolipwa biweekly ni hizohizo zenye alama zao... umeona tusi hapo kaka???

au kusema mambaff?? hiyo mkuu ni kichocezi tu kama kusema shabashh, kudadadeki nk.
 
Kwani wewe ni mmoja wapo wa wanachama wanaokunywa Damu ya Mtu mkuu 'TF' Mna utetea Ushetani wa kunywa Damu wengi wenu imewagusa kwa sababu mume jiunga na kunywa Damu za Watu kwenye chama cha mashetani duniani.
mkuu kuna vyama sasa sio??

sikiliza mkuu, una heshima ya pekee humu ila kwa hili umekua kama mdhani wa hadithi za esopo au alfu lela u lela... unahangaika na utopia thinking

soma mkuu upanue wigo wako sio kuruka-ruka kama kishada
 
Haya mambo mnavoyaweka mitandaoni ndo mnawapa kiburi na kujiwekea nafasi ya hofu nyinyi wenyewe! Hawa majamaa hawana kipya na hawawezi kufanya lolote! Muaminini Mungu mwenyenzi muumba mbingu na dunia na vyote vijazavyo ulimwengu vinavoonekana na visivyoonekana!
 
mkuu kuna vyama sasa sio??

sikiliza mkuu, una heshima ya pekee humu ila kwa hili umekua kama mdhani wa hadithi za esopo au alfu lela u lela... unahangaika na utopia thinking

soma mkuu upanue wigo wako sio kuruka-ruka kama kishada
Sawa itabidi unisomeshe mimi sijuwi kusoma mkuu 'TF'
 
Last edited by a moderator:
nimetukana wapi mzee wa friimeson?? si nimezungumzia vijiti alivyochomekwa marhuum?? au kutoa rai chanya kwamba hao friimeson unaowatukana ndio wanaotengeneza barabara unazopita kila siku nimekosea wapi kaka??

maana wanasema kama hunipendi basi kwangu usije, sasa twawatukana kutwa friimeson wakati hata pesa tunazolipwa biweekly ni hizohizo zenye alama zao... umeona tusi hapo kaka???

au kusema mambaff?? hiyo mkuu ni kichocezi tu kama kusema shabashh, kudadadeki nk.
Nimesha kuwa ni Mzee wa FeeMason Mzee John Garang Janjaweed ?
 
nimetukana wapi mzee wa friimeson?? si nimezungumzia vijiti alivyochomekwa marhuum?? au kutoa rai chanya kwamba hao friimeson unaowatukana ndio wanaotengeneza barabara unazopita kila siku nimekosea wapi kaka??

maana wanasema kama hunipendi basi kwangu usije, sasa twawatukana kutwa friimeson wakati hata pesa tunazolipwa biweekly ni hizohizo zenye alama zao... umeona tusi hapo kaka???

au kusema mambaff?? hiyo mkuu ni kichocezi tu kama kusema shabashh, kudadadeki nk.

1. Who is John Garang de Mabior?

John Garang de Mabior, the first VP of Sudan as well a government army officer, who spent 20 years fighting for southern Sudan. In addition, John has done things to help African Americans. He was the type of person that like helping people of other ethnicity. John was an awsome person, John in fact tries his best to help Africa and its people.

Chanzo:
Muriyd Fuller: John
 
My mentor

and he never used to prototype people because of their faith, color or origin, he never cursed Muslims nor their associates; he had his fighting and faith in the name of God

He was never bought through cheap tokens to serve rage, hatred, discrimination, prototyping, nor disrespecting fellow NEGROS for a few sharubus sucking up de fumes:wacko:
 
Huyu alikuwa na mke wa kizungu, au sio?
 
nadhani mke wake anaitwa rebecca na ni mweusi.... not sure if your question suits the purpose but knowing you a little, ni sawa tu

Not even 1% yet, try hard.

Nimekuuliza nna maana yangu, kuna matapeli wanatumia jina la mentor wako, soma zaidi:

[h=3]Miss Adira - GOD BLESS YOU IN GOD WE TRUST - Dr. John Garang DeMabior[/h]

From: GOD BLESS YOU. IN GOD WE TRUST <adirau4love@hotmail.com>
To: a_arju@yahoo.co.uk
Sent: Sat, 8 January, 2011 22:39:59
Subject: Miss Adira,&#8207;

Hello Dearest,

I thank you for the opportunity it has given me to become your friend. I will really like to have a good relationship with you even if it takes us for life time. I promise you all that makes up a defined and a refined LOVE. Your response to my mail has driven me to give you more detail about me. I am really sorry about my late reply to your mail Though it is not left for me to say, but I know that I am an honest girl, trustworthy, truthful,loving kindness, open minded, intelligent, easy going, faithful and caring

I decided to contact you after reading your profile because of the urgency of my situation here. My name is Miss.Adira John Garang DeMabior, 25 years old girl from Southern Sudan, Northern part of Africa, my late Father Dr. John Garang DeMabior was the Vice-President of Southern Sudan government in Sudan,My late father was reported dead by the United Nations on August 1, 2005, after his helicopter crashed whilst returning from neighboring country Uganda.

Sudanese state television initially reported that My father's Air craft had landed safely, but Abdel Basset Sabdarat, the country's Information Minister, went on TV hours later to deny the report. Soon afterwords,a statement released by the office of Sudanese President Omar el-Bashir confirmed that a Ugandan presidential plane, instead of a helicopter, crashed into "a mountain range in Southern Sudan because of poor visibility which resulted the death of my late Father Dr. John Garang DeMabior and other six of his colleagues and seven other crew members were falsely killed as a result of the the Air Crash, without trial,

Though,I do not know to what extent you are familiar with events and fragile political situation in Sudan as at that time.But it formed consistent headlines in the CNN, BBC news bulletins.You can verify this from some of the international world video sites below

(http://video..google.com/videoplay?docid=-6427704939989757201)

In fact,I am constrained to contact you because of the maltreatment I,m receiving from my step mother.My Father had two wives before his demise. My mother was the second,the first one couldn't raise him an issue after nine years of their marriage that emerged him the idea of getting a second wife that happened to be my late mother.

After the marriage of my mother,the first wife turned hostile and aggressive to the extent that my father had to sent her packing and rented an apartment for her in the town. She came back with her things after the news of the death my parents, She has been more and no less hostile to me and want to deny me of all my father's assets. I am just like being in a wicked circle that nothing in the house pleases me. Meanwhile, I wanted to escape to the Europe but she hide away my international passport and other valuable traveling documents.

Luckily she did not discover where I kept my father's File which contains important documents,so I decided to run to the refugee camp where I am presently seeking asylum under the United Nations High Commission for the Refugee here in Dakar, Republic of Senegal,Due to my inability and lack of resources ,I decided to contact you for a help please ,I will be very glad if you should consider to help me please.

I am contacting you for a long term business relationship and investment assistance in your Country. My father of blessed memory deposited the sum of US$3,700, 000..00 in a Bank here in Senegal and valuable assets of gold --- 250kg of Alluvial gold dust(22 carat and 94.6 % purity).
with my name as the next of kin.This happened as if my Late Father foresaw the looming danger in Sudan. The money was deposited with a different Bank out of Sudan for security reasons.

About all these my inheritance, i really wish you could assist me and to clear all doubt for my gold you can come to the country where im now to see yourself.

When I came to Senegal for this money, I went to the bank where my father deposited the fund so that I can withdraw some money as the next of kin to the account and start a new life, unfortunately, I did not know that my father signed an agreement with the bank that the money should not be released directly to me if not married or up to 30years,the agreement states that I should appoint a trustee/investor any time I want to take the money from the bank before I am 30 years.
I have decided to transfer this money to a foreign account/country where i can invest it and continue with my studies as I was in my 1st year in the university when the crisis started in my country,to my understanding the investor is to invest and manage the money for me in a good business, so the bank people advised me that since I am not yet 30 years and not married, I should look for someone to stand for me for my claims in accordance with their agreement with my late father,this is why I contacted you.

Secondly, I like your country and I want to live there and continue my education as i was in college,when the crisis started and death of my father. It is my intention to compensate you with 20% of the total money for your services and the balance shall be my investment capital. This is the reason why I decided to contact you. Please all communications should be through this email address only for confidential purposes. As soon as I receive your positive response showing your interest I will put things into action immediately.

My step mother planned to take away all my late father's treasury and properties from me since the unexpected death of my beloved father. However, I will forward you the necessary documents on confirmation of your acceptance to assist me for the transfer and investment of the fund as you will be helping me in business investments when the transfer is completed and I fly over to your country

In the light of the above, I shall appreciate an urgent message indicating your ability and willingness to handle this transaction sincerely,you can not call me on phone because I have no phone here but if you will like to speak to me on phone I will give you phone number of the Rev-father at the camp because I told him a little bit about my condition. When you call, tell him you want to speak to Adira John Garang, the Sudanese girl He will call me because he knows that I am staying at room 4 block 5 from the female hostel.

Awaiting your urgent and positive response. Please do keep this only to yourself. Please I beg you not to disclose these details till I come over,once the fund has been transferred.

Yours Sincerely,
Adira,

Source: Backup Blog: Miss Adira - GOD BLESS YOU IN GOD WE TRUST - Dr. John Garang DeMabior
 
Hizi ni habari za kuunga-unga na ni hadithi za alinacha kila kitu na kIla mtu akijisikia tu anaibuka hao ni FREEMANSON Ukipata mali unaambiwa FREEMANSON Ukifanikiwa mambo yako unaambiwa Freemanson MZIZI-MKAVU akijisikia tu anasema Freemanson mtu akiona tu mapembe makubwa ya Mbuzi au kitu chochote cha kutisha anasema hao ni FREEMANSON
Acheni kubabaisha watu Gadafi aliuawa na watu wake mwenyewe wala si chochote kile na watu tuliona LIVE alivyouawa leo anatokea MZIZI-MKAVU anabadili story hii ni hatari mwishowe mtaambiwa mtu wa kwanza Duniani alikuwa Nyerere nanyi mtakubali.
 
MWISHO WA DUNIA BADO SIKU 141

eww.jpg &#8203;
attachment.php

Mfuasi wa Freemason.…
 
Back
Top Bottom